UTEUZI: Rais Samia atengua uteuzi wa Jane Nyamsenda Ukuu wa Wilaya Sumbawanga na kumteua Sixtus Mapunda

Mama Tunaomba usimsahau Pascal Mayalla umteue lakini unampita Kama haumuoni ebu Mama muonee Huruma huyu Jamaa mpambanaji wako jasiri.
Kwa maridhiano haya yanayoendelea watu kama huyu hawana nafasi maana ni aina ileeee!
Soma makala zake kwa jicho la tatu utagundua ni wa mrengo gani. Aweza kuwa zaidi ya Musiba aliyestarabika akiwa na madaraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…