Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ulipo tayari unasumbua wahudumu. KalaleSixtus mapunda si alkuwa yule padri? au nachanganya mambo
Huyu mapunda kwenye mali za chama alifanya yake, Wala hakuonewa. Alifoji docs na kuuza. Sasa hivi ameteuliwa naamini ni kupewa nafasi ya kujirekebisha, vinginevyo mama pia atampiga chiniMagufuli bwana,huyu sijui alimkosea nini.Hivi yule aliyemkula Jokate yupo tarafa gani siku hizi?
Hapo ulipo tayari unasumbua wahudumu. Kalale
Sukuma Gang. Mama chukua tahadhari kubwa. Huyo alikuwa first line kupandikiza chuki against CDM na Lisu kwa mwendazakeMama Tunaomba usimsahau Pascal Mayalla umteue lakini unampita Kama haumuoni ebu Mama muonee Huruma huyu Jamaa mpambanaji wako jasiri.
Yap alikuwa karibu WA uvccmHuyu Mapunda nadhani alikuwa UVCCM kitambo.
Really huwa sikupendi toka enzi za magufuli and the best way to get rid of you is to block you! Imetokea !Hapo ulipo tayari unasumbua wahudumu. Kalale
Kwa maridhiano haya yanayoendelea watu kama huyu hawana nafasi maana ni aina ileeee!Mama Tunaomba usimsahau Pascal Mayalla umteue lakini unampita Kama haumuoni ebu Mama muonee Huruma huyu Jamaa mpambanaji wako jasiri.
asante kwa masahihishoYule alikuwa sixtus Kimaro
Hivi huyu ndie yule firauni au?Yule alikuwa sixtus Kimaro
Mpambanaji wake au chawa wake?Mama Tunaomba usimsahau Pascal Mayalla umteue lakini unampita Kama haumuoni ebu Mama muonee Huruma huyu Jamaa mpambanaji wako jasiri.
Pia LUKASI MWASHAMWA NAE AKUMBUKWEMama Tunaomba usimsahau Pascal Mayalla umteue lakini unampita Kama haumuoni ebu Mama muonee Huruma huyu Jamaa mpambanaji wako jasiri.
Hakuna angekuwa anavaa hijab yasingemkuta 😅Jane alianza kutunisha misuli na kupandisha mabega, ameliwa kichwa.
Mama hatak umungu mtu.
Yule anaitwa Privatus KarugendoSixtus mapunda si alkuwa yule padri? au nachanganya mambo