Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
Hahaha Tena akavaa hijab na kitambaa chekundu kuonyesha raisi wa rukwa amefika 😅Samia hapendi kuzidiwa kete,Janet kaonyesha kwa vitendo ni namna gani mwanamke akiwa bosslady wa wilaya apaswa kuwa,ana figa nzuri mwenyewe Kama yangu 🙏pambana Jane bado umri unaruhusu🙏Alicho kifanya dc akamwagwaView attachment 2543977
Yuko Baraza la mitihani pale bamagaMagufuli bwana,huyu sijui alimkosea nini.Hivi yule aliyemkula Jokate yupo tarafa gani siku hizi?
Ingekuwa hataki umungu mtu angekuwa keshawala vichwa akina Nape,January na Mwigulu. Jamaa wameonyesha viburi sana ila Mama kawaacha.Jane alianza kutunisha misuli na kupandisha mabega, ameliwa kichwa.
Mama hatak umungu mtu.
Karugendo is now deadYule anaitwa Privatus Karugendo
Aliteuliwa ili atoke kwenye chama.cha ualimu kisha atenguliwe arudi mtaani
😆😆😆😆Mama Tunaomba usimsahau Pascal Mayalla umteue lakini unampita Kama haumuoni ebu Mama muonee Huruma huyu Jamaa mpambanaji wako jasiri.
Sasa je, Jane ameponzwa na kukiamini kwake bhaas mama hapendi mwanamke mwenye confidence kumzid,Jane alidemonstrate alivyo jasiri na very confident,akasifiwa sana huko ikawa shida so akaliwa kichwaIngekuwa hataki umungu mtu angekuwa keshawala vichwa akina Nape,January na Mwigulu. Jamaa wameonyesha viburi sana ila Mama kawaacha.
We will all be raised from the dead by the Lord Jesus Christ on the day of resurrectionKarugendo is now dead
Hilo ndo lengo la tenguzi zote kwa sababu mamlaka ya uteuzi inaamini inamiliki mpaka roho yako.Utenguzi wa Rais kama una roho ndogo unaweza ukafa. Maana unapigwa chini kwa surpise halafu hupewi sababu ya kupigwa kwako chini. Manina!
Hahahahahahaha unamsema yule Padri wa chaka la Changanyikeni sio huyo. Huyu alikuwa Mbunge sijui wa Mbinga huko.Sixtus mapunda si alkuwa yule padri? au nachanganya mambo
Kwani unapoteuliwa unapewa sababu yakuteuliwa?Mwenye mamlaka ya kuteua ndio anateua na kutengua.Utenguzi wa Rais kama una roho ndogo unaweza ukafa. Maana unapigwa chini kwa surpise halafu hupewi sababu ya kupigwa kwako chini. Manina!
exactly!Hahahahahahaha unamsema yule Padri wa chaka la Changanyikeni sio huyo. Huyu alikuwa Mbunge sijui wa Mbinga huko.
Hapo ndio nashindwa kumuelewa kabisa huyu mama, mtu tayari ana rekodi ya uchafu kwann kumng'ang'ania huyo huyo tuu katika nchi yenye watu zaidi ya milioni 60?!Huyu mapunda kwenye mali za chama alifanya yake, Wala hakuonewa. Alifoji docs na kuuza. Sasa hivi ameteuliwa naamini ni kupewa nafasi ya kujirekebisha, vinginevyo mama pia atampiga chini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mngoni fulani alikuwa raised kupitia UVCCM akapata ubunge wa Mbinga... Ni debe tupu fulani
Mwampambaa? UwiiiiMagufuli bwana,huyu sijui alimkosea nini. Hivi yule aliyemkula Jokate yupo tarafa gani siku hizi?
Hahahaaaa....eti ni debe tupuMngoni fulani alikuwa raised kupitia UVCCM akapata ubunge wa Mbinga... Ni debe tupu fulani
Hivi zile ni blank shots au ni real shots?Alicho kifanya dc akamwagwaView attachment 2543977
hapana unachanganya. huyu alikuwa UVCCM ni mate wangu UDSM alikuwa anaingia class na peni kama sita hivi za rangi tofaut tofauti halafu cha kushangaza notice hachukui mpaka wengine tuchukue aombe daftari akaandike nje huko na kuremba kwa mapeni yakeSixtus mapunda si alkuwa yule padri? au nachanganya mambo
Ok! Thanks for the information. sasa ufaulu wake ulikuwaje? Did he manage to pass his exams? By the way when was that and what faculty?hapana unachanganya. huyu alikuwa UVCCM ni mate wangu UDSM alikuwa anaingia class na peni kama sita hivi za rangi tofaut tofauti halafu cha kushangaza notice hachukui mpaka wengine tuchukue aombe daftari akaandike nje huko na kuremba kwa mapeni yake