UTEUZI: Rais Samia atengua uteuzi wa Jane Nyamsenda Ukuu wa Wilaya Sumbawanga na kumteua Sixtus Mapunda

UTEUZI: Rais Samia atengua uteuzi wa Jane Nyamsenda Ukuu wa Wilaya Sumbawanga na kumteua Sixtus Mapunda

Alicho kifanya dc akamwagwaView attachment 2543977
Hahaha Tena akavaa hijab na kitambaa chekundu kuonyesha raisi wa rukwa amefika 😅Samia hapendi kuzidiwa kete,Janet kaonyesha kwa vitendo ni namna gani mwanamke akiwa bosslady wa wilaya apaswa kuwa,ana figa nzuri mwenyewe Kama yangu 🙏pambana Jane bado umri unaruhusu🙏
 
Ingekuwa hataki umungu mtu angekuwa keshawala vichwa akina Nape,January na Mwigulu. Jamaa wameonyesha viburi sana ila Mama kawaacha.
Sasa je, Jane ameponzwa na kukiamini kwake bhaas mama hapendi mwanamke mwenye confidence kumzid,Jane alidemonstrate alivyo jasiri na very confident,akasifiwa sana huko ikawa shida so akaliwa kichwa
 
Utenguzi wa Rais kama una roho ndogo unaweza ukafa. Maana unapigwa chini kwa surpise halafu hupewi sababu ya kupigwa kwako chini. Manina!
Hilo ndo lengo la tenguzi zote kwa sababu mamlaka ya uteuzi inaamini inamiliki mpaka roho yako.

Tunapaswa kubadilika kwa sababu unapomteua mtu basi akafanye wajibu lakini unapofikia kuamua hatima ya utumishi wake basi Katiba ya Tanzania inasema ana haki ya kujua sababu za maamuzi dhidi yake.

Tuendelee kudai Katiba mpya maana hii ya sasa inatumika kutengeneza mungu mtu
 
Utenguzi wa Rais kama una roho ndogo unaweza ukafa. Maana unapigwa chini kwa surpise halafu hupewi sababu ya kupigwa kwako chini. Manina!
Kwani unapoteuliwa unapewa sababu yakuteuliwa?Mwenye mamlaka ya kuteua ndio anateua na kutengua.
 
Huyu mapunda kwenye mali za chama alifanya yake, Wala hakuonewa. Alifoji docs na kuuza. Sasa hivi ameteuliwa naamini ni kupewa nafasi ya kujirekebisha, vinginevyo mama pia atampiga chini
Hapo ndio nashindwa kumuelewa kabisa huyu mama, mtu tayari ana rekodi ya uchafu kwann kumng'ang'ania huyo huyo tuu katika nchi yenye watu zaidi ya milioni 60?!
Kuna ulazima gani wa yeye pekee kupewa nafasi hiyo wakati watanzania wenye sifa kumzidi wapoo kibao???
 
Sixtus mapunda si alkuwa yule padri? au nachanganya mambo
hapana unachanganya. huyu alikuwa UVCCM ni mate wangu UDSM alikuwa anaingia class na peni kama sita hivi za rangi tofaut tofauti halafu cha kushangaza notice hachukui mpaka wengine tuchukue aombe daftari akaandike nje huko na kuremba kwa mapeni yake
 
Ok! Thanks for the information. sasa ufaulu wake ulikuwaje? Did he manage to pass his exams? By the way when was that and what faculty?
 
Back
Top Bottom