UTEUZI: Rais Samia atengua uteuzi wa Jane Nyamsenda Ukuu wa Wilaya Sumbawanga na kumteua Sixtus Mapunda

UTEUZI: Rais Samia atengua uteuzi wa Jane Nyamsenda Ukuu wa Wilaya Sumbawanga na kumteua Sixtus Mapunda

Ok! Thanks for the information. sasa ufaulu wake ulikuwaje? Did he manage to pass his exams? By the way when was that and what faculty?
2005. Faculty of Humanities, dept of Political science & Public Administration
 
2005. Faculty of Humanities, dept of Political science & Public Administration
Muda si mrefu since graduation.. some 8 yrs back.. amepanda mapema kupata cheo....most probably ni chawa aliyekubuhu!! amepanda haraka
 
Yupo padri nguli kabisa na mkongwe anaitwa Padri Sixtus Mapunda. Ni majina tuu yameingiliana. Kumbuka Mapunda ni ukoo mkubwa huko Songea ,na Sixtus ni jina maarufu la kikatoliki
Ni padre Baptist Mapunda na sio Sixtus
 
Hivi Binamu bananga... yule diwani wa Arusha kipindi cha nyuma,alie jitokeza kwenye mkutano wa mama Arusha na kuikana chadema..alisha kumbukwa kweli!

Yule mjinga kweli. Alidhani anaikomoa CHADEMA kumbe ndio anaenda kujimaliza.
 
hapana unachanganya. huyu alikuwa UVCCM ni mate wangu UDSM alikuwa anaingia class na peni kama sita hivi za rangi tofaut tofauti halafu cha kushangaza notice hachukui mpaka wengine tuchukue aombe daftari akaandike nje huko na kuremba kwa mapeni yake

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jane alianza kutunisha misuli na kupandisha mabega, ameliwa kichwa.

Mama hatak umungu mtu.
Mh. Jane Nyamsenda...
IMG-20230310-WA0064.jpg
IMG-20230310-WA0068.jpg
IMG-20230310-WA0071.jpg
IMG-20230310-WA0069.jpg
IMG-20230310-WA0066.jpg
IMG-20230310-WA0065.jpg
 
Ingekuwa hataki umungu mtu angekuwa keshawala vichwa akina Nape,January na Mwigulu. Jamaa wameonyesha viburi sana ila Mama kawaacha.
Wameonyesha viburi gani hivyo?unajua ukiwa unamchukia mtu hata kwa kusikia tu ndio madhara yake haya.kiburi gani hicho wamekionyesha?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom