Lengo ni kumteuwa huyo Mzanzibar hakuna lolote la maana
Ni mjanjamjanja sana na cuba itaiweza kama alivyoweza MalawiIla bana Humphrey Polepole huwa anachekesha sana katika career nzima ya uongozi wake
Tuliosomea Cuba tunaelewewa.Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya vituo kwa Mabalozi wawili (02) na uteuzi wa Balozi mmoja (01) kama ifuatavyo:
1. Amempangia Balozi Humphrey Herson Polepole kuiwakilisha Tanzania nchini Cuba. Kabla ya uteuzi huu Balozi Polepole alikuwa Balozi wa Tanzania, nchini Malawi.
2. Amemteua Balozi Lt. Jenerali (mstaafu) Yacoub Mohamed kuiwakilisha Tanzania katika Falme za Kiarabu (UAE). Kabla ya uteuzi huu, Balozi Mohamed alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Uturuki.
3. Amemteua Bw. Iddi Seif Bakari kuwa Balozi na kumpangia Ubalozi nchini Uturuki. Kabla ya uteuzi huu, Bw. Bakari alikuwa Konseli Mkuu nchini Dubai.
View attachment 2575203
Masikini Polepole anapelekwa kwenye njaa tu. Mama kaona bado anafanya kazi kisiasa katupwa kisiwani mbali sana!Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya vituo kwa Mabalozi wawili (02) na uteuzi wa Balozi mmoja (01) kama ifuatavyo:
1. Amempangia Balozi Humphrey Herson Polepole kuiwakilisha Tanzania nchini Cuba. Kabla ya uteuzi huu Balozi Polepole alikuwa Balozi wa Tanzania, nchini Malawi.
2. Amemteua Balozi Lt. Jenerali (mstaafu) Yacoub Mohamed kuiwakilisha Tanzania katika Falme za Kiarabu (UAE). Kabla ya uteuzi huu, Balozi Mohamed alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Uturuki.
3. Amemteua Bw. Iddi Seif Bakari kuwa Balozi na kumpangia Ubalozi nchini Uturuki. Kabla ya uteuzi huu, Bw. Bakari alikuwa Konseli Mkuu nchini Dubai.
View attachment 2575203
Dead and gonepushing him too far.
Movement zipi Mkuu? Polepole ni nzi tu CCM hakuwa hata na miaka 5 so Hana hiyo power mnayofikiria anayo. Kahamishwa Ili tu asipige kelele awe busy muda wote ila Sio kwamba ana uwezo wa kushawishi chaguzi za 2025.Tuliosomea Cuba tunaelewewa.
Mr pole pole kapelekwa mbali na Tz kusudi kuvuruga zile movements zake za chini chini.
Maana ilikuwa haipiti mwezi bila kuja Tz.
Next stage watamla kichwa kabla ya 25.
Japo, hii itakuwa risk kwa SSH.
Maana watamrahisishia mipango yake.
Mimi nasema polepole kwanza ndo anaimarika sana. Unajua kukaa mahali pamoja kunadumaza akili sana Sasa pole pole akija kupewa uwaziri mkuu atakuwa na uwezo naoPolepole ajikumbushe Wimbo huu wa Christmas
" Mbali Kule nasikia Malaika wa mbinguni.......Utukufu una Mungu Juu"
Kila la kheri kwa Wateule wote
Mimi nasema polepole kwanza ndo anaimarika sana. Unajua kukaa mahali pamoja kunadumaza akili sana Sasa pole pole akija kupewa uwaziri mkuu atakuwa na uwezo nao
Mwamba ana enda kula pisi za cuba