UTEUZI: Rais Samia ateua Katibu wa Rais, Mnikulu na wasaidizi wake wa Uchumi, Sheria, Siasa, Diplomasia n.k

Wakuu wa mikoa na wilaya ndio watangaze, hao wengine wapewe taarifa tu personally.
 
Rais ametoa salaam hasa za Jamhuri ya Muungano kwa kuteua wasaidizi toka Zanzibar na Tanganyika.

Kero za Muungano zinazidi kupunguzwa na Muungano kuimarishwa kwa kutosahau wasaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano lazima waonekane kutoka pande zote mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…