Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Hawajui hilo. Ngoja tuone wataendelea kushangilia mpaka lini [emoji16][emoji16][emoji16]CCM ni ile ile ooooooh ni ileeeeeeee.×3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajui hilo. Ngoja tuone wataendelea kushangilia mpaka lini [emoji16][emoji16][emoji16]CCM ni ile ile ooooooh ni ileeeeeeee.×3
Nope, Ngusa wa KRNgusa Dismas Samike
Kweli kiswahili kimepanuka 'mnikulu' ndiye mtu gani hapo ikulu
Mkuu umefukua hili kaburi, kweli watanzania aliyeturoga alikufa, tumeishasahau haya madudu ya Jk hadi tunatamani arudi kwa mlango wa uani?Mnikulu wa JK ndo alikuwa "mpambanaji" zaidi...
Mjue Shabani Gurumo, rafiki na kipenzi wa mkuu wa kaya
Majukumu yake kama Mnikulu na maelezo ya Utangulizi Kazi yake kubwa ni kusimamia majengo yote ya ikulu kwa maana ya shughuli za utawala. Yeye ndiye anahusika na usafi na decorations zote zinazohusu ikulu. Ni mtu anayeweza kuamua muonekano wa ikulu ukoje na hata kupanga na kuamua aina ya nguo...www.jamiiforums.com
Chuki zako za kidini na kikabila zitakuponzaBado sijaona mantiki ya kuambiwa hizi teuzi hadharani. Ni upuuzi mtupu.
Hivi kuna haja ya kuutangazia umma uteuzi wa wasaidizi wako binafsi wa ofisini ukiwa kama rais?....
Una lako jamboBado sijaona mantiki ya kuambiwa hizi teuzi hadharani. Ni upuuzi mtupu.
Hivi kuna haja ya kuutangazia umma uteuzi wa wasaidizi wako binafsi wa ofisini ukiwa kama rais?
Hivi watangulizi wake walifanya hivi?...
Hamna tatizo Mkuu wewe transform tu wengine watafanya shughuli nyingine.Africa hakuna tatizo la uhaba wa watu wanaomiliki makaratasi yanayoitwa vyeti isipokuwa kuwa kuna uhaba wa watu wanaotransfom hayo makaratasi kuwa tija kwenye jamii zao ...
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Bado sijaona mantiki ya kuambiwa hizi teuzi hadharani. Ni upuuzi mtupu.
Hivi kuna haja ya kuutangazia umma uteuzi wa wasaidizi wako binafsi wa ofisini ukiwa kama rais?
Hivi watangulizi wake walifanya hivi?
Maana ukianza kufanya haya, itabidi kila msaidizi wa rais awekwe wazi.
Kwa mfano; msaidizi wa mambo ya afya, michezo, biashara, kilimo, uvuvi, walemavu, Daktari wa Rais, Dereva wa rais, Dressing designer wa rais, Mpishi wa rais nk.
Na pia siku ukimbadilisha msaidizi itabidi uutangazie umma.
Yoyote kwa yote hao wasaidizi unawaweka katika mazingira ya kufuatwa fuatwa na watu ili wawasaidie kufikisha ujumbe kwa rais au kufanya lobbying. Na wakipata kashfa itahusishwa na ofisi ya rais.
Binafsi naona hili ni kama jambo la kishamba, kutokujiamini na udhaifu wa rais Samia ambao ameuweka hadharani. Sio kila kitu kinapaswa kuletwa hadharani.
15 May 2019
Jinamizi la korosho landelea kumsaka Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof Palamagamba Kabudi, wabunge wamtaka ajiuzulu kwa kumpotosha Rais Magufuli.