UTEUZI: Rais Samia ateua Katibu wa Rais, Mnikulu na wasaidizi wake wa Uchumi, Sheria, Siasa, Diplomasia n.k

Kila zama na kitabu chake. Hongera kwa Mh. Rais Samia kwa uteuzi. Wateuliwa wote watambue kuwa wameteuliwa kufanya kazi, hivyo wachape kazi kumsaidia Rais atekeleze majukumu yake kuwatumikia wananchi.
 
Wewe dini inakusaidia nini ..serikalini kuna dini..pumbav..hatuangalii udini wako wala ukabila wako, tunaangalia utendaji kazi
Kama hauna dini ni wewe....ila naona Rais yupo busy kujaza watu wa dini yake ila all in all hakuna jipya ni business as usual.
 
Nitajie alikuwa mshauri wa Diplomasia wa Rais Magufuli?
ken.ge wewe, nikutajie we kama nani?? Unajua hujui kama rais huwa anawashauri wa nyanja zote, wa kiusalama,kiuchumi,kidiplomasia, etc, mungu wenu magufuli ameharibu akili zenu nyie misukule wake, na bado hamuamini kama now Rais ni Samia,,,endeleen kuabudu mzoga
 

Ngusa Dismas Samike aliyekuwa Mnikulu wa Ofisi ya Rais, ametupwa wapi jamani?​

 
Kuna tofauti gani kati ya Mdaidizi na Mshauri ? Maana Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martin Shigella alikuwa mshauri wa siasa wa JK

Shigela hakuwahi kuwa ná nafasi hiyo first appointment ya Martin Dc Lindi baada ya kutoka Mlimani
 
Thread 'Rais Magufuli amteua Ngusa Dismas Samike kuwa Mnikulu wa Ofisi ya Rais' Rais Magufuli amteua Ngusa Dismas Samike kuwa Mnikulu wa Ofisi ya Rais
Sawa mkuu ndo maana Iyo nafasi nikasema labda aliteua moja tu japo sikua na huakika, na nilidhani nayo labda marehem Kijazi alikua anatembea nayo,but KWA hichi ulicho quote nami Sina jibu badala ya kukuhunga mkono, na je vipi nafasi zingine sio kwamba mwenda zake ndo alikua anatimiza nunua majogoo ya kumposa bi mkubwa?
 
Kero za Muungano hupunguzwa kwa kuteua?. Ki msingi hakuna kero za Muungano zaidi ya watu kushindwa kuamua kama tunakuwa kitu kimoja au kila mmoja kivyake maana hatuwezi kuungana nchi mbili halafu tuwe nchi mbili badala ya moja. Hao wametafutiwa ulaji tu, hamna lolote.
 

Acheni wivu jamani.

Mimate yote hyo ya nini?

Ungeteuliwa wewe ungeandika ulichoandika!?

Chuki ni umaskini wa juu sana.
 
Povu lanini bwa shekhe?
 
Zilikuwepo tangu kikwete, tofauti yake awamu ya mwendazake aliweka ndugu zake watupu
Jk enzi zake pia mlisema aliweka ndg zake
Alafu tukirudi kwwnye utawala wa jpm ikulu aliondoa mambo hayo

Ova
 
Mbona ulikuwa husemi hivyo enzi za jiwe wewe mataga?
Enzi za jiwe walikua wanachekelea tu mivyeo ya upande mmoja.sasa hivi Mataga wanajifanya eti hawaelewi[emoji1787][emoji1787]
 
harufu ya udini ikulu. 6/9 ya wateule wapya ni dini moja na mteuaji. haya mambo lazima yasemwe sasa kabla haijawa too late.

Magu ilikua 9 wote ni wakristo ndio unataka iwe hivyo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama hauna dini ni wewe....ila naona Rais yupo busy kujaza watu wa dini yake ila all in all hakuna jipya ni business as usual.

Wakati Magu anajaza asilimia 90 ya watu wake ulikua huwoni[emoji38][emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…