UTEUZI: Rais Samia ateua Katibu wa Rais, Mnikulu na wasaidizi wake wa Uchumi, Sheria, Siasa, Diplomasia n.k

Poleni wale wa zamani, utamu wa kazi kupokezana....sio waliokuwa wanafikiri kuongezeana muda!
 
Kweli kiswahili kimepanuka 'mnikulu' ndiye mtu gani hapo Ikulu
Anaenunua mashuka,mapazia,vikombe na sahani na vitunguu vya ikulu ndio mnikulu

Yaani kila kitu mle ndani yenye ndio mnunuzi yaani kwakifupi yeye ndio watchdog mkuu wa samani za madikodiko ya ikulu[emoji1787][emoji1787]
 
With all due respect Mkuu, jiongeze! Ofisi binafsi ya Rais sio Baraza la mawaziri. Inahitaji wasaidizi katika Maeneo anayoona yanafaa. Rais anafanyakazi zake ikulu
 

Watu hamna jema[emoji848]
 
Unamjua mama yake Ngusa?
 
With all due respect Mkuu, jiongeze! Ofisi binafsi ya Rais sio Baraza la mawaziri. Inahitaji wasaidizi katika Maeneo anayoona yanafaa. Rais anafanyakazi zake ikulu
Kilaza huyo achana nae. Yani mtu mzima hadi leo hajui kama Ikulu kunakuwa na hiyo Team. Hao tena wachache!

JF siku hizi sijui ina watu wa aina gani.
 
Wewe utakuwa Mtu wa Chato inakuuma sana, Mzilankende alikuwa anateuwa miaka mitano mfululizo sasa Mama anapiga dekio
 
Msemaji wa familia ya Hayati JPM
Hakuna ujanja. Magufuli ataendelea kuwatesa vichwani mwenu milele. Lazima mumtaje, vinginevyo nafsi zenu hazitulii. Viva Magufuli. Wanaokuchukia hawapost bila kukutaja. Umewakaa vichwani kuliko hata wale wanaokupenda.
 
kwani mnikulu anatakiwa kuwa na cv gani? maana hiyo ni tittle kama ya kimila hivi
Sidhani hiyo nafasi kama inahitaji Professionalism anaweza kupewa hata muuza kahawa muhimu atambuwe majukumu yake ni yapi.
 
Wakatoliki kama ilivyo Ada soon wataanza kumuandama huyu Mama na Nyaraka!
 
Sikuwahi kuzisikia kabla hizi teuzi kwa marais waliopita au labda nilipitwa.

1. Katibu wa Rais.
2. Msaidizi wa Rais, diplomasia.
3. Msaidizi wa Rais, nyaraka na ukalimani.
4. Msaidizi wa Rais, siasa.
5. Msaidizi wa Rais, maendeleo ya jamii.
6. Msaidizi wa Rais, uchumi.
7. Msaidizi wa Rais, sheria.

Je nafasi hizi zilikuwepo huko nyuma kabla na kwa majina tafadhali. Nawakilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…