View: https://m.youtube.com/watch?v=5PEPm9ErW2I
Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Meja Jenerali Simuli alikuwa Mkuu wa Utumishi Jeshini (JWTZ). Rais Samia akimuapisha Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli, kuwa Balozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023
Updates :
23 September 2023
hours ago — Taarifa kwa umma iliyotolewa inaeleza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Mwenyekiti wa bodi ya TANESCO.