Uteuzi: Rais Samia ateua Mabalozi 8 wapya

Uteuzi: Rais Samia ateua Mabalozi 8 wapya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mabalozi kama ifuatavyo:

1.Amemteua Meja Jenerali Ramson Godwin Mwaisaka kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo, Meja Jenerali Mwaisaka alikuwa Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Wanamaji (JWTZ).

2.Amemteua Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Meja Jenerali Simuli alikuwa Mkuu wa Utumishi Jeshini (JWTZ).

3.Amemteua Bw. Mohamed Awesu kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Bw. Awesu alikuwa Konseli Mkuu, Konseli ya Tanzania, Jeddah Saudia Arabia.

4.Amemteua Bw. Gelasius Byakanwa kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Bw. Byakanwa alikuwa Afisa Mkuu Ubalozi wa Tanzania, Korea ya Kusini.

5.Amemteua Dkt. Mohamed Juma Abdallah kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Abdallah alikuwa Katibu Tawala Mkoa wa Kaskazini Unguja.

6.Amemteua Bw. Hassan Mwamweta kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Bw. Mwamweta alikuwa Afisa Mambo ya Nje Mwandamizi na Mkuu wa Utawala, Ubalozi wa Tanzania, Uturuki.

7.Amemteua Bw. Imani Salum Njalikai kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Bw. Njalikai alikuwa Afisa wa Mambo ya Nje Mkuu na Msaidizi wa Waziri Mkuu – Hotuba

8. Amemteua Bw. Khamis Mussa Omar kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Bw. Mussa alikuwa Kaimu Mwakilishi wa Kudumu, Ubalozi wa Tanzania Ufaransa.

Uteuzi huu wa Mabalozi umeanza tarehe 10 Mei, 2023 na wataapishwa kwa tarehe itakayopangwa baadae.

View attachment 2630981
Hamna mwanamke.

Amandla...
 
Wanajeshi wanastaafu bado wana nguvu na umri unaruhusu kulingana na utaratibu wa kustaafu ulivyo jeshini, na nchi inatumia gharama nyingi kuwafundisha na kuwafikisha hatua hiyo. Kumpata officer cadet pekee ni procces sasa imagine kumpata Meja Jenerali.

Nchi nyingine wanaajiri kwa mikataba unakaa jeshini some years ukiwa labda dereva unatoka unaenda private company au taasisi ya serikali nyingine kutumia ujuzi wako kule, mfano ingekuwa tuna huo utaratibu hukosi madereva daredevils wa kwenda deep within DRC kwenye waasi.
Uturuki marubani wa jeshi wanastaafu wanaenda Turkish Airlines, kwa sababu kumpata rubani wa jeshi ni ngumu, muda mwingi, gharama kubwa kuliko inavyofikiriwa. Na anakuwa overqualified kwa civilian airliner ila hajazoea model ya ndege ya kiraia, akistaafu jeshi training kidogo na flight hours chache anakuwa rubani wa kiraia na wana performance nzuri sana.

Wapo wanajeshi wenye GPA, skills, uzalendo, common sense na sifa zote kubwa ila kwa vile wako restricted huwaoni uwezo wao. Ni hasara kuwafanya wastaafu na wasitumike tena nafasi nyingine. Kitu ambacho hawawezi ni kuongoza nchi, uko mara nyingi wanafeli vibaya sana
Huku kwetu wengi ni walevi haswa wanachoka haraka
 
IMG_8398.jpg
 
Nataka kuona kaondoa hawa maafisa waandamizi wa ngazi za juu JWTZ wote ‘wagalatia’ toka Bara ataleta akina nani toka wapi!

Kuna kitu nafanyia tafiti teuzi za watakao ziba nafasi zao zitahitimisha tafiti yangu

Kumbuka hawa Major -Generals wawili nafasi zao ni muhimu sana ktk JWTZ.Mmoja ndiyo mkuu wa utumishi JWTZ nafasi nono sana kiutendaji na mwingine mkuu wa kamandi ya jeshi la majini,nafasi ya maana sana.

Wataletwa akina nani kujaza hizi nafasi?
Tutampa mama yako izo nafasi
 
Wote walipokuwa Wagalatia sio shida ila shida itaanza Wakiwa Waislamu? Hapo utafiti utakuwa umekamilika au? Rais leta wa dini Yako kama ndio unawaamini usisikilize Hawa wapuuzi wa humu..

Sio Wala sitokuja kuwa Muislamu ila Kwa mwenendo wa Nchi hii Toka uhuru, Wakristo ni makatili na washenzi wakubwa wamekuwa wakivuruga maisha sana..

Ningekuwa na uwezo ningesema Waislamu ndio wawe wanakuwa Marais,huu ni ukweli mchungu ambao Wakristo wengi wanasema kimoyo Moyo..
Exactly kabisa
 
Kwenye hii Nchi wakristo ni 3/4 ya Wananchi wote, waislam hata 1/3 hawafiki hadi kwenye masomo ni hivyo hivyo but cha ajabu kwenye vyeo waislam wanakuwa wengi.
Ilitakiwa kuwe na wakristo 6 na waislam 2 hii ndio ingekuwa fair.
Tatizo nyie wezi na makatili
 
Duh aisee, huyu huyu Mwamweta? Kweli ukitaka kufanikiwa kuwa rafiki wa tajiri. Jamaa kafika mbali kwa mgongo wa RizOne. Alikuwa chawa wake toka Mkwawa.
hapa na mm nimeunganisha dots ,kumbe hizi teuzi ,from msoga,naamini hao mageneral wametolewa kwa Target fulani .@Muite
 
Waislamu 7 Kwa kristo1 ? Au kuna tafsiri nyingine? If this is the case, then si kweli nadhani ni 5-3
Why uislam na ukristo zinakuwa ndiyo ajenda kubwa nchi hii, vipi kuhusu sisi tusio na upande kati ya hizo mbili. Wapi ilisemwa kwamba hii nchi ni ya imani hizi mbili tu!
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mabalozi kama ifuatavyo:

1.Amemteua Meja Jenerali Ramson Godwin Mwaisaka kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo, Meja Jenerali Mwaisaka alikuwa Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Wanamaji (JWTZ).

2.Amemteua Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Meja Jenerali Simuli alikuwa Mkuu wa Utumishi Jeshini (JWTZ).

3.Amemteua Bw. Mohamed Awesu kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Bw. Awesu alikuwa Konseli Mkuu, Konseli ya Tanzania, Jeddah Saudia Arabia.

4.Amemteua Bw. Gelasius Byakanwa kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Bw. Byakanwa alikuwa Afisa Mkuu Ubalozi wa Tanzania, Korea ya Kusini.

5.Amemteua Dkt. Mohamed Juma Abdallah kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Abdallah alikuwa Katibu Tawala Mkoa wa Kaskazini Unguja.

6.Amemteua Bw. Hassan Mwamweta kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Bw. Mwamweta alikuwa Afisa Mambo ya Nje Mwandamizi na Mkuu wa Utawala, Ubalozi wa Tanzania, Uturuki.

7.Amemteua Bw. Imani Salum Njalikai kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Bw. Njalikai alikuwa Afisa wa Mambo ya Nje Mkuu na Msaidizi wa Waziri Mkuu – Hotuba

8. Amemteua Bw. Khamis Mussa Omar kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Bw. Mussa alikuwa Kaimu Mwakilishi wa Kudumu, Ubalozi wa Tanzania Ufaransa.

Uteuzi huu wa Mabalozi umeanza tarehe 10 Mei, 2023 na wataapishwa kwa tarehe itakayopangwa baadae.

View attachment 2630981
Mmeaminiwa na Mh. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan mkafanye kazi kwa maslahi ya taifa letu Tanzania.
 
Back
Top Bottom