Uteuzi: Rais Samia ateua Mabalozi 8 wapya

Uteuzi: Rais Samia ateua Mabalozi 8 wapya

Why uislam na ukristo zinakuwa ndiyo ajenda kubwa nchi hii, vipi kuhusu sisi tusio na upande kati ya hizo mbili. Wapi ilisemwa kwamba hii nchi ni ya imani hizi mbili tu!
Uko sahihi, irrespective of your negligible number, but surely you deserve equal treatment
 
Uko sahihi, irrespective of your negligible number, but surely you deserve equal treatment
Huwa nakereka sana kuona hii mijadala kaka, hata kama tupo wachache lakini sote ni raia wa nchi hii. Shida ni hawa wa hizi imani za mapokeo huona wao ndiyo wenye haki
 
NAFASI ZA KUTEULIWA.jpg
 
Nataka kuona kaondoa hawa maafisa waandamizi wa ngazi za juu JWTZ wote ‘wagalatia’ toka Bara ataleta akina nani toka wapi!

Kuna kitu nafanyia tafiti teuzi za watakao ziba nafasi zao zitahitimisha tafiti yangu

Kumbuka hawa Major -Generals wawili nafasi zao ni muhimu sana ktk JWTZ.Mmoja ndiyo mkuu wa utumishi JWTZ nafasi nono sana kiutendaji na mwingine mkuu wa kamandi ya jeshi la majini,nafasi ya maana sana.

Wataletwa akina nani kujaza hizi nafasi?
Taasisi sio watu ni mfumo, na kumbuka kuna successful exit plan bado wanaobaki wakafanya makubwa zaidi yao
 
Waislam watano (5) na wakristo watatu (3) ngoja amalize kipindi chake cha mpito, hii ni kusudi tu ili kuleta public debates as spinning for public deviations.
Dini zao zina umuhimu gani katika kutekeleza majukumu yao?? Unadhani fisadi mkristo, muislamu au mpagani wanatofauti??
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mabalozi kama ifuatavyo:

1.Amemteua Meja Jenerali Ramson Godwin Mwaisaka kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo, Meja Jenerali Mwaisaka alikuwa Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Wanamaji (JWTZ).

2.Amemteua Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Meja Jenerali Simuli alikuwa Mkuu wa Utumishi Jeshini (JWTZ).

3.Amemteua Bw. Mohamed Awesu kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Bw. Awesu alikuwa Konseli Mkuu, Konseli ya Tanzania, Jeddah Saudia Arabia.

4.Amemteua Bw. Gelasius Byakanwa kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Bw. Byakanwa alikuwa Afisa Mkuu Ubalozi wa Tanzania, Korea ya Kusini.

5.Amemteua Dkt. Mohamed Juma Abdallah kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Abdallah alikuwa Katibu Tawala Mkoa wa Kaskazini Unguja.

6.Amemteua Bw. Hassan Mwamweta kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Bw. Mwamweta alikuwa Afisa Mambo ya Nje Mwandamizi na Mkuu wa Utawala, Ubalozi wa Tanzania, Uturuki.

7.Amemteua Bw. Imani Salum Njalikai kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Bw. Njalikai alikuwa Afisa wa Mambo ya Nje Mkuu na Msaidizi wa Waziri Mkuu – Hotuba

8. Amemteua Bw. Khamis Mussa Omar kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Bw. Mussa alikuwa Kaimu Mwakilishi wa Kudumu, Ubalozi wa Tanzania Ufaransa.

Uteuzi huu wa Mabalozi umeanza tarehe 10 Mei, 2023 na wataapishwa kwa tarehe itakayopangwa baadae.

View attachment 2630981

zuhura Yunus, badili hilo neno baadae weka baadaye.
 
Gily nimeona uteuzi nikamkumbuka BABA YANGU wao ni wao 😁
 
Wote walipokuwa Wagalatia sio shida ila shida itaanza Wakiwa Waislamu? Hapo utafiti utakuwa umekamilika au? Rais leta wa dini Yako kama ndio unawaamini usisikilize Hawa wapuuzi wa humu..

Sio Wala sitokuja kuwa Muislamu ila Kwa mwenendo wa Nchi hii Toka uhuru, Wakristo ni makatili na washenzi wakubwa wamekuwa wakivuruga maisha sana..

Ningekuwa na uwezo ningesema Waislamu ndio wawe wanakuwa Marais,huu ni ukweli mchungu ambao Wakristo wengi wanasema kimoyo Moyo..
Baambie baelewe 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Waislamu 7 Kwa kristo1 ? Au kuna tafsiri nyingine? If this is the case, then si kweli nadhani ni 5-3

waislamu ndio wenye akili mkristo hana akili ndio maana hudanganywa ukishinda njaa ukafa utamuona yesu mbinguni hongera ezakielwa kenya na wamisungwi
 
Back
Top Bottom