Uteuzi: Rais Samia ateua Mabalozi 8 wapya

Uteuzi: Rais Samia ateua Mabalozi 8 wapya

Ndugu zangu tuishi kwa kujua hili;maisha hayatakuwa fair kwako;hutakuja kutendewa haki hata kama unaposses extraordinary skills!Serikali na mgawanyo wa keki si lazima ukufikie au ukukaribie.
What you can do is stick on your pace,don't pay your attention and give your time to wanasiasa and the so called government unless you are among the beneficiaries!
 
Waislam watano (5) na wakristo watatu (3) ngoja amalize kipindi chake cha mpito, hii ni kusudi tu ili kuleta public debates as spinning for public deviations.
Wangechaguliwa wakristo wote 8 kwako binafsi na kwenye ukristo kungekuwa na faida Gani?
 
Nataka kuona kaondoa hawa maafisa waandamizi wa ngazi za juu JWTZ wote ‘wagalatia’ toka Bara ataleta akina nani toka wapi!

Kuna kitu nafanyia tafiti teuzi za watakao ziba nafasi zao zitahitimisha tafiti yangu

Kumbuka hawa Major -Generals wawili nafasi zao ni muhimu sana ktk JWTZ.Mmoja ndiyo mkuu wa utumishi JWTZ nafasi nono sana kiutendaji na mwingine mkuu wa kamandi ya jeshi la majini,nafasi ya maana sana.

Wataletwa akina nani kujaza hizi nafasi?
Ulipaswa kuanza kujiuliza kwanini marais wote wakristo wamefariki kwa vifo tata.?

Mkapa na Magufuli vifo vyao vimefuatana.

Waliobakia wote waislamu...

Ukiuliza utaishia kuitwa mchochezi.
 
Waislam watano (5) na wakristo watatu (3) ngoja amalize kipindi chake cha mpito, hii ni kusudi tu ili kuleta public debates as spinning for public deviations.
Rafikiangu hizi ni fikira dhaifu sana. Hivi nani alikwambia dini ya mtu huwa ina impact kwenye maisha yeyote? Siku ukineemeka kwenda mbinguni kawaulize nabii Eliya na Danieli wao kama mtu 1 wasio na dini yeyote isipokuwa wenye Mungu (wa kweli) mioyoni mwao waliwezaje kubadili mifumo yote ya Serikali za Israeli na Babeli zilizokuwa na wenye dini maelfu kwa maelfu?
 
Waislam watano (5) na wakristo watatu (3) ngoja amalize kipindi chake cha mpito, hii ni kusudi tu ili kuleta public debates as spinning for public deviations.
nchicho ulichokiona. Hao wakristo wangewekwa watakusaidia nini. Fanya shughuli zako hizo ni akili za kimaskini. Umejaa roho ya chuki na ubaguzi utaishi kwa shida sana
 
View attachment 2630773

Meja Jenerali Ramson G. Mwaisaka ameteuliwa kuwa Balozi, awali alikuwa Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Wanamaji (JWTZ)

Amemteua Meja Jenerali Paul K. Simuli kuwa Balozi, awali alikuwa Mkuu wa Utumishi wa Jeshi la Wananchi (JWTZ)

Mohamed Awesu ameteuliwa kuwa Balozi, awali alikuwa Konseli Mkuu wa Konseli ya Tanzania Nchini Saudi Arabia

Pia, Rais amemteua Gelasius Byakanwa kuwa Balozi, kabla ya uteuzi alikuwa Afisa Mkuu wa Ubalozi wa Tanzania-Korea Kusini

Dkt. Mohamed J. Abdallah ameteuliwa kuwa Balozi, awali alikuwa Katibu Tawala Mkoa wa Kaskazini Unguja

Rais amemteua Hassan Mwamweta kuwa Balozi, kabla ya uteuzi alikuwa Afisa Mambo ya Nje Mwandamizi na Mkuu wa Utawala Ubalozi wa Tanzania Uturuki

Imani S. Njalikai ameteuliwa kuwa Balozi, awali alikuwa Afisa wa Mambo ya Nje Mkuu na Msaidizi wa Waziri Mkuu-Hotuba

Hamis M. Omar ameteuliwa kuwa Balozi, kabla ya uteuzi alikuwa Kaimu Mwakilishi wa Kudumu, Ubalozi wa Tanzania Ufaransa.

IKULU TANZANIA
Mataahira yalikuwa yanamlaumu hayati kwamba anateua sana wajeda, sasa hiki nini?
 
Nataka kuona kaondoa hawa maafisa waandamizi wa ngazi za juu JWTZ wote ‘wagalatia’ toka Bara ataleta akina nani toka wapi!

Kuna kitu nafanyia tafiti teuzi za watakao ziba nafasi zao zitahitimisha tafiti yangu

Kumbuka hawa Major -Generals wawili nafasi zao ni muhimu sana ktk JWTZ.Mmoja ndiyo mkuu wa utumishi JWTZ nafasi nono sana kiutendaji na mwingine mkuu wa kamandi ya jeshi la majini,nafasi ya maana sana.

Wataletwa akina nani kujaza hizi nafasi?
Wataletwa wavaa barakashia, wee subiri uonee hapoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanza ndio hata wamewalazimisha hata Waislamu kuwa wezi,sio hulka Yao..

Huku Kwa Wakristo hakuna hata hofu ya Mungu ni waigizahi ndio maana wanaishia kuwa Majiji,makatili na wasiojali utu wa wengine na Haki..

Hili jambo Huwa nimekuona hata maofisini japo shida ya Waislamu Baadhi Yao ni kutaka Kila mtu afuate dini Yao but Kwa walioelimika Wana nafuu Wakiwa mabosi kuliko Hawa wa dini yetu.
Mbna waislamu ndo wanaongoza kwa wizi, utapeli, ubadhirifu etc.
 
Nataka kuona kaondoa hawa maafisa waandamizi wa ngazi za juu JWTZ wote ‘wagalatia’ toka Bara ataleta akina nani toka wapi!

Kuna kitu nafanyia tafiti teuzi za watakao ziba nafasi zao zitahitimisha tafiti yangu

Kumbuka hawa Major -Generals wawili nafasi zao ni muhimu sana ktk JWTZ.Mmoja ndiyo mkuu wa utumishi JWTZ nafasi nono sana kiutendaji na mwingine mkuu wa kamandi ya jeshi la majini,nafasi ya maana sana.

Wataletwa akina nani kujaza hizi nafasi?
Aiseeeeee !!!

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom