Uteuzi: Rais Samia ateua Mabalozi 8 wapya

Uteuzi: Rais Samia ateua Mabalozi 8 wapya

Wote walipokuwa Wagalatia sio shida ila shida itaanza Wakiwa Waislamu? Hapo utafiti utakuwa umekamilika au? Rais leta wa dini Yako kama ndio unawaamini usisikilize Hawa wapuuzi wa humu..

Sio Wala sitokuja kuwa Muislamu ila Kwa mwenendo wa Nchi hii Toka uhuru, Wakristo ni makatili na washenzi wakubwa wamekuwa wakivuruga maisha sana..

Ningekuwa na uwezo ningesema Waislamu ndio wawe wanakuwa Marais,huu ni ukweli mchungu ambao Wakristo wengi wanasema kimoyo Moyo..

Ma Rais ‘wagalatia’ wakatili TZ ni wakatoliki sio kila dhehebu.
Rais Mkapa na Magufuli walikua wakatoliki na ni makatili mno kwa kuonea watu.
Rais Nyerere alikua mkatoliki lkn ukatili wake una afadhali.
Lkn ktk JWTZ ‘wagalatia’ wanafanya vyema sio sawa kuwaondoa
 
Waislam watano (5) na wakristo watatu (3) ngoja amalize kipindi chake cha mpito, hii ni kusudi tu ili kuleta public debates as spinning for public deviations.
Ni vile ubongo wako unakupa maelezo sahihi ya ukitakacho
 
Nataka kuona kaondoa hawa maafisa waandamizi wa ngazi za juu JWTZ wote ‘wagalatia’ toka Bara ataleta akina nani toka wapi!

Kuna kitu nafanyia tafiti teuzi za watakao ziba nafasi zao zitahitimisha tafiti yangu

Kumbuka hawa Major -Generals wawili nafasi zao ni muhimu sana ktk JWTZ.Mmoja ndiyo mkuu wa utumishi JWTZ nafasi nono sana kiutendaji na mwingine mkuu wa kamandi ya jeshi la majini,nafasi ya maana sana.

Wataletwa akina nani kujaza hizi nafasi?
Nafasi zitajazwa kimya kimya, hutojua Labda kama umo ndani
 
Meja Jenerali, IGP unawateua mabalozi. Heri uambiwe toka ulipo kaka nyumbani italipwa mashahara wako mpaka ustaafu. Ubalozi umekuwa sehemu ya kutupa wasiopendeka.
 
Meja Jenerali, IGP unawateua mabalozi. Heri uambiwe toka ulipo kaka nyumbani italipwa mashahara wako mpaka ustaafu. Ubalozi umekuwa sehemu ya kutupa wasiopendeka.
Nchi inaendeshwa kwa namna ya ajabu ssna
 
Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania​

UTEUZI​

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mabalozi kama ifuatavyo:

1.Amemteua Meja Jenerali Ramson Godwin Mwaisaka kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo, Meja Jenerali Mwaisaka alikuwa Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Wanamaji (JWTZ).

2.Amemteua Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Meja Jenerali Simuli alikuwa Mkuu wa Utumishi Jeshini (JWTZ).

3.Amemteua Bw. Mohamed Awesu kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Bw. Awesu alikuwa Konseli Mkuu, Konseli ya Tanzania, Jeddah Saudia Arabia.

4.Amemteua Bw. Gelasius Byakanwa kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Bw. Byakanwa alikuwa Afisa Mkuu Ubalozi wa Tanzania, Korea ya Kusini.

5.Amemteua Dkt. Mohamed Juma Abdallah kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Abdallah alikuwa Katibu Tawala Mkoa wa Kaskazini Unguja.

6.Amemteua Bw. Hassan Mwamweta kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Bw. Mwamweta alikuwa Afisa Mambo ya Nje Mwandamizi na Mkuu wa Utawala, Ubalozi wa Tanzania, Uturuki.

7.Amemteua Bw. Imani Salum Njalikai kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Bw. Njalikai alikuwa Afisa wa Mambo ya Nje Mkuu na Msaidizi wa Waziri Mkuu – Hotuba

8. Amemteua Bw. Khamis Mussa Omar kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Bw. Mussa alikuwa Kaimu Mwakilishi wa Kudumu, Ubalozi wa Tanzania Ufaransa.

Uteuzi huu wa Mabalozi umeanza tarehe 10 Mei, 2023 na wataapishwa kwa tarehe itakayopangwa baadae.
Jamani wenzie wanalama Asali Pascal analamba miguu tuu aonewe hurumaa.
Anazeeka vibayanooo
 
Nataka kuona kaondoa hawa maafisa waandamizi wa ngazi za juu JWTZ wote ‘wagalatia’ toka Bara ataleta akina nani toka wapi!

Kuna kitu nafanyia tafiti teuzi za watakao ziba nafasi zao zitahitimisha tafiti yangu

Kumbuka hawa Major -Generals wawili nafasi zao ni muhimu sana ktk JWTZ.Mmoja ndiyo mkuu wa utumishi JWTZ nafasi nono sana kiutendaji na mwingine mkuu wa kamandi ya jeshi la majini,nafasi ya maana sana.

Wataletwa akina nani kujaza hizi nafasi?
Mzoea lozi hatafuni njugu. Hao Wagalatia - kama ulivyosema - uteuzi wao haukulalamikiwa kwani ni wagaltia. Sasa ngoja ateuliwe msalihina au ateuliwe kutoka kule visiwani usikie maneno. Nchi hii kuna kundi liliona ni mali yao peke yao na wengine ni wasindikizaji tu, lakini hakuna urefu usio na mwisho.
 
Kwanza ndio hata wamewalazimisha hata Waislamu kuwa wezi,sio hulka Yao..

Huku Kwa Wakristo hakuna hata hofu ya Mungu ni waigizahi ndio maana wanaishia kuwa Majiji,makatili na wasiojali utu wa wengine na Haki..

Hili jambo Huwa nimekuona hata maofisini japo shida ya Waislamu Baadhi Yao ni kutaka Kila mtu afuate dini Yao but Kwa walioelimika Wana nafuu Wakiwa mabosi kuliko Hawa wa dini yetu.
Unaongelea waislam wa wapi hao wasiyo kuwa wezi na wenye hofu ya Mungu katika utawala wao?
Nionavyo unaweza saidiwa na asiyekuwa wa dini yako hadi ukahisi huku ndiko Sahihi kwenye ukarimu lakini rejea upande wako wengi wao hata akiwa anakujua atahitajia akuone upigi hatua Kwa Kasi kama yake.
Tuitoe hofu ya dini katika hizi teuzi kwakuwa huwa hazina athali za wazi bali tupime uwezo wa wateuliwa baada ya kupata hizo nafasi.
 
DUH..., kumbe bado hatuna KE wa kutosha kwenye baadhi ya maeneo!, ila pia hii ya 3/5 ni upuuzi tuu, there was time ngoma kama hizi zilikuwa zinapigwa hadi 8/2 and no one complained!, sasa zinafanyika juhudi za standardization kwa affirmative action, watu wana complain!.
P
Lini mkuu,hebu nizukijage!
 
Wameanza kazi tar 10 May ila habari inatoka Leo tar 21 May!

Walimu hawaruhusiwi kuteuliwa? Nauliza.
 
DUH..., kumbe bado hatuna KE wa kutosha kwenye baadhi ya maeneo!, ila pia hii ya 3/5 ni upuuzi tuu, there was time ngoma kama hizi zilikuwa zinapigwa hadi 8/2 and no one complained!, sasa zinafanyika juhudi za standardization kwa affirmative action, watu wana complain!.
P
Hata ingekuwa 8/1 ni haki maana waislam ni wachache sana hapa Tanzania compared to Christians.
 
Back
Top Bottom