MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
Raisi anavizia tumelala ndio anafanya teuzi ili tumwone anapiga kazi sana mpka anakesha nchi ngumu hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1-7.Kwani ulitaka iweje?
Waislamu 7 Kwa kristo1 ? Au kuna tafsiri nyingine? If this is the case, then si kweli nadhani ni 5-31-7.
Bro tafiti utaishi vipi utakapostaafu na sio kutafiti mambo yasiyo na tija na maisha yakoNataka kuona kaondoa hawa maafisa waandamizi wa ngazi za juu JWTZ wote ‘wagalatia’ toka Bara ataleta akina nani toka wapi!
Kuna kitu nafanyia tafiti teuzi za watakao ziba nafasi zao zitahitimisha tafiti yangu
Kumbuka hawa Major -Generals wawili nafasi zao ni muhimu sana ktk JWTZ.Mmoja ndiyo mkuu wa utumishi JWTZ nafasi nono sana kiutendaji na mwingine mkuu wa kamandi ya jeshi la majini,nafasi ya maana sana.
Wataletwa akina nani kujaza hizi nafasi?
Mkitoka hapo mnasema nyie huwa mpo kimya, ukweli mna manung'uniko kama watoto wa kambo4 : 4
Ila kakuta na raia hawalali usiku kucha wanawaza shida zao tuRaisi anavizia tumelala ndio anafanya teuzi ili tumwone anapiga kazi sana mpka anakesha nchi ngumu hii.
Ni wapi mtu ametajwa kuwa ni muislam au mkristo au dini nyingine?Waislam watano (5) na wakristo watatu (3) ngoja amalize kipindi chake cha mpito, hii ni kusudi tu ili kuleta public debates as spinning for public deviations.
Haitatangazwa aisee ila we'll keep our eyes openNataka kuona kaondoa hawa maafisa waandamizi wa ngazi za juu JWTZ wote ‘wagalatia’ toka Bara ataleta akina nani toka wapi!
Kuna kitu nafanyia tafiti teuzi za watakao ziba nafasi zao zitahitimisha tafiti yangu
Kumbuka hawa Major -Generals wawili nafasi zao ni muhimu sana ktk JWTZ.Mmoja ndiyo mkuu wa utumishi JWTZ nafasi nono sana kiutendaji na mwingine mkuu wa kamandi ya jeshi la majini,nafasi ya maana sana.
Wataletwa akina nani kujaza hizi nafasi?
Wote walipokuwa Wagalatia sio shida ila shida itaanza Wakiwa Waislamu? Hapo utafiti utakuwa umekamilika au? Rais leta wa dini Yako kama ndio unawaamini usisikilize Hawa wapuuzi wa humu..Nataka kuona kaondoa hawa maafisa waandamizi wa ngazi za juu JWTZ wote ‘wagalatia’ toka Bara ataleta akina nani toka wapi!
Kuna kitu nafanyia tafiti teuzi za watakao ziba nafasi zao zitahitimisha tafiti yangu
Kumbuka hawa Major -Generals wawili nafasi zao ni muhimu sana ktk JWTZ.Mmoja ndiyo mkuu wa utumishi JWTZ nafasi nono sana kiutendaji na mwingine mkuu wa kamandi ya jeshi la majini,nafasi ya maana sana.
Wataletwa akina nani kujaza hizi nafasi?
Kuimba kupokezana kaka, subiri zamu ya kwajina la babaZama za Asalama aleikumu
DUH..., kumbe bado hatuna KE wa kutosha kwenye baadhi ya maeneo!, ila pia hii ya 3/5 ni upuuzi tuu, there was time ngoma kama hizi zilikuwa zinapigwa hadi 8/2 and no one complained!, sasa zinafanyika juhudi za standardization kwa affirmative action, watu wana complain!.
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
UTEUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mabalozi kama ifuatavyo:
1.Amemteua Meja Jenerali Ramson Godwin Mwaisaka kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo, Meja Jenerali Mwaisaka alikuwa Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Wanamaji (JWTZ).
2.Amemteua Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Meja Jenerali Simuli alikuwa Mkuu wa Utumishi Jeshini (JWTZ).
3.Amemteua Bw. Mohamed Awesu kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Bw. Awesu alikuwa Konseli Mkuu, Konseli ya Tanzania, Jeddah Saudia Arabia.
4.Amemteua Bw. Gelasius Byakanwa kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Bw. Byakanwa alikuwa Afisa Mkuu Ubalozi wa Tanzania, Korea ya Kusini.
5.Amemteua Dkt. Mohamed Juma Abdallah kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Abdallah alikuwa Katibu Tawala Mkoa wa Kaskazini Unguja.
6.Amemteua Bw. Hassan Mwamweta kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Bw. Mwamweta alikuwa Afisa Mambo ya Nje Mwandamizi na Mkuu wa Utawala, Ubalozi wa Tanzania, Uturuki.
7.Amemteua Bw. Imani Salum Njalikai kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Bw. Njalikai alikuwa Afisa wa Mambo ya Nje Mkuu na Msaidizi wa Waziri Mkuu – Hotuba
8. Amemteua Bw. Khamis Mussa Omar kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Bw. Mussa alikuwa Kaimu Mwakilishi wa Kudumu, Ubalozi wa Tanzania Ufaransa.
Uteuzi huu wa Mabalozi umeanza tarehe 10 Mei, 2023 na wataapishwa kwa tarehe itakayopangwa baadae.
Mimi ni Mkristo ila nasadiki maandishi yako, wengi wa imani yetu wakishika hiko kiti lazima wafanye ya kusikitisha.Wote walipokuwa Wagalatia sio shida ila shida itaanza Wakiwa Waislamu? Hapo utafiti utakuwa umekamilika au? Rais leta wa dini Yako kama ndio unawaamini usisikilize Hawa wapuuzi wa humu..
Sio Wala sitokuja kuwa Muislamu ila Kwa mwenendo wa Nchi hii Toka uhuru, Wakristo ni makatili na washenzi wakubwa wamekuwa wakivuruga maisha sana..
Ningekuwa na uwezo ningesema Waislamu ndio wawe wanakuwa Marais,huu ni ukweli mchungu ambao Wakristo wengi wanasema kimoyo Moyo..
Hebu ondoa huu upuuzi humu toka lini Tz tumeanza kuhesabu huyu dini gani na huyu dini gani? sheria gani inaongelea 50/50? kama unaenda huko labda ungeweka wafanyakazi wote serikalini kama utapata hiyo 50/50. Tanzania hatujawahi kuongelea udini na hata wakati wa Nyerere wakati waislamu walikuwa wakilalamika Nyerere kuwatenga na nilipinga hilo sababu viongozi walikuwa wanateuliwa kwa sababu zingine lakini sio udini mbona baraza la mawaziri kuna wakristo 15 na 9 tu waislamu nani aliwateua hawa, sio Rais Samia? alitumia udini? acha hizo wameteuliwa sababu wana uwezo hakuna udini.Waislam watano (5) na wakristo watatu (3) ngoja amalize kipindi chake cha mpito, hii ni kusudi tu ili kuleta public debates as spinning for public deviations.
Kwanza ndio hata wamewalazimisha hata Waislamu kuwa wezi,sio hulka Yao..Mimi ni Mkristo ila nasadiki maandishi yako, wengi wa imani yetu wakishika hiko kiti lazima wafanye ya kusikitisha.