UTEUZI: Rais Samia Suluhu afanya teuzi za Wenyekiti wa Bodi, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi

Tuliambiwa Rais atawahutubia WADEMKAJI leo vipi updates
 
Tuliambiwa Rais atawahutubia WADEMKAJI leo vipi updates
Wademkaji Ni Kesho Alhamis Atawapa Iftari Hapo Hapo. Unajua Wale Wademkaji Wanajisahau Sana
πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Naona Mama Samia kawapotezea itikadi kali wa Jamii Forum wanao pambana kumjaza chuki na kumfitinisha na wakristo na maaskofu

Mara oooh kuwa macho na maaskofu

Mara oooh maaskofu hawatakupenda
 
Safi sana but Likija jitu kama Big shaw linahesabu islamia ngapi kristu ngapi!!
 
Wademkaji Ni Kesho Alhamis Atawapa Iftari Hapo Hapo. Unajua Wale Wademkaji Wanajisahau Sana
πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Uma na kupulizia siyo!!!
 
Naona Mama Samia kawapotezea itikadi kali wa Jamii Forum wanao pambana kumjaza chuki na kumfitinisha na wakristo na maaskofu

Mara oooh kuwa macho na maaskofu

Mara oooh maaskofu hawatakupenda
Yule Mama anajitambua, anajua miluzi mingi itamwelekeza chaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…