Itakuwa kweli na tatizo alimpangia SSH safari ya kwenda kuzindua miradi Tanga, wakati anajua kabisa kuwa JPM ni mgonjwa. Hujuma zimegonga mwamba. Kwisha habari yake.Bashiru kang'olewa huenda zile tuhuma ni kweli
Itakuwa kweli na tatizo alimpangia rais safari ya kwenda kuzindua miradi wakati anajua kabisa kuwa rais Ni mgonjwa. Hujuma zimegonga mwamba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza hakuwa na uwezo huo na pia tuhumaBashiru kang'olewa huenda zile tuhuma ni kweli
Hana uwezo snHongera sana kwake, hii ni aibu kwetu waganda kyaka.
Tuache kwanza tupo kwenye maombolezo.Mama sio strong ku-deal na hawa watu.Huyu alipaswa kuachwa kam alivyo tu na si kupewa ubunge.
HahahahahaMabalozi wetu kwenye mataifa makubwa huwa ni majasusi wabobezi au nasema uongo ndugu zangu
Kwaheri Kakurwa🤣🤣 wasalimu katereroKwanza hakuwa na uwezo huo na pia tuhuma
Anakwenda kupata uzoefu bungeni then ampe uwaziriHana uwezo sn