UTEUZI: Rais Samia Suluhu amteua Balozi Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ali ateuliwa kuwa Mbunge

UTEUZI: Rais Samia Suluhu amteua Balozi Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ali ateuliwa kuwa Mbunge

Kakurwa hata mshahara wa kwanza wa Katibu Kiongozi haujaingia
1617209672441.png
 
Mama sio strong ku-deal na hawa watu.Huyu alipaswa kuachwa kam alivyo tu na si kupewa ubunge.

Msishangae akampa uwaziri.

Huyu mama sijui kama ataweza kulipiga chini lile kundi la SUKUMA GANG.
Huyo amewekwa kiporo kidogo, hawezi pewa uwaziri asilani. Kuna dude linasukwa.
 
Back
Top Bottom