Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akafie mbaliKwaheri kakurwa🤣🤣 wasalimu katerero
A wise choiceRais Samia Hassan amemteua Balozi Hussein Katanga ambaye ni Balozi wa Japan kuwa Katibu Mkuu Kiongozi akichukua nafasi ya Balozi Bashiru Ally ambaye ameteuliwa kuwa Mbunge.
Rais Samia Suluhu amesema kuwa nafasi ya Balozi Katanga itajazwa baadaye.
I so suspectBashiru kang'olewa huenda zile tuhuma ni kweli
Noma sana.kazi za kuteuliwa nuksi.Katibu mkuu hadi ubunge?
Ataharibu zaidiAnakwenda kupata uzoefu bungeni then ampe uwaziri
Achana na mawazo ya makundi. Kila kinachofanyika utawaza makundi.Mama sio strong ku-deal na hawa watu.Huyu alipaswa kuachwa kam alivyo tu na si kupewa ubunge.
Msishangae akampa uwaziri.
Huyu mama sijui kama ataweza kulipiga chini lile kundi la SUKUMA GANG.
Kutoka Katibu Mkuu wa CCM, Katibu Mkuu Kiongozi hadi mbunge wa kuteuliwa hii inaitwa from GLORY to ASHES!Katibu mkuu hadi ubunge?
Wamebaki wangapi?Baraza jipya ,Sukuma gang wanaendelea kupeta kwa sababu ndiyo wenye akili zaidi.
H Katanga anauwezo mkubwaKakurwa hata mshahara wa kwanza wa Katibu Kiongozi haujaingia
Huyo amewekwa kiporo kidogo, hawezi pewa uwaziri asilani. Kuna dude linasukwa.Mama sio strong ku-deal na hawa watu.Huyu alipaswa kuachwa kam alivyo tu na si kupewa ubunge.
Msishangae akampa uwaziri.
Huyu mama sijui kama ataweza kulipiga chini lile kundi la SUKUMA GANG.