UTEUZI: Rais Samia Suluhu amteua Balozi Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ali ateuliwa kuwa Mbunge

UTEUZI: Rais Samia Suluhu amteua Balozi Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ali ateuliwa kuwa Mbunge

Naona kama Mh. Rais baada ya kuwa Mwenyekiti wa ccm ndio atakuja kuunda baraza lake kamili. Kwa sasa amewapa golden chance ya mtu kujipima kama ataendana na formation yake au laa.

Ila polepole na Kakurwa hakuna ata mmoja anayefaa ata unaibu Waziri kweli?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kila zama ni kitabu chake
 
Kitendo cha kutengua uteuzi au nafasi ya Bashiru Ali Kakurwa kutoka nafasi ya Katibu Mkuu kiongozi hadi kuwa mbunge ni kitendo cha kuonyesha kujali na kuheshimu utawala wa kisheria.
Nafasi ya Katibu Mkuu kiongozi haipaswi kukaliwa na mwanasiasa kama alivyo Bashiru Kakurwa.
Huyu Bashiru huyu ilikuwaje akawa pale? dah Jiwe bhana!
 
IMG_4911.jpg
#HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Hussein Katanga ambaye ni Balozi wa Japan kuwa Katibu Mkuu Kiongozi akichukua nafasi ya Balozi Bashiru Ally ambaye ameteuliwa kuwa Mbunge.
 
Bashiru kaweka bando la wiki muda huu anaangalia tulivyopokea ushukaji wake wa cheo.
 
Wasi wasi wangu ni kwamba tumetoka usukumani tukaenda Unguja..
Naona kama Mh. Rais baada ya kuwa Mwenyekiti wa ccm ndio atakuja kuunda baraza lake kamili. Kwa sasa amewapa golden chance ya mtu kujipima kama ataendana na formation yake au laa.

Ila polepole na Kakurwa hakuna ata mmoja anayefaa ata unaibu Waziri kweli?
 
Ba

Balozi Katanga kutoka DED- Kinondoni Municipal, RAS, Mtendaji Mkuu Idara ya mahakama, Balozi and now Chief Secretary! Hongera sana.
Mhe Katanga yupo vizuri kiutendaji alifanya vizuri sana alipokuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama (Mahakama ni mhimili kamili siyo idara)
 
Hivi jamani sifa za mtu kuwa Katibu mkuu kiongozi ni zipi?
 
Kongole kwako Dkt.Bashiru Ally kwa uteuzi wa Ubunge hakika hapo ulipo sasa ni swala la muda tu pengine tusishangae kusikia ukiteuliwa nafasi ya uwaziri , usidhohofike kutoka nafasi ya KMK hadi M.P...
chawa huwa mnajua sana kuwajaza matumaini hewa maboss zenu wanaowaweka mjini.
 
Back
Top Bottom