Uteuzi Septemba 2, 2024: Rais Samia ateua na kuhamisha vituo vya kazi viongozi mbalimbali

Uteuzi Septemba 2, 2024: Rais Samia ateua na kuhamisha vituo vya kazi viongozi mbalimbali

Mama ameteua na kutengua mpaka tumemchoka. Uwajibikaji sifuri, ufanisi sifuri, upigaji 90%.
Hao watu huwa wanapata muda saa ngapi wa kufanya mipango ya utekelezaji,maana mtu anakaa sehemu mwaka mmoja kahamishwa!
 
Hii ndiyo kazi pekee anaiweza kuteua, kuhamisha na kupangua lengo kuchezea mali za umma na hakuna ufanisi wowote
Hakika bibi chura kiziwi, kwa hili AMEZIDI..kwanza inaigharimu serikali fedha nyingi, pili inaondoa usimamizi na utulivu kwa hao viongozi na mwisho inaonyesha yeye mwenyewe na vetting system yake ni hovyo
 
Wanakuwa wezi maana wanajua mda wowote ule wanatenguliwa .
 
Kiutendaji inaongeza Ari ya utendaji, mkuu wa kitengo akikaa mahali muda mrefu utendaji Huwa unapungua. Mfano mbowe amekuwa mwenyekiti muda mrefu ndio kama CHADEMA imepotea kwenye ramani
Mbona mumeo amekaa muda mrefu na bado anachapa kazi?
 
Hakika bibi chura kiziwi, kwa hili AMEZIDI..kwanza inaigharimu serikali fedha nyingi, pili inaondoa usimamizi na utulivu kwa hao viongozi na mwisho inaonyesha yeye mwenyewe na vetting system yake ni hovyo
Hakuna vetting yoyote mkuu zaidi ya uchawa na ushirikina, ndiyo ni gharama kubwa sn hamisho, teuzi na tengua
 
Ukifika Arumeru, hakikisha unapunguza, utapeli wako na tabia ya kukichonganisha chama na serikali.

Pia upunguze maneno na uongeze ufanisi wa kazi.

Kuwa ndugu wa waziri mkuu,kisiwe kisingizio cha wewe kutokufanya kazi Kwa uaminifu.
 
TANZANIA YANGU.

Hivi hawa watu wana kazi gani???????
Inasikitisha sana.
 
Kuna haja ya kuwaangukia miguuni CCM kuwaomba kama itawapendeza fomu isiwe moja huyu mama tumemchoka sana aise.

Tunajua wao wakiweka hata jiwe lazima washinde maana wanakila namna ya kushinda na ushahidi wamekuwa wakiutoa wao sirini na hadharani, kwahiyo akipitishwa huyu mmama lazima apite tu. Ila ombi watubadilishie wamweke hata Lusinde maana angalau akili ya mwanaume ni tofauti na huyu jamani.

Tunatengua na kuteua kila uchwao lakini ufanisi wa kazi ni sifuri na ni utumiaji mbovu wa rasilimali za nchi. Yaani mtu anatolewa Musoma anapelekwa Rorya na mwingine anatolewa Rorya anapelekwa Musoma yaani hakuna la maana ni kulipana posho na kufanya mambo ya kijinga tu.

Huyu mama hatufai watanzania tunaomba watu wa usalama japo mmeshindwa kusimama mahala penu ila tuleteeni mwanaume hapa ni kitu kizito tumepigwa nacho.
 
Anaendelea kujifunza na kupata uzoefu
Maisha lazima yaende
 
Ukifika Arumeru, hakikisha unapunguza, utapeli wako na tabia ya kukichonganisha chama na serikali.

Pia upunguze maneno na uongeze ufanisi wa kazi.

Kuwa ndugu wa waziri mkuu,kisiwe kisingizio cha wewe kutokufanya kazi Kwa uaminifu.
Majungu eee?!!

Mkalipa mbona yuko tofauti na usemacho?!!

Ama ulishindwa kutimiza wajibu wako na akakuwajibisha?!! [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom