Baraka Mina
JF-Expert Member
- Sep 3, 2020
- 586
- 590
Ukiwa unasali siku ya ijumaa kuna raha ya kuteuliwaRais Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Sophia Simba kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii.
View attachment 2186352
haswaaa,bado nchimbi emanuel naona wamemweka jeshi la akiba.Wale wote waliogombana na Jiwe wamerudi serikalini na chamani kwa kishindo
Rais anafanya uteuzi akiwa yuko Marekani... kazi iendeleeNimeipenda hiyo washington DC. Kazi kazi
Hivii,hakuna watu wengine wanarudishwa wale wale?Disgusting.There are better people than Sophia Simba jamani,lakini kwa nini hivi?Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Sophia Simba kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii.
View attachment 2186352
Hapana siyo kweli...tujaribu kuwa positive.Ukiwa unasali siku ya ijumaa kuna raha ya kuteuliwa
hatari sana, bibi bado yupo kazini, anatupigisha stepu za kurudi nyuma tu
Mtaelewa taratibuuuHapana siyo kweli...tujaribu kuwa positive.
Hakuna udini kwa Mama,udini na ukanda alikuwa nao Simba wa Yuda.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ipi,kuwateua akina Sophia Simba,Kinana,Ridhiwani,Makamba etc.Yaani nimeichukia nchi yangu ghafla.Tunakoenda siko I am sorry.Rais Wetu Anatufanyizia Kazi Sana
Tumepigwa Mno Huyu MamaIpi,kuwateua akina Sophia Simba,Kinana,Ridhiwani,Makamba etc.Yaani nimeichukia nchi yangu ghafla.Tunakoenda siko I am sorry.
Ma mkwe naona unaumia sana, pole sana kwa kweeeeeeli...Katiba mpya muhimu
Anateua kila siku kila mtu
Nguvu ya rais imepindukia
Kataa katiba ya kikoloni hii.
Thenatakuja kumalizia kwa Geleja ili safu iwe imekamilikahaswaaa,bado nchimbi emanuel naona wamemweka jeshi la akiba.
ulitaka wakina nani wateuliwe?Ipi,kuwateua akina Sophia Simba,Kinana,Ridhiwani,Makamba etc.Yaani nimeichukia nchi yangu ghafla.Tunakoenda siko I am sorry.
Mkuu wewe acha tu.Naona 2025 mbali sana,na hata huko sidhani kama kuna natumaini kwa safu anayoipanga.Yaani ni ya wapigaji tupu.Mungu atusaidie sana.Tumepigwa Mno Huyu Mama