Michael mbano
JF-Expert Member
- Apr 4, 2022
- 820
- 570
Mi sikujuwa ila kuna mtu aliniambia balozi wa misri nchimbi.Hivi balozi wa Misri ni nani kwa sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi sikujuwa ila kuna mtu aliniambia balozi wa misri nchimbi.Hivi balozi wa Misri ni nani kwa sasa?
Hapo ndipo mjue kuna tatizo la kiuongozi nchi hii, yaani wakati ndiyo unajiandaa kuleta utaalam wako gafla bin vuuu unatolewa.Mi sikujuwa ila kuna mtu aliniambia balozi wa misri nchimbi.
Kweli kateua akiwa marekan au ni mimi ndo elimu yangu ndogo darasa la 7 cRais anafanya uteuzi akiwa yuko Marekani... kazi iendelee
Huyo Sophia aliwahi kusema hakuna wakumfukuza chamani kwani hajapelekwa na mtu paleWale wote waliogombana na Jiwe wamerudi serikalini na chamani kwa kishindo
Mwaka 2015 huyu Sofia Simba ndiye aliongoza kwaya ikiimba "TUNA IMANIIII NA LOWASSAA HOYA HOYA HOYA" mbele ya Kikwete na Mwinyi na Mkapa.haswaaa,bado nchimbi emanuel naona wamemweka jeshi la akiba.