Michael mbano
JF-Expert Member
- Apr 4, 2022
- 820
- 570
sawa.Long time nilikuwa nasoma maandiko yakowakati cjajiunga hapa.PoaNipo kiongozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa.Long time nilikuwa nasoma maandiko yakowakati cjajiunga hapa.PoaNipo kiongozi
Wale wa mikono ya Sweta mlie tuKeki ya Taifa inaliwa na watu wa Msoga.
Laiti ingewezekana!Dah,ni kweli tumepigwa mkuu,ila wengine tulijua mapema,lakini tuliposema tukanaangwa.Hukuhitaji kuwa na PhD au akili saana kujua kwamba tulikuwa tumefungiwa mbuzi kwenye gunia,ulihitaji tu kujua historia yake specifically aquitances zake na ajira zake.Kwahiyo chuma kirudi ama!
Dah,nimeamini kweli kina wenyewe!Lakini,lakini.........!!!!!!!!Tusisahau Rwanda.The writing is on the wall for CCM👇👇.Chezea Saigon Club wewe!! Sukuma Gang mlie tu,tuliwaambia nyie ni wavamizi tu, CCM ina wenyewe na ndiyo hawa wanarudi kwa kasi ya 5GView attachment 2187036
Sophia Simba team LowasaRais Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Sophia Simba kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii (ISW). Bi. Simba ni Mbunge Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pia amemteua Jaji Hamisa Hamisi Kalombola kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma. Jaji Kalombola ni Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania
Sambamba na uteuzi huo, Rais Samia amemteua Obey Nkya Assery kuwa Mwenyikiti wa Bodi ya Usimamizi wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC). Bw. Assery ni Mshauri Mwandamizi, Taasisi ya Global Alliance for Improved Nutrition, Dar es Salaam.
View attachment 2186352
Nyinyi ndio watu wa ajabu sana, mnatumia akili zenu kutaka kuwaaminisha watu kuwa CCM kama chama lazima kiwaamulie mambo na kwa ujinga huo mmewapa CCM kibali cha kuwatawala.Wewe ni wa ajabu sana na inaelekea hujui kazi ya Makamu wa Chama hasa CCM.
Makamu wa Chama ni mshauri mkuu wa Mwenyekiti wa Chama,na kwa hiyo Rais,kwa kuwa kwa CCM, Mwenyekiti ndiye Rais.So Makamu wa Chama Cha CCM ana nafasi kubwa sana katika ku-influence muelekeo wa nchi.
Nyie ndio watu manaosababisha CCM wajione ni serikali kamili. Tuna katiba ambayo Rais anaitekeleza na kuhusu ilani tuna bunge ambalo kikatiba halitekelezi ilani ya chama kama haipo kwenye misingi yao na halilazimishwi kutekeleza ilani ya CCM. Wewe unazungumzia mazoea na sio utaratibu.Kinana anakuhusu nini? Serikali inatekeleza ilani ya chama gani? Ni akina nani wanaoandika hiyo ilani kama siyo akina Kinana? [emoji15][emoji15][emoji15]
Nyie ndio watu manaosababisha CCM wajione ni serikali kamili. Tuna katiba ambayo Rais anaitekeleza na kuhusu ilani tuna bunge ambalo kikatiba halitekelezi ilani ya chama kama haipo kwenye misingi yao na halilazimishwi kutekeleza ilani ya CCM. Wewe unazungumzia mazoea na sio utaratibu.
Bunge kuwa na idadi ya wajinga bado hatuwezi kuliita mental hospital kwakuwa kikatiba halijaundwa kwa ajili ya vichaa wa CCM na hatuwezi kuliita kusanyiko la makada wa CCM na mijadala yake hatuwezi kuruhusu na kukubaliana iwe katika ajenda za CCM.Mazoea ndiyo yanaendesha nchi. Kuna taratibu gani zinafuatwa hapa? Na bunge ulilonalo ni la chama gani?
Unaishi nchi hii au uko diaspora mkuu?
Hawaswali swala 5 haoBado Membe, Nchimbi, Ngeleja, Masha etc. Mjomba wa Msoga anarudi kwa kasi ya 5G ,au na yeye amejistukia kama ilivyokuwa na haraka Jiwe?
Hamia israel ndiyo utawaona hao unawataka au kaungane na joseph kony huko msituni uganda. Tanzania hatuna ujinga huo.Ipi,kuwateua akina Sophia Simba,Kinana,Ridhiwani,Makamba etc.Yaani nimeichukia nchi yangu ghafla.Tunakoenda siko I am sorry.
CCM hamna ujinga upi,wakuteau watu wenye weledi,watenda haki,wasio wapigaji,wasio na upendeleo,na likiwepo jambo lingine lolote jema linalofanana na hayo? Haya bwana,mimi ni mwana CCM,lakini kwa CCM hii ya Samia yamenishinda.Ngoja nisubiri 2025.Hamia israel ndiyo utawaona hao unawataka au kaungane na joseph kony huko msituni uganda. Tanzania hatuna ujinga huo.
Kama Taifa tunahitaji taasisi imara na sio kiongoz imara!!Laiti ingewezekana!Dah,ni kweli tumepigwa mkuu,ila wengine tulijua mapema,lakini tuliposema tukanaangwa.Hukuhitaji kuwa na PhD au akili saana kujua kwamba tulikuwa tumefungiwa mbuzi kwenye gunia,ulihitaji tu kujua historia yake specifically aquitances zake na ajira zake.
kirudi chuma kingine cha ukweliKwahiyo chuma kirudi au 😒
Kama Taifa tunahitaji taasisi imara ya kuongoza Taifa letu na sio kiongoz imara!! Ni vzr mkajua hilo!!kirudi chuma kingine cha ukweli
Mzee hayo unayotaka maybe tupate muongozo mpya wa Taifa letu, yaan katiba mpya, bila hivyo kuwekana kwa kujuana hakuishi. Hata awamu iliyopita mwendo ulikua wa kujuana tu!!Mimi sizungumzii makundi,I am above that.Nazungumzia weledi,haki,logic,utendaji bora,kuteua bila kujuana na urafiki kutegemeana na weledi na utendaji ulio tukuka.