Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Huu msemo hauply kwa walioteuliwa tu. Mwisho wao utafika ndio ila hata wewe mwisho wa ufanyayo utafika. In short ni msemo usio na maana yoyote pale unapotaka badiliko fulani halafu hufanyi lolote kuleta hilo badiliko ukitegemea mwisho wa jambo hilo ufike kwa mfumo wa asili tu(nature). Kuna waliopenda utendaji wa JPM ila mwisho wake ukafika. Mambo yooote duniani ya binadamu yana mwanzo na mwisho sasa hakuna maana kusema usiyoyapenda yana mwisho maana hata uyapendayo yana mwisho.Sawa,ila lililo na mwanzo lina mwisho.Tusubiri.