HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,791
- 5,687
Wewe ni CCM? Kinana anatuhusu nini sisi kama nchi wakati ni mtumishi wa lichama lao?Ipi,kuwateua akina Sophia Simba,Kinana,Ridhiwani,Makamba etc.Yaani nimeichukia nchi yangu ghafla.Tunakoenda siko I am sorry.