Michael mbano JF-Expert Member Joined Apr 4, 2022 Posts 820 Reaction score 570 Apr 15, 2022 #161 TODAYS said: Hivi balozi wa Misri ni nani kwa sasa? Click to expand... Mi sikujuwa ila kuna mtu aliniambia balozi wa misri nchimbi.
TODAYS said: Hivi balozi wa Misri ni nani kwa sasa? Click to expand... Mi sikujuwa ila kuna mtu aliniambia balozi wa misri nchimbi.
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 14,747 Reaction score 24,250 Apr 16, 2022 #162 Michael mbano said: Mi sikujuwa ila kuna mtu aliniambia balozi wa misri nchimbi. Click to expand... Hapo ndipo mjue kuna tatizo la kiuongozi nchi hii, yaani wakati ndiyo unajiandaa kuleta utaalam wako gafla bin vuuu unatolewa. Mwisho wa mwezi unakaa unajua flani ni flani kumbe hujui.
Michael mbano said: Mi sikujuwa ila kuna mtu aliniambia balozi wa misri nchimbi. Click to expand... Hapo ndipo mjue kuna tatizo la kiuongozi nchi hii, yaani wakati ndiyo unajiandaa kuleta utaalam wako gafla bin vuuu unatolewa. Mwisho wa mwezi unakaa unajua flani ni flani kumbe hujui.
F Franco2 JF-Expert Member Joined Oct 20, 2019 Posts 367 Reaction score 502 Apr 16, 2022 #163 Vito Ferari said: Rais anafanya uteuzi akiwa yuko Marekani... kazi iendelee Click to expand... Kweli kateua akiwa marekan au ni mimi ndo elimu yangu ndogo darasa la 7 c
Vito Ferari said: Rais anafanya uteuzi akiwa yuko Marekani... kazi iendelee Click to expand... Kweli kateua akiwa marekan au ni mimi ndo elimu yangu ndogo darasa la 7 c
M Mzalendo120 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2022 Posts 1,842 Reaction score 2,410 Feb 24, 2023 #164 Teko Modise said: Wale wote waliogombana na Jiwe wamerudi serikalini na chamani kwa kishindo Click to expand... Huyo Sophia aliwahi kusema hakuna wakumfukuza chamani kwani hajapelekwa na mtu pale Tena alishupaza shingo kwelikweli. Maisha hayataki kukata tamaa mapema
Teko Modise said: Wale wote waliogombana na Jiwe wamerudi serikalini na chamani kwa kishindo Click to expand... Huyo Sophia aliwahi kusema hakuna wakumfukuza chamani kwani hajapelekwa na mtu pale Tena alishupaza shingo kwelikweli. Maisha hayataki kukata tamaa mapema
L LGF JF-Expert Member Joined Dec 6, 2020 Posts 1,407 Reaction score 790 Feb 25, 2023 #165 Michael mbano said: haswaaa,bado nchimbi emanuel naona wamemweka jeshi la akiba. Click to expand... Mwaka 2015 huyu Sofia Simba ndiye aliongoza kwaya ikiimba "TUNA IMANIIII NA LOWASSAA HOYA HOYA HOYA" mbele ya Kikwete na Mwinyi na Mkapa.
Michael mbano said: haswaaa,bado nchimbi emanuel naona wamemweka jeshi la akiba. Click to expand... Mwaka 2015 huyu Sofia Simba ndiye aliongoza kwaya ikiimba "TUNA IMANIIII NA LOWASSAA HOYA HOYA HOYA" mbele ya Kikwete na Mwinyi na Mkapa.