Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Umenikumbuka miaka ile DgTiss akiwa Yule bwana mlokole aliyekuaga Nida.Ngoja nipige kambi kwenye huu uzi . Najua nitapata nondo mbili tatu za kwenda kuwahadithia watu kesho kibaruani
Sasa almost mwezi hiv kabla ya kutumbuliwa, kuna mwamba mmoja humu alitambulika kwa id ya My Son Drink Water (sijui kapotelea wap sikunhiz), huyu jamaa alifululiza sana kuandika thread za kumtahadharisha yule bwana kwamba soon atatumbuliwa hivyo achukue hatua mapema, bas na mimi nikawa natumia zile nondo naenda kupigia soga ofisin enz hizo nimeajiriwa.
Bas siku ilipofika kwel akatumbuliwa, mkurugenz wangu ofisin aliniogopa sana, akawa anauliza wewe ulijuaje? 😂😂😂.
Maana zile story nilikua nazipiga kama mimi ndio za kwangu vile .