The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Alimtaftia mafao, astaafu vizuri na mafao mazuri.Huyu mama tangu aingie huyu ni DG wa nne hapa yeye ndio matatizo sasa sio wateule huyu Siwa alikuwa NSSF juzi tu alimteuwa wa nini wakati akijua hana hata mwaka kazini very silly
USSR
Samia miaka 3, wakurugenzi wa taasisi anabadilisha kama njugu.
1. TRA 3, Mhede, Kidata, Juma
2. TISS 4, Diwani, Yule Ustaadhi mwinge, Siwa, huyu wa Leo. Nyerere miaka 24 alikua na wakuu wa tiss 4 tu, samia miaka 3 wakuu tiss 4. Hapa TISS waote anaoweka na kuwaondoa ni waislamu wenzie, huwezi kusema kwamba ni wakristo labda wanamhujumu.
2. Tanesco 3, Tito, Maharage, Gissima.
4. BOT 2, Mgaya na sasa Tutuba. Inawezekana Tutuba asimalize term 2.
5. TPDC 4, Mataragio, Yule kada, Matargio, wa Sasa.
5. Rea, Mahalu, wa sasa.
6. Ewura, 2 , mume wa Tulia na yule mwingine.
7. Polisi, 2, Siro, wambura.
8. Magereza 2, yule mjeshi na huyu wa sasa.
9. NSSF 2,
10. Psssf 2
11. Ttcl 3.
12. Jeshi, mabeyo, wa sasa
13. Makatibu wakuu, makatibu tawala, wakurugenzi wa halmashauri hao ni kama kunywa juice, ni daily. Wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, das ni balaa.
Shida iko kwake na sio kwa wateule wake.


