Uteuzi: Suleiman Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu

Uteuzi: Suleiman Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu

Alimtaftia mafao, astaafu vizuri na mafao mazuri.

Samia miaka 3, wakurugenzi wa taasisi anabadilisha kama njugu.

1. TRA 3, Mhede, Kidata, Juma
2. TISS 4, Diwani, Yule Ustaadhi mwinge, Siwa, huyu wa Leo. Hapa TISS waote anaoweka na kuwaondoa ni waislamu wenzie.
2. Tanesco 3, Tito, Maharage, Gissima
4. BOT 2, Mgaya na sasa Tutuba
5. TPDC 4, Mataragio, Yule kada, Matargio, wa Sasa.
5. Rea, Mahalu, wa sasa.
6. Ewura, 2 , mume wa Tulia na yule mwingine.
7. Polisi, 2, Siro, wambura.
8. Magereza 2, yule mjeshi na huyu wa sasa.
9. NSSF 2,
10. Psssf 2
11. Ttcl 3.
12. Jeshi, mabeyo, wa sasa
13. Makatibu wakuu, makatibu tawala, wakurugenzi wa halmashauri hao ni kama kunywa juice, ni daily. Wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, das ni balaa.

Shida iko kwake na sio kwa wateule wake.
Hao waislamu umewaona hapo tiss tu huko kwingine ni wafuasi wa dini gani
 
Umenikumbuka miaka ile DgTiss akiwa Yule bwana mlokole aliyekuaga Nida.
Sasa almost mwezi hiv kabla ya kutumbuliwa, kuna mwamba mmoja humu alitambulika kwa id ya My Son Drink Water (sijui kapotelea wap sikunhiz), huyu jamaa alifululiza sana kuandika thread za kumtahadharisha yule bwana kwamba soon atatumbuliwa hivyo achukue hatua mapema, bas na mimi nikawa natumia zile nondo naenda kupigia soga ofisin enz hizo nimeajiriwa.

Bas siku ilipofika kwel akatumbuliwa, mkurugenz wangu ofisin aliniogopa sana, akawa anauliza wewe ulijuaje? 😂😂😂.
Maana zile story nilikua nazipiga kama mimi ndio za kwangu vile .
Aliyetoa habari za huyo "mlolokole" kutahadharishwa sana atatumbuliwa alikuwa ni Kigogo2014 kule twitter hata siku yake mchana huo aliandika na jamaa akatolewa so labda iwe ni coincidence hiyo ndio ilikuwa ID yake ya humu kama naye hakuwa anacopy.

Sababu za yule bwana kutolewa zilikuwa ni za ajabu tu maana mwanzo aliwekwa house arrest baadae ndio akapelekwa Windhoek.
 
Mwaka 1958 kabla ya uhuru Nani alifanya hio sensa ?


Angalia 👆🏿 utapata majibu
1968 wahafidhina wa kanisa wakafanya sensa na kuja na matokeo ya wakiristo kuwa wengi,wakapeleka umoja wa mataifa,wakaulizwa Kuna janga gani limewakuta waislam tu wa Tanganyika mpaka kupungua hivi,wakashushuka,tangu pale hapakua na kipengele Cha dini kwenye sensa Hadi Leo,2012 ponda na wenzake walitaka iwekwe column ya dini kwenye karatasi za sensa lau sivyo waislam wasusie,Cha ajabu miongoni mwa waliokua msitari wa mbele kupinga Hilo ni maaskofu,hizo takwimu zako unazozionesha ndizo zilizomvuruga ponda na wenzake Hadi kutaka column ya dini,huo ni uzushi,wakatoliki wanadai wapo 13m,walutheri wanadai wapo 8m,walokole hata 5m hawafiki,hiyo jumla chini ya 26m,tz Ina watu 65m,hao 40m+ ni akina nani!?
 
Tehtehetehteh pole,mbeya,rukwa,Arusha sawa,huko mpo 60%+.. kwingine mpo kiduchu Sana,dini Haina miaka 150 Tanganyika ulinganishe na dini ipo tangu Karne ya nane!!?..dar,zenji,Tanga,Lindi,mtwara,ruvuma ni waislam 80%,tabora,kigoma,iringa, Kilimanjaro,Kagera Kuna namba kubwa tu waislam,wakati wasukuma ni wapagani wengi wao
Kanda ya kaskazini hampo, juu kusini ndo usiseme, magharibi na kati hampo, lake zone hampo nyie kwenu pwani tu eti ruvuma waislam kweli wewe kichaa. Ukristo una miaka 2000+ , miaka 600 badae ndo muddy akatunga ngonjera zake tena kwa msaada wa wakatoliki zaidi ya 40% ya watz ni wakatoliki nyie kwenu pwani tu
I proud to be ROMAN catholic
KANISA MOJA TAKATIFU LA MITUME
 
Rais Samia afanya uteuzi wa Mkurugenzi Wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ambapo bwana Abubakar Mombo Ateuliwa baada ya ndugu Siwa kustaafu.
View attachment 3039745
View attachment 3039759

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Bw. Mululi Majula Mahendeka, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua na kumuapisha Bw. Suleiman Abubakar Mombo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.

Kabla ya uteuzi huu, Bw. Mombo alikuwa Afisa Mwandamizi wa Ofisi ya Rais, Ikulu. Bw. Mombo amechukua nafasi ya Balozi Ali Idi Siwa ambaye amestaafu.

Sharifa B. Nyanga
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu
View attachment 3039754

Pia Soma
Tetesi: - Mombo Seleman kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (TISS). Aliyepo anafukuzwa muda wowote
Sukari sugar sukari!
 
Back
Top Bottom