Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Samia afanya uteuzi wa Mkurugenzi Wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ambapo bwana Abubakar Mombo Ateuliwa baada ya ndugu Siwa kustaafu.
View attachment 3039745
View attachment 3039759
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Bw. Mululi Majula Mahendeka, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua na kumuapisha Bw. Suleiman Abubakar Mombo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.
Kabla ya uteuzi huu, Bw. Mombo alikuwa Afisa Mwandamizi wa Ofisi ya Rais, Ikulu. Bw. Mombo amechukua nafasi ya Balozi Ali Idi Siwa ambaye amestaafu.
Sharifa B. Nyanga
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu
View attachment 3039754
Pia Soma
Tetesi: - Mombo Seleman kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (TISS). Aliyepo anafukuzwa muda wowote
Mmmmhapa kwake pana space ya kutosha tu hata helcopter inatua bila shida.
Mombo anasifa hizo zote wala shaka hakuna,Naamini kwa utulivu wake na akili nyingi za busara basi mambo yatakuwa Mazuri.Hongera kwake, ni kai yenye majukumu mazito sana.
Allah amjaalie hekima, busara, weledi na aifanye kazi yake kwa uadilifu mkubwa bila kuonea mtu.
Ni madaraka mazito sana.
Umetumia takwimu zipi kusema waislamu ni wengiYeah,nchi hii Ina waislam wengi kuliko Imani yoyote,ile kujazana wafuasi wa Paulo tu ofisi za umma inaenda kuisha,so zowea
TISS ya mwendazake ilikuwa inafanya kazi kinyume kabisa na falsafa za mama Samia, hilo halina shaka.Mmmm
Mombo anasifa hizo zote wala shaka hakuna,Naamini kwa utulivu wake na akili nyingi za busara basi mambo yatakuwa Mazuri.
Labda sasa Rais Samia anaweza kupumua nakufanya majukumu yake vizuri. Mana Tiss ilikuwa haina utulivu kabisa.
Leo ndio siku maalum kwenu kunajisianaKuwa makini utafirw@
Acha uongo aliyemkatalia ponda kuweka kipengele cha dini ni kikwete na sio maskofu1968 wahafidhina wa kanisa wakafanya sensa na kuja na matokeo ya wakiristo kuwa wengi,wakapeleka umoja wa mataifa,wakaulizwa Kuna janga gani limewakuta waislam tu wa Tanganyika mpaka kupungua hivi,wakashushuka,tangu pale hapakua na kipengele Cha dini kwenye sensa Hadi Leo,2012 ponda na wenzake walitaka iwekwe column ya dini kwenye karatasi za sensa lau sivyo waislam wasusie,Cha ajabu miongoni mwa waliokua msitari wa mbele kupinga Hilo ni maaskofu,hizo takwimu zako unazozionesha ndizo zilizomvuruga ponda na wenzake Hadi kutaka column ya dini,huo ni uzushi,wakatoliki wanadai wapo 13m,walutheri wanadai wapo 8m,walokole hata 5m hawafiki,hiyo jumla chini ya 26m,tz Ina watu 65m,hao 40m+ ni akina nani!?
Ndio zangu hiziNgoja nipige kambi kwenye huu uzi . Najua nitapata nondo mbili tatu za kwenda kuwahadithia watu kesho kibaruani
Mvinyo ni ile ile ya siku zote, isipokuwa hapa inayobadilishwa ni chupa tu.Rais Samia afanya uteuzi wa Mkurugenzi Wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ambapo bwana Abubakar Mombo Ateuliwa baada ya ndugu Siwa kustaafu.
View attachment 3039745
View attachment 3039759
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Bw. Mululi Majula Mahendeka, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua na kumuapisha Bw. Suleiman Abubakar Mombo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.
Kabla ya uteuzi huu, Bw. Mombo alikuwa Afisa Mwandamizi wa Ofisi ya Rais, Ikulu. Bw. Mombo amechukua nafasi ya Balozi Ali Idi Siwa ambaye amestaafu.
Sharifa B. Nyanga
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu
View attachment 3039754
Pia Soma
Tetesi: - Mombo Seleman kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (TISS). Aliyepo anafukuzwa muda wowote
Mi siku hizi wananiita Juma bhalo kila kitu najua mimi maana wakileta stor za mapenzi nimo burudani nimo siasa nimo afya nimo kifupi mada yoyot ikiletwa mbele yngu akili chapu inahamia jfUmenikumbuka miaka ile DgTiss akiwa Yule bwana mlokole aliyekuaga Nida.
Sasa almost mwezi hiv kabla ya kutumbuliwa, kuna mwamba mmoja humu alitambulika kwa id ya My Son Drink Water (sijui kapotelea wap sikunhiz), huyu jamaa alifululiza sana kuandika thread za kumtahadharisha yule bwana kwamba soon atatumbuliwa hivyo achukue hatua mapema, bas na mimi nikawa natumia zile nondo naenda kupigia soga ofisin enz hizo nimeajiriwa.
Bas siku ilipofika kwel akatumbuliwa, mkurugenz wangu ofisin aliniogopa sana, akawa anauliza wewe ulijuaje? 😂😂😂.
Maana zile story nilikua nazipiga kama mimi ndio za kwangu vile .
UBAYA ni kuwa viongozi hao sijui kama wapo jf au wanaweka watu kufuatilia wanavyosemwa onlineUmenikumbuka miaka ile DgTiss akiwa Yule bwana mlokole aliyekuaga Nida.
Sasa almost mwezi hiv kabla ya kutumbuliwa, kuna mwamba mmoja humu alitambulika kwa id ya My Son Drink Water (sijui kapotelea wap sikunhiz), huyu jamaa alifululiza sana kuandika thread za kumtahadharisha yule bwana kwamba soon atatumbuliwa hivyo achukue hatua mapema, bas na mimi nikawa natumia zile nondo naenda kupigia soga ofisin enz hizo nimeajiriwa.
Bas siku ilipofika kwel akatumbuliwa, mkurugenz wangu ofisin aliniogopa sana, akawa anauliza wewe ulijuaje? 😂😂😂.
Maana zile story nilikua nazipiga kama mimi ndio za kwangu vile .
Jamaa alikuwa anaandika mlokole abadilishe au kubadilika nnUmenikumbuka miaka ile DgTiss akiwa Yule bwana mlokole aliyekuaga Nida.
Sasa almost mwezi hiv kabla ya kutumbuliwa, kuna mwamba mmoja humu alitambulika kwa id ya My Son Drink Water (sijui kapotelea wap sikunhiz), huyu jamaa alifululiza sana kuandika thread za kumtahadharisha yule bwana kwamba soon atatumbuliwa hivyo achukue hatua mapema, bas na mimi nikawa natumia zile nondo naenda kupigia soga ofisin enz hizo nimeajiriwa.
Bas siku ilipofika kwel akatumbuliwa, mkurugenz wangu ofisin aliniogopa sana, akawa anauliza wewe ulijuaje? 😂😂😂.
Maana zile story nilikua nazipiga kama mimi ndio za kwangu vile .
Mangi tenaHuku TEETH wamejazana akina Mangi tu
Alikua mtu wa makanisa ya kilokole ndio maana nikaandika hivyoJamaa alikuwa anaandika mlokole abadilishe au kubadilika nn
Ni kawaida wanajua kuwa wanajadiliwa humu..na wao wapo sana japo hata wao hawajuani. Na pia wana kuna nondo zinashushwa humu unaona kabisa hiz ni taarifa za ndani mnoUBAYA ni kuwa viongozi hao sijui kama wapo jf au wanaweka watu kufuatilia wanavyosemwa online
Ahahahah..ni sahihi mkuu, taarifa sahihi za humu ukizifaham kwa wingi, unakua mtu mwenye content sana ukikutana na watu average ambao sio wafuatiliaji wa mamboMi siku hizi wananiita Juma bhalo kila kitu najua mimi maana wakileta stor za mapenzi nimo burudani nimo siasa nimo afya nimo kifupi mada yoyot ikiletwa mbele yngu akili chapu inahamia jf
Ninaelewa na kujuanimekuuliza huyo wa jf aliyekuwa anamwongelea alitaka abadilike wapiAlikua mtu wa makanisa ya kilokole ndio maana nikaandika hivyo