1968 wahafidhina wa kanisa wakafanya sensa na kuja na matokeo ya wakiristo kuwa wengi,wakapeleka umoja wa mataifa,wakaulizwa Kuna janga gani limewakuta waislam tu wa Tanganyika mpaka kupungua hivi,wakashushuka,tangu pale hapakua na kipengele Cha dini kwenye sensa Hadi Leo,2012 ponda na wenzake walitaka iwekwe column ya dini kwenye karatasi za sensa lau sivyo waislam wasusie,Cha ajabu miongoni mwa waliokua msitari wa mbele kupinga Hilo ni maaskofu,hizo takwimu zako unazozionesha ndizo zilizomvuruga ponda na wenzake Hadi kutaka column ya dini,huo ni uzushi,wakatoliki wanadai wapo 13m,walutheri wanadai wapo 8m,walokole hata 5m hawafiki,hiyo jumla chini ya 26m,tz Ina watu 65m,hao 40m+ ni akina nani!?