Uteuzi: Suleiman Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu

Uteuzi: Suleiman Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu

Ninaelewa na kujuanimekuuliza huyo wa jf aliyekuwa anamwongelea alitaka abadilike wapi
Ni kama alikua anamtahadharisha tu ili yeye ajue in advance namna ya kujiongeza, si unajua hawa watu huwa wana vipengele..kuna jamaa mmoja hapo kaandika kuwa baada ya kusimamishwa aliwekwa under house arrest sasa nafikiri wao wanapopeana tahadhari huwa wanajua exactly ni hatua gan wanapaswa kuzichukua kwa kujua nini kinafuata ila kwa sis wa nje sio rahis kujua ujumbe unakua ume beba nini. Nyoka wao wanaelewana
 
Acha uongo aliyemkatalia ponda kuweka kipengele cha dini ni kikwete na sio maskofu
Jiulize kwanini samia rais muislamu hakuweka iko kipengele cha dini

Na nikusaidie kipindi cha kikwete rais muislamu mashehe wengi sana walifunga na kuwekwa korokoroni
Na ukute ulipata one a level o level na chuo una upper second,Ila kusoma na kupata muktadha wa usomacho na argue huwezi,mnasoma Ila hamuelimiki,hii nchi sijui itakuaje itakapoachwa mikononi mwenu!!..Mimi wapi nimesema maaskofu walizuwia column ya dini isiwekwe kwenye sensa!?..mpuuzi Sana wewe
 
Mbona hatuwaoni mashuleni hao wengi, mbona hatuwaoni katka kugombea nafasi mbalimbali, mbona hatuwaoni zinapotangazwa nafasi za kazi? Katika 100 wataonekana 7 au 10 na bila upendeleo maalumu hawaezi kupenya.
Rejea hotuba ya kitwana kondo bungeni 1997-98, Waziri wa elimu athuman kapuya,watoto waliokua shule za msingi dar,75% walikua waislam,lakini waliofaulu la Saba huo mwaka 75% wakiristo,ikazuka movement Kama ya kupinga uwekezaji bandari,ikitaka kapuya atolewe wizara ya elimu,1998 mitihani form four ilivuja Sana kiasi Cha kurudiwa 1999,wito wa Waziri kutolewa ukazidi,mchezo huu umefanyika tangu siku za awali za uhuru,wasio waislam kuhamia miji ya waislam na watoto wao ndiyo waliofaulu huko Tanga na sehemu zingine,huu ndiyo mfumo kristo wanaouongelea waislam,lakini unaenda mwisho
 
Wakatoliki wapo 32 million ukienda Lutheran wapo 17 million Anglican 8 million Sabato 4 million Pentecostal 5 million Inland Church 2 million.
Walutheri juzi mbele ya Samia wamesema wapo 8m,rejea takwimu za wakatoliki alipokuja papa 1990 na ndiyo hizohizo wanatambaa nazo Hadi leo
 
Na ukute ulipata one a level o level na chuo una upper second,Ila kusoma na kupata muktadha wa usomacho na argue huwezi,mnasoma Ila hamuelimiki,hii nchi sijui itakuaje itakapoachwa mikononi mwenu!!..Mimi wapi nimesema maaskofu walizuwia column ya dini isiwekwe kwenye sensa!?..mpuuzi Sana wewe
Jiulize kwanini samia, kikwete, na mwinyi wote ni waislamu na wameshakua marais kwanini hawakuweka kipengele cha idadi ya dini kwenye sensa ndo maana nakuitaga mjinga

Tunashukuru marais wote waislamu walikua na utimamu wa akili na sio kama akili zako za kidini na kama wangekua na akili kama zako ungekua ni uwanja wa vita
 
We una mtindio siyo bure
 
Kila siku uteuzi mpya nafasi moja, hivi hata wewe Samia sisi tungekuwa kama wewe Kila siku tunabadili Rais, Leo upo wewe, kesho tunamuweka makamba, keshokutwa Halima mdee, nchi haiwezi kwenda. Halaf kama hao unaoteuwa unasemaga viatu haviwatoshi, je wewe umejipima na kuangalia viatu kama vinakutosha.

Kama unajua wewe mwenyewe hutoshi, basi acha kutumbua tumbua bianadamu c wakamilifu
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 . Nakuelewa. Nani anayetuzingua maana hizi teuzi inaonekana hazimsaidii anayeteua
 
1968 wahafidhina wa kanisa wakafanya sensa na kuja na matokeo ya wakiristo kuwa wengi,wakapeleka umoja wa mataifa,wakaulizwa Kuna janga gani limewakuta waislam tu wa Tanganyika mpaka kupungua hivi,wakashushuka,tangu pale hapakua na kipengele Cha dini kwenye sensa Hadi Leo,2012 ponda na wenzake walitaka iwekwe column ya dini kwenye karatasi za sensa lau sivyo waislam wasusie,Cha ajabu miongoni mwa waliokua msitari wa mbele kupinga Hilo ni maaskofu,hizo takwimu zako unazozionesha ndizo zilizomvuruga ponda na wenzake Hadi kutaka column ya dini,huo ni uzushi,wakatoliki wanadai wapo 13m,walutheri wanadai wapo 8m,walokole hata 5m hawafiki,hiyo jumla chini ya 26m,tz Ina watu 65m,hao 40m+ ni akina nani!?
Hizo zote ni stori za vijiweni Hakuna uhalisia ndani yake.
 
Rejea hotuba ya kitwana kondo bungeni 1997-98, Waziri wa elimu athuman kapuya,watoto waliokua shule za msingi dar,75% walikua waislam,lakini waliofaulu la Saba huo mwaka 75% wakiristo,ikazuka movement Kama ya kupinga uwekezaji bandari,ikitaka kapuya atolewe wizara ya elimu,1998 mitihani form four ilivuja Sana kiasi Cha kurudiwa 1999,wito wa Waziri kutolewa ukazidi,mchezo huu umefanyika tangu siku za awali za uhuru,wasio waislam kuhamia miji ya waislam na watoto wao ndiyo waliofaulu huko Tanga na sehemu zingine,huu ndiyo mfumo kristo wanaouongelea waislam,lakini unaenda mwisho

Waislamu wamesoma lini

Kipindi hicho walikazia elimu ya dini tuuuu
 
Back
Top Bottom