Uteuzi: Suleiman Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu

Ngoja nipige kambi kwenye huu uzi . Najua nitapata nondo mbili tatu za kwenda kuwahadithia watu kesho kibaruani
Umenikumbuka miaka ile DgTiss akiwa Yule bwana mlokole aliyekuaga Nida.
Sasa almost mwezi hiv kabla ya kutumbuliwa, kuna mwamba mmoja humu alitambulika kwa id ya My Son Drink Water (sijui kapotelea wap sikunhiz), huyu jamaa alifululiza sana kuandika thread za kumtahadharisha yule bwana kwamba soon atatumbuliwa hivyo achukue hatua mapema, bas na mimi nikawa natumia zile nondo naenda kupigia soga ofisin enz hizo nimeajiriwa.

Bas siku ilipofika kwel akatumbuliwa, mkurugenz wangu ofisin aliniogopa sana, akawa anauliza wewe ulijuaje? 😂😂😂.
Maana zile story nilikua nazipiga kama mimi ndio za kwangu vile .
 
Ni jambo jema 😄
 
Hahahahaha...
 
Hii idara nayo siku hizi imekuwa useless tu. Idara inayofanya kazi ya kuhakikisha ccm inabaki madarakani kwa shuruti, hamna idara humo. Tunategemea utekaji wa wakosoaji kuongezeka ila sio zaidi ya hapo.
 
Hii idara nayo siku hizi imekuwa useless tu. Idara inayofanya kazi ya kuhakikisha ccm inabaki madarakani kwa shuruti, hamna idara humo. Tunategemea utekaji wa wakosoaji kuongezeka ila sio zaidi ya hapo.
Acha uhuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…