Roho Mtakatifu ni mmoja na ana Uwezo.Mimi siumii ila ninakumbusha tu humo unamokosea, .Huo ni wajibu wangu . Roho Mtakatifu sijui yupo kwani kuna madhehebu ya makanisa tofauti zaidi ya 40 elfu. Na kila moja linadai kuongozwa na Roho Mtakatifu na kila moja linaamini kivyake.Sasa sijui Roho Mtakatifu wa kanisa lipi Ndiye mwenyewe.
Uwo ndio ukweli Bakwata imeanzishwa ili watudhibiti yani tukiachiwa tujiendeshe wenyewe hii nchi itakuwa zaidi ya SingaporePunguza kunywa Gahawa! Hayo maongezi ya Mwinyi na Mufti uliyasikia ukiwa eneo gani pale Ikulu? Chuki Chuki Chuki!
Kwamba Mufti au TISS wana uwezo wa kumgomea Rais wa nchi!!!??? Ujinga mtupu
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Ponda hayupo bakwata,, yuko Taasisi ingineShkhe Ponda awe msaidizi wa Kova
We ni mwehu amna maneno kama ayo Qurani tukufu
Mwanzo kulikuwa na East Africa Muslims welfare society kama sikosei ikijumuisha Nchi za east Africa,,Uwo ndio ukweli Bakwata imeanzishwa ili watudhibiti yani tukiachiwa tujiendeshe wenyewe hii nchi itakuwa zaidi ya Singapore
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Roho Mtakatifu ni mmoja na ana Uwezo.
Mungu ananiona mimi na wewe kwa wakati mmoja
We humjui kova,Kova jitu katili, leo eti mwenyekiti wa taasisi ya dini. Nimesema siku zote kuwa hakuna mufti wala askofu, zote ni takataka
Roho Mtakatifu huzungumza nasi hata kabla ya kukata shauri la kutubu dhambi. Bila Roho Mtakatifu huwezi kufunuliwa ufahamu wa Kweli ya Neno la Mungu.Je, Roho Mtakatifu anazungumza na Wakristo wema na waovu vile vile? Je, Roho Mtakatifu yu pamoja nao wakati wote au wakati fulani tu? Je, ni wakati gani anaanza kumtembelea mtu atakaye kuwa Mkristo?
Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine? Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?
Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?
Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi? Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi? Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?
Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?
Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi
Mzee mbona mnaifanya jamiiforum kama kijiwe cha mtaani? hawa wahusika humu wamelala sana, mnaweza tofautiana tafsiri lakini sio upotoshaji wa jambo ambalo halipoAllah kwenye Quran tukufu Surat Yunus de mafudh aya ya 7:10 amesema Ewe muislamu ukitukanwa na muislamu mwenzio tafuta kichaka chuchumaa na kunya ukimaliza Allah kwa kukufariji atatuma malaika wake kipenzi mtakatifu Jibril akutawaze.
ielewemitaa
kuna msemo unasema....usiombee kujua ombea upate bahati,kova anabahati sana,uku anasimamia tume ya maboresho na uku ni mmoja wa mwenyekiti wa kamati wa nidhamu klabu ya Simba,Hii nchi kustaafu hadi ufe.
sio kamanda magwanda wa chademaKabisa ! huyu japokuwa ni Alhaji lakini pia ni Kamanda
Waliouwawa nchi hii ni wengi nani alikemea!Sijamsikia Mufti akikemea mauaji ya Milembe Selemani.
Sisi tumekemea.Waliouwawa nchi hii ni wengi nani alikemea!
ukurasa wa ngapi ?Allah kwenye Quran tukufu Surat Yunus de mafudh aya ya 7:10 amesema Ewe muislamu ukitukanwa na muislamu mwenzio tafuta kichaka chuchumaa na kunya ukimaliza Allah kwa kukufariji atatuma malaika wake kipenzi mtakatifu Jibril akutawaze.
ielewemitaa
ccm pekee ndio haikukemeaWaliouwawa nchi hii ni wengi nani alikemea!
Tulia weweMzee mbona mnaifanya jamiiforum kama kijiwe cha mtaani? hawa wahusika humu wamelala sana, mnaweza tofautiana tafsiri lakini sio upotoshaji wa jambo ambalo halipo
Mackenzie forever penda usipende👠👠 Zawadi yako hii
Roho Mtakatifu huzungumza nasi hata kabla ya kukata shauri la kutubu dhambi. Bila Roho Mtakatifu huwezi kufunuliwa ufahamu wa Kweli ya Neno la Mungu.
Kuisikia ama kuielewa sauti ya Roho Mtakatifu yahitaji mafundisho na yeye ndiye hutoa ufahamu wote kuhusu yatupasayo na yasiyotupasa kufanya.
Unaweza ukadhani kuwa ukitenda mema ndiyo tiketi ya kuhesabiwa hauna dhambi kumbe moyoni kuna kusudi lililo machukizo kwa Mungu.
Tangu nimeelewa namna Roho Mtakatifu alivyo na afanyavyokazi nimejengwa ujasiri na ufahamu chanya kuhusu Mungu.
Kubishania Mungu wakati tukimuomba anatufumulia ya sirini ni kujitia kwenye shokoa isiyo yetu
Usidhani wote wanaojiita Wakristo ni kweli. Wapo wachache mno
Mackenzie forever penda usipende
Huyo huyo baba yake shetaDaah Mufti kateleza, Kova huyu huyu mzee wa kamba?
Alikuwa muingo zaidi ya Mambo sasa.
Sijui labda kabadilika lakini mmmh