Endelea kusafisha visivyosafishika,huyo alishajitumbukiza Katika shimo ambalo hawezi kutoka!Analijua Hilo,Samia wa Leo akikutana na Samia wa 2022,watakataana!Ni watu wawili tofauti!Huna adabu na unasumbuliwa na ujinga kichwani mwako
Wewe akili yako sifuri!Ndugu zangu Watanzania,
Ndio Maana huwa Nasema Kuna Watu Wana Chuki Binafsi na Rais Samia Kwa Sababu ya Dini Yake Tu na wala siyo kitu kingine . Kuna watu wanakuwa wanachochea na kujaribu kupandikiza Chuki kwa Watu ili Rais wetu achukiwe na watu kwa sababu tu za kibaguzi Hususani Udini , Ukanda na Jinsia Lakini Siyo suala la kazi .
Kwa sababu kama ni Suala la Uchapakazi Basi kila Mmoja mwenye akili Timamu na asiye na Chuki Binafsi na Rais Samia anaona na Ameona kazi kubwa iliyofanywa na Rais wetu ndani ya miaka hii michache ya Uongozi wake. hasa kwa kuzingatia kipindi alichoshika madaraka kilichokuwa kimejaa hali ngumu ya Kiuchumi na mtikisiko wa uchumi Duniani kote.
lakini kwa ushupavu ujasiri na uhodari Mama yetu na Rais wetu ametuvusha salama kabisa tangia wakati wa Janga la Corona ,Vita vya Urussi na Ukrein pamoja na vita vya Marekani, Israel dhidi ya Iran .
Nyakati Zote Mama na Rais wetu amesimama imara kuhakisha Uchumi wetu na uchumi wa Mtanzania Mmoja mmoja unabakia salama . Ndio Maana tuliona akitoa Ruzuku katika nyakati tofautitofauti katika vitu vilivyokuwa vimepanda bei katika Soko la Dunia kama vile Mafuta na pembejeo za kilimo Hususani Mbolea.
Ikumbukwe vitu hivyo vilikuwa havipandishwi na Rais Samia ama serikali yake bali vimekuwa vikipanda Duniani kote na kuathiri Nchi nyingi ,lakini Mama yetu na Rais wetu Mpendwa amekuwa akibeba Mzigo huo wa gharama Mabegani Mwake kwa niaba ya Watanzania.
Ndio Maana kuna kipindi tuliona na kushuhudia kuna baadhi ya Raia wa Nchi jirani walikuwa wakipambana kwa jasho na Damu kutaka kuingia Nchini kununua Mafuta ya Dizeli na petroli kwa kuwa Bei kwetu ilikuwa ndogo ukilinganisha na Kwao .
Sasa kwa sasa kumekuwa na watu wenye chuki binafsi na ajenda binafsi za kutaka kumyumbisha Rais wetu kwa sababu tu za kibaguzi kwa kutaka kupandikiza Chuki za Kidini . Ambapo kila Uteuzi Ukifanyika kuna watu wanakuwa na ajenda ya kujifanya wanahesabu na takwimu za wakristo wangapi na waislamu wangapi kana kwamba jina la mtu ni uthibitisho wa Mwisho wa Dini ya Mtu bila kujua kuna watu ni akina All , Mohamed na Mengine mengi tu ya Kiislam Lakini ni Wakristo na wala Siyo Waislamu.
Ikumbukwe mwingine anaweza mtu akampa Mwanae Jina Kwa sababu tu alikuwa anampenda mtu fulani labda ni Mchezaji Nguli wa Mpira ama Msanii ama vyovyote vile.Mfano kwa sasa mitaani kuna Watu wengi sana wanaitwa akina Samia ambao walipewa Majina hayo baada ya Rais Samia kuwa Makamu wa Rais na Rais wa kwanza Mwanamke Nchini na kutokana na uchapakazi wake uliotukuka kuwavutia wengi hadi kuamua kuwapa watoto wao jina lake.
Majuzi tu hapa kumetoka uteuzi wa Makaimu Makatibu wa Mikoa watu Wakaanza kuongelea habari za Udini .
Lakini Jana Kumetoka uteuzi wa viongozi wengi sana Ambapo Wakristo Ni Wengi sana katika kila Eneo la Uteuzi. Lakini Huoni wale watu wachonga midomo na visebengo wakiongea .wamejikaushaaa Kimyaaa utafikiri hawapo Vile yaani utafikiri Wamepigwa Gundi Midomo yao.
Na ukiangalia suala hili utaona kuna kakikundi fulani hivi ndiko kanakokuwa kanaeneza chuki na kutaka kuleta ama kupandikiza mbegu za kidini ili tu kutaka kumchafua Rais wetu Mpendwa na kutaka kuleta taharuki za kidini na kutaka kumyumbisha .
Ikumbukwe ya kuwa kuna watu wanaumia sana wanapoona Rais wetu Mpendwa akiendelea kukubalika kupendwa kuaminika na kuendelea kuungwa Mkono.wanaumia kwa sababu walijiapiza kuwa ni lazima Wamkwamishe Rais wetu na kwamba watahakikisha Nchi haitawaliki na wala haendelei kuongoza Taifa letu. Sasa wanapoona mambo ni tofauti na matarajio yao Wanaumia Sanaa na Kupata hasira sanaa.
Kwa hiyo nitoe Rai kwa watanzania wenzangu kuwa tusije ingia kwenye mtego huo wa wabaya na maadui wa Rais wetu na Taifa letu. Tusiwaunge mkono hata kidogo,Tuwapuuze kabisa na kuwakemea vikali. Tuseme kama Taifa tulishavuka msitari wa Udini na hakuna mtu anayeteuliwa kwa sababu ya Dini yake bali uwezo wa mtu kiuongozi ndio unaompatia nafasi . Tushikamane na Mama yetu na tuendelee kumuunga mkono .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Dereva ukiwa njiani Tii sheria za usalama barabarani na ukikiuka sheria utakamatwa tu bila kuogopwa. Hakuna Dereva atavumiliwa kwa Vitendo vyake vya kuhatarisha Usalama na Uhai wa AbiriaWala sikutegemea mawazo mbadala zaidi ya haya, ..wewe chamba hapo Lumumba usubiri elfu Saba ....halafu unadhani kila mtu anakopa kama mamalako?
Huyo rais unampenda wewe peke yako watanzania tuondoe huko.Ninyi ndio Wadini Wakubwa na wala siyo CCM ama serikali ama Rais wetu Mpendwa
Kwani Usalama Siyo Watanzania? Hata Usalama wa Taifa wanatambua ya Kuwa ni CCM pekee Iwezayo Kuliongoza Taifa letuWewe akili yako sifuri!
Makatibu wa CCM wilaya na mikoa
Ni shida kubwa kwenye kuunda serikali.
Mkeka ulio uona,umeandaliwa na TISS na sio ccm wala serikali, ndio maana , tunasema CCM ,inamiliki Jeshi
Mikopo imekutoa ufahamu.Ndugu zangu Watanzania,
Ndio Maana huwa Nasema Kuna Watu Wana Chuki Binafsi na Rais Samia Kwa Sababu ya Dini Yake Tu na wala siyo kitu kingine . Kuna watu wanakuwa wanachochea na kujaribu kupandikiza Chuki kwa Watu ili Rais wetu achukiwe na watu kwa sababu tu za kibaguzi Hususani Udini , Ukanda na Jinsia Lakini Siyo suala la kazi .
Kwa sababu kama ni Suala la Uchapakazi Basi kila Mmoja mwenye akili Timamu na asiye na Chuki Binafsi na Rais Samia anaona na Ameona kazi kubwa iliyofanywa na Rais wetu ndani ya miaka hii michache ya Uongozi wake. hasa kwa kuzingatia kipindi alichoshika madaraka kilichokuwa kimejaa hali ngumu ya Kiuchumi na mtikisiko wa uchumi Duniani kote.
lakini kwa ushupavu ujasiri na uhodari Mama yetu na Rais wetu ametuvusha salama kabisa tangia wakati wa Janga la Corona ,Vita vya Urussi na Ukrein pamoja na vita vya Marekani, Israel dhidi ya Iran .
Nyakati Zote Mama na Rais wetu amesimama imara kuhakisha Uchumi wetu na uchumi wa Mtanzania Mmoja mmoja unabakia salama . Ndio Maana tuliona akitoa Ruzuku katika nyakati tofautitofauti katika vitu vilivyokuwa vimepanda bei katika Soko la Dunia kama vile Mafuta na pembejeo za kilimo Hususani Mbolea.
Ikumbukwe vitu hivyo vilikuwa havipandishwi na Rais Samia ama serikali yake bali vimekuwa vikipanda Duniani kote na kuathiri Nchi nyingi ,lakini Mama yetu na Rais wetu Mpendwa amekuwa akibeba Mzigo huo wa gharama Mabegani Mwake kwa niaba ya Watanzania.
Ndio Maana kuna kipindi tuliona na kushuhudia kuna baadhi ya Raia wa Nchi jirani walikuwa wakipambana kwa jasho na Damu kutaka kuingia Nchini kununua Mafuta ya Dizeli na petroli kwa kuwa Bei kwetu ilikuwa ndogo ukilinganisha na Kwao .
Sasa kwa sasa kumekuwa na watu wenye chuki binafsi na ajenda binafsi za kutaka kumyumbisha Rais wetu kwa sababu tu za kibaguzi kwa kutaka kupandikiza Chuki za Kidini . Ambapo kila Uteuzi Ukifanyika kuna watu wanakuwa na ajenda ya kujifanya wanahesabu na takwimu za wakristo wangapi na waislamu wangapi kana kwamba jina la mtu ni uthibitisho wa Mwisho wa Dini ya Mtu bila kujua kuna watu ni akina All , Mohamed na Mengine mengi tu ya Kiislam Lakini ni Wakristo na wala Siyo Waislamu.
Ikumbukwe mwingine anaweza mtu akampa Mwanae Jina Kwa sababu tu alikuwa anampenda mtu fulani labda ni Mchezaji Nguli wa Mpira ama Msanii ama vyovyote vile.Mfano kwa sasa mitaani kuna Watu wengi sana wanaitwa akina Samia ambao walipewa Majina hayo baada ya Rais Samia kuwa Makamu wa Rais na Rais wa kwanza Mwanamke Nchini na kutokana na uchapakazi wake uliotukuka kuwavutia wengi hadi kuamua kuwapa watoto wao jina lake.
Majuzi tu hapa kumetoka uteuzi wa Makaimu Makatibu wa Mikoa wa CCM watu Wakaanza kuongelea habari za Udini .
Lakini Jana Kumetoka uteuzi wa viongozi wengi sana kuanzia wakuu wa wilaya , Makatibu tawala wilaya na Wakurugenzi . Ambapo Wakristo Ni Wengi sana katika kila Eneo la Uteuzi. Lakini Huoni wale watu wachonga midomo na visebengo wakiongea Habari za Ukristo na Uislamu Wa Wateule .wamejikaushaaa Kimyaaa utafikiri hawapo Vile yaani utafikiri Wamepigwa Gundi Midomo yao.
Na ukiangalia suala hili utaona kuna kakikundi fulani hivi ndiko kanakokuwa kanaeneza chuki na kutaka kuleta ama kupandikiza mbegu za kidini ili tu kutaka kumchafua Rais wetu Mpendwa na kutaka kuleta taharuki za kidini na kutaka kumyumbisha .
Ikumbukwe ya kuwa kuna watu wanaumia sana wanapoona Rais wetu Mpendwa akiendelea kukubalika ,kupendwa ,kuaminika na kuendelea kuungwa Mkono.wanaumia kwa sababu walijiapiza kuwa ni lazima Wamkwamishe Rais wetu na kwamba watahakikisha Nchi haitawaliki na wala haendelei kuongoza Taifa letu. Sasa wanapoona mambo ni tofauti na matarajio yao Wanaumia Sanaa na Kupata hasira sanaa na kuamua kutumia kila njia na kutunga kila aina ya uongo na Uzushi ili tu kumchafua Rais wetu na kutaka kuchochea chuki kwa Watu.
Kwa hiyo nitoe Rai kwa watanzania wenzangu kuwa tusije ingia kwenye mtego huo wa wabaya na maadui wa Rais wetu na Taifa letu. Tusiwaunge mkono hata kidogo,Tuwapuuze kabisa na kuwakemea vikali. Tuseme kama Taifa tulishavuka msitari wa Udini na hakuna mtu anayeteuliwa kwa sababu ya Dini yake bali uwezo wa mtu kiuongozi ndio unaompatia nafasi . Tushikamane na Mama yetu na tuendelee kumuunga mkono .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Rais Samia anapendwa na kila Mtanzania mwenye akili Timamu na anayejitambua na ndio sababu alipigiwa kura kwa 98% na kuzoa kura zaidi ya Million 32Huyo rais unampenda wewe peke yako watanzania tuondoe huko.
Nyinyi Wadini ndio muende shule ili muache na kuondoa akili hizo za kidiniWaislam pelekeni watoto wenu shule. Hakina mkiristo anapendelewa wote ni Wasomi. Nyie jivunieni Wanu Hafidh wenu. Mtoto wa mjane Samia
Kwani huyo aliyepewa si naye ni mtu? Au yeye ni Mnyama?Watu wale wale mtu alikua mbunge anapewa u dc kwani nchi hii watu wameisha
Oktoba 29 ilikua ni siku ya mauaji na uchafuzi. Tanzania haijawahi kupitishwa kwenye kipindi kigumu Cha utawala kama Cha huyu bibi kizimkazi sijui kwasababu siyo mtanganyika? Ila Mungu atasimama na watanzania.Rais Samia anapendwa na kila Mtanzania mwenye akili Timamu na anayejitambua na ndio sababu alipigiwa kura kwa 98% na kuzoa kura zaidi ya Million 32
Na ndio maana wamekufa kizembe kwa uzembe wao.Oktoba 29 ilikua ni siku ya mauaji na uchafuzi. Tanzania haijawahi kupitishwa kwenye kipindi kigumu Cha utawala kama Cha huyu bibi kizimkazi sijui kwasababu siyo mtanganyika? Ila Mungu atasimama na watanzania.
Mbona wewe hujauwawa? Hivi Huoni kuna watu walitaka kupindua serikali yetu kwa njia Haramu? Hivi nani anaweza kuruhusu hali ile ya uchomaji wa vitu mbalimbali Nchini uendelee bila kudhibitiwa? Watanzania tunatakiwa kujifunza Kuwa Walinzi Wa Taifa letu sisi kwa sisi kwa kuwa madhara yanatupata soteOktoba 29 ilikua ni siku ya mauaji na uchafuzi. Tanzania haijawahi kupitishwa kwenye kipindi kigumu Cha utawala kama Cha huyu bibi kizimkazi sijui kwasababu siyo mtanganyika? Ila Mungu atasimama na watanzania.
Japo dish lako limeyumba ila muda mwingine unasema ukweliNdugu zangu Watanzania,
Ndio Maana huwa Nasema Kuna Watu Wana Chuki Binafsi na Rais Samia Kwa Sababu ya Dini Yake Tu na wala siyo kitu kingine . Kuna watu wanakuwa wanachochea na kujaribu kupandikiza Chuki kwa Watu ili Rais wetu achukiwe na watu kwa sababu tu za kibaguzi Hususani Udini , Ukanda na Jinsia Lakini Siyo suala la kazi .
Kwa sababu kama ni Suala la Uchapakazi Basi kila Mmoja mwenye akili Timamu na asiye na Chuki Binafsi na Rais Samia anaona na Ameona kazi kubwa iliyofanywa na Rais wetu ndani ya miaka hii michache ya Uongozi wake. hasa kwa kuzingatia kipindi alichoshika madaraka kilichokuwa kimejaa hali ngumu ya Kiuchumi na mtikisiko wa uchumi Duniani kote.
lakini kwa ushupavu ujasiri na uhodari Mama yetu na Rais wetu ametuvusha salama kabisa tangia wakati wa Janga la Corona ,Vita vya Urussi na Ukrein pamoja na vita vya Marekani, Israel dhidi ya Iran .
Nyakati Zote Mama na Rais wetu amesimama imara kuhakisha Uchumi wetu na uchumi wa Mtanzania Mmoja mmoja unabakia salama . Ndio Maana tuliona akitoa Ruzuku katika nyakati tofautitofauti katika vitu vilivyokuwa vimepanda bei katika Soko la Dunia kama vile Mafuta na pembejeo za kilimo Hususani Mbolea.
Ikumbukwe vitu hivyo vilikuwa havipandishwi na Rais Samia ama serikali yake bali vimekuwa vikipanda Duniani kote na kuathiri Nchi nyingi ,lakini Mama yetu na Rais wetu Mpendwa amekuwa akibeba Mzigo huo wa gharama Mabegani Mwake kwa niaba ya Watanzania.
Ndio Maana kuna kipindi tuliona na kushuhudia kuna baadhi ya Raia wa Nchi jirani walikuwa wakipambana kwa jasho na Damu kutaka kuingia Nchini kununua Mafuta ya Dizeli na petroli kwa kuwa Bei kwetu ilikuwa ndogo ukilinganisha na Kwao .
Sasa kwa sasa kumekuwa na watu wenye chuki binafsi na ajenda binafsi za kutaka kumyumbisha Rais wetu kwa sababu tu za kibaguzi kwa kutaka kupandikiza Chuki za Kidini . Ambapo kila Uteuzi Ukifanyika kuna watu wanakuwa na ajenda ya kujifanya wanahesabu na takwimu za wakristo wangapi na waislamu wangapi kana kwamba jina la mtu ni uthibitisho wa Mwisho wa Dini ya Mtu bila kujua kuna watu ni akina All , Mohamed na Mengine mengi tu ya Kiislam Lakini ni Wakristo na wala Siyo Waislamu.
Ikumbukwe mwingine anaweza mtu akampa Mwanae Jina Kwa sababu tu alikuwa anampenda mtu fulani labda ni Mchezaji Nguli wa Mpira ama Msanii ama vyovyote vile.Mfano kwa sasa mitaani kuna Watu wengi sana wanaitwa akina Samia ambao walipewa Majina hayo baada ya Rais Samia kuwa Makamu wa Rais na Rais wa kwanza Mwanamke Nchini na kutokana na uchapakazi wake uliotukuka kuwavutia wengi hadi kuamua kuwapa watoto wao jina lake.
Majuzi tu hapa kumetoka uteuzi wa Makaimu Makatibu wa Mikoa wa CCM watu Wakaanza kuongelea habari za Udini .
Lakini Jana Kumetoka uteuzi wa viongozi wengi sana kuanzia wakuu wa wilaya , Makatibu tawala wilaya na Wakurugenzi . Ambapo Wakristo Ni Wengi sana katika kila Eneo la Uteuzi. Lakini Huoni wale watu wachonga midomo na visebengo wakiongea Habari za Ukristo na Uislamu Wa Wateule .wamejikaushaaa Kimyaaa utafikiri hawapo Vile yaani utafikiri Wamepigwa Gundi Midomo yao.
Na ukiangalia suala hili utaona kuna kakikundi fulani hivi ndiko kanakokuwa kanaeneza chuki na kutaka kuleta ama kupandikiza mbegu za kidini ili tu kutaka kumchafua Rais wetu Mpendwa na kutaka kuleta taharuki za kidini na kutaka kumyumbisha .
Ikumbukwe ya kuwa kuna watu wanaumia sana wanapoona Rais wetu Mpendwa akiendelea kukubalika ,kupendwa ,kuaminika na kuendelea kuungwa Mkono.wanaumia kwa sababu walijiapiza kuwa ni lazima Wamkwamishe Rais wetu na kwamba watahakikisha Nchi haitawaliki na wala haendelei kuongoza Taifa letu. Sasa wanapoona mambo ni tofauti na matarajio yao Wanaumia Sanaa na Kupata hasira sanaa na kuamua kutumia kila njia na kutunga kila aina ya uongo na Uzushi ili tu kumchafua Rais wetu na kutaka kuchochea chuki kwa Watu.
Kwa hiyo nitoe Rai kwa watanzania wenzangu kuwa tusije ingia kwenye mtego huo wa wabaya na maadui wa Rais wetu na Taifa letu. Tusiwaunge mkono hata kidogo,Tuwapuuze kabisa na kuwakemea vikali. Tuseme kama Taifa tulishavuka msitari wa Udini na hakuna mtu anayeteuliwa kwa sababu ya Dini yake bali uwezo wa mtu kiuongozi ndio unaompatia nafasi . Tushikamane na Mama yetu na tuendelee kumuunga mkono .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hasafishiki hata kwa jikiKazi sana kumsafisha muuaji mbele ya macho ya watanzania na ulimwengu!
Mtahangaika sanaHasafishiki hata kwa jiki