Uteuzi umefanyika jana ambapo Wakristo wamejaa tele kila eneo lakini watu wapo kimyaa hawasemi Udini

Uteuzi umefanyika jana ambapo Wakristo wamejaa tele kila eneo lakini watu wapo kimyaa hawasemi Udini

Kazi sana kumsafisha muuaji mbele ya macho ya watanzania na ulimwengu!
Of course wengine tutamvisha nishani ya heshima kabisa kwa kuiokoa nchi iliyotaka kuangamizwa na mashetani ya kichadema (manyumbu) kwa msaada na udhamini wa TEC yao. Hakuna mwenye haja ya kusafishika mbele ya mashetani, ukisafishika kwa Mungu tu na watu wema inatosha.
 
Ewe chawa wahead, hebu jaribu kumwogopa Mungu please,please and please. Hatutaki propaganda za kipuuzi hapa. Sioni unachosifia hapa na mapambio yasiyo na mashiko. Pambaf mkubwa ww. Huyo mamako wa Kizimkazi aliyeko eda ana damu mikononi mwake kwa mauaji ya Watanganyika zaidi ya elfu 10 on 29OCT. Acha kujizma data zuzu mkubwa.

Wewe naona ni wale mnao tumika na Bwana Abdul anayetumiwa na mamake toka Kizimkazi ili kuteka, kuua na kupoteza Watanganyika waso na hatia.
Huyu mama ni Dikteta wa kutupwa! Don't you know that? Hakuna awamu yoyote tangu Tanganyika ipate uhuru yametokea mauaji ya kutisha km awamu hii!!

Ukiangalia kwa jicho la 3, wengi wanaotekwa, kuuawa na kupotezwa ni Wadanganyika na woote ni Wakristo. Hili liko wazi hata kwa Mafisccm wenyewe! Wako wapi Ndugai, yuko wapi Lukuvi, wapi Jenista, yuko wapi Polepole, na leo yuko Emmanuel Nchimbi???Just tell me km wewe ni Mzalendo na Mtanganyika kindakindaki!
Ondoa kwanza mawazo ya Udini na kidini ndio uweze kujadili hoja
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ndio Maana huwa Nasema Kuna Watu Wana Chuki Binafsi na Rais Samia Kwa Sababu ya Dini Yake Tu na wala siyo kitu kingine . Kuna watu wanakuwa wanachochea na kujaribu kupandikiza Chuki kwa Watu ili Rais wetu achukiwe na watu kwa sababu tu za kibaguzi Hususani Udini , Ukanda na Jinsia Lakini Siyo suala la kazi .

Kwa sababu kama ni Suala la Uchapakazi Basi kila Mmoja mwenye akili Timamu na asiye na Chuki Binafsi na Rais Samia anaona na Ameona kazi kubwa iliyofanywa na Rais wetu ndani ya miaka hii michache ya Uongozi wake. hasa kwa kuzingatia kipindi alichoshika madaraka kilichokuwa kimejaa hali ngumu ya Kiuchumi na mtikisiko wa uchumi Duniani kote.

lakini kwa ushupavu ujasiri na uhodari Mama yetu na Rais wetu ametuvusha salama kabisa tangia wakati wa Janga la Corona ,Vita vya Urussi na Ukrein pamoja na vita vya Marekani, Israel dhidi ya Iran .

Nyakati Zote Mama na Rais wetu amesimama imara kuhakisha Uchumi wetu na uchumi wa Mtanzania Mmoja mmoja unabakia salama . Ndio Maana tuliona akitoa Ruzuku katika nyakati tofautitofauti katika vitu vilivyokuwa vimepanda bei katika Soko la Dunia kama vile Mafuta na pembejeo za kilimo Hususani Mbolea.

Ikumbukwe vitu hivyo vilikuwa havipandishwi na Rais Samia ama serikali yake bali vimekuwa vikipanda Duniani kote na kuathiri Nchi nyingi ,lakini Mama yetu na Rais wetu Mpendwa amekuwa akibeba Mzigo huo wa gharama Mabegani Mwake kwa niaba ya Watanzania.

Ndio Maana kuna kipindi tuliona na kushuhudia kuna baadhi ya Raia wa Nchi jirani walikuwa wakipambana kwa jasho na Damu kutaka kuingia Nchini kununua Mafuta ya Dizeli na petroli kwa kuwa Bei kwetu ilikuwa ndogo ukilinganisha na Kwao .

Sasa kwa sasa kumekuwa na watu wenye chuki binafsi na ajenda binafsi za kutaka kumyumbisha Rais wetu kwa sababu tu za kibaguzi kwa kutaka kupandikiza Chuki za Kidini . Ambapo kila Uteuzi Ukifanyika kuna watu wanakuwa na ajenda ya kujifanya wanahesabu na takwimu za wakristo wangapi na waislamu wangapi kana kwamba jina la mtu ni uthibitisho wa Mwisho wa Dini ya Mtu bila kujua kuna watu ni akina All , Mohamed na Mengine mengi tu ya Kiislam Lakini ni Wakristo na wala Siyo Waislamu.

Ikumbukwe mwingine anaweza mtu akampa Mwanae Jina Kwa sababu tu alikuwa anampenda mtu fulani labda ni Mchezaji Nguli wa Mpira ama Msanii ama vyovyote vile.Mfano kwa sasa mitaani kuna Watu wengi sana wanaitwa akina Samia ambao walipewa Majina hayo baada ya Rais Samia kuwa Makamu wa Rais na Rais wa kwanza Mwanamke Nchini na kutokana na uchapakazi wake uliotukuka kuwavutia wengi hadi kuamua kuwapa watoto wao jina lake.

Majuzi tu hapa kumetoka uteuzi wa Makaimu Makatibu wa Mikoa wa CCM watu Wakaanza kuongelea habari za Udini .

Lakini Jana Kumetoka uteuzi wa viongozi wengi sana kuanzia wakuu wa wilaya , Makatibu tawala wilaya na Wakurugenzi . Ambapo Wakristo Ni Wengi sana katika kila Eneo la Uteuzi. Lakini Huoni wale watu wachonga midomo na visebengo wakiongea Habari za Ukristo na Uislamu Wa Wateule .wamejikaushaaa Kimyaaa utafikiri hawapo Vile yaani utafikiri Wamepigwa Gundi Midomo yao.

Na ukiangalia suala hili utaona kuna kakikundi fulani hivi ndiko kanakokuwa kanaeneza chuki na kutaka kuleta ama kupandikiza mbegu za kidini ili tu kutaka kumchafua Rais wetu Mpendwa na kutaka kuleta taharuki za kidini na kutaka kumyumbisha .

Ikumbukwe ya kuwa kuna watu wanaumia sana wanapoona Rais wetu Mpendwa akiendelea kukubalika ,kupendwa ,kuaminika na kuendelea kuungwa Mkono.wanaumia kwa sababu walijiapiza kuwa ni lazima Wamkwamishe Rais wetu na kwamba watahakikisha Nchi haitawaliki na wala haendelei kuongoza Taifa letu. Sasa wanapoona mambo ni tofauti na matarajio yao Wanaumia Sanaa na Kupata hasira sanaa na kuamua kutumia kila njia na kutunga kila aina ya uongo na Uzushi ili tu kumchafua Rais wetu na kutaka kuchochea chuki kwa Watu.

Kwa hiyo nitoe Rai kwa watanzania wenzangu kuwa tusije ingia kwenye mtego huo wa wabaya na maadui wa Rais wetu na Taifa letu. Tusiwaunge mkono hata kidogo,Tuwapuuze kabisa na kuwakemea vikali. Tuseme kama Taifa tulishavuka msitari wa Udini na hakuna mtu anayeteuliwa kwa sababu ya Dini yake bali uwezo wa mtu kiuongozi ndio unaompatia nafasi . Tushikamane na Mama yetu na tuendelee kumuunga mkono .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wakkristo ni jamii yenye chuki kubwa sana, angalia sasa waislam kama utasikia wanalalamika popote, nikweli hawa chuki yao kubwa kwa Rais ni sababu sio mgalatia mwenzao tu,hata maandamano ya October 29 wakkkristo ndio wameyaratibi 90%,
Hii jamii hakuna kupewa natasi kubwa kama ya urais kabisa,wamebakie nafasi za chini,hawa ni kama kikundi cha magaidi cha Joseph Kony, dawa wakileta ujinga na fujo ni kuwalamba njugu za viuno. ..ila sio wote katika wao ambao wa udini,ila mostly wapo ivyo.
 
Of course wengine tutamvisha nishani ya heshima kabisa kwa kuiokoa nchi iliyotaka kuangamizwa na mashetani ya kichadema (manyumbu) kwa msaada na udhamini wa TEC yao. Hakuna mwenye haja ya kusafishika mbele ya mashetani, ukisafishika kwa Mungu tu na watu wema inatosha.
Hilo katili halisafishiki kwenye macho ya watanzania Wala kwa Mungu!
Nchi hii kuja kuweka Rais mwanamke,itachukua karne nyingi sana!Rais wa kwanza kuangamiza watanganyika kwa kiwango Cha kutisha!
 
Ewe chawa wahead, hebu jaribu kumwogopa Mungu please,please and please. Hatutaki propaganda za kipuuzi hapa. Sioni unachosifia hapa na mapambio yasiyo na mashiko. Pambaf mkubwa ww. Huyo mamako wa Kizimkazi aliyeko eda ana damu mikononi mwake kwa mauaji ya Watanganyika zaidi ya elfu 10 on 29OCT. Acha kujizma data zuzu mkubwa.

Wewe naona ni wale mnao tumika na Bwana Abdul anayetumiwa na mamake toka Kizimkazi ili kuteka, kuua na kupoteza Watanganyika waso na hatia.
Huyu mama ni Dikteta wa kutupwa! Don't you know that? Hakuna awamu yoyote tangu Tanganyika ipate uhuru yametokea mauaji ya kutisha km awamu hii!!

Ukiangalia kwa jicho la 3, wengi wanaotekwa, kuuawa na kupotezwa ni Wadanganyika na woote ni Wakristo. Hili liko wazi hata kwa Mafisccm wenyewe! Wako wapi Ndugai, yuko wapi Lukuvi, wapi Jenista, yuko wapi Polepole, na leo yuko Emmanuel Nchimbi???Just tell me km wewe ni Mzalendo na Mtanganyika kindakindaki!
Nikitaka kukuelimisha kidogo, lakini niliposoma vzr nikagundua kumbe wewe ni wale anaogombana nao dudubaya Kila siku sababu mmeshindwa kuilinda migongo basi ngoja nikupotezee. Mwanaume kamili huwezi kuja hapa kuongea ungese kama huu. Uichome nchi halafu wazalendo wakuangalie tu?!!! Thubutuuuu......mharibifu wa nchi lazima ashughulikiwe, shenzzy type......
 
Hilo katili halisafishiki kwenye macho ya watanzania Wala kwa Mungu!
Nchi hii kuja kuweka Rais mwanamke,itachukua karne nyingi sana!Rais wa kwanza kuangamiza watanganyika kwa kiwango Cha kutisha!
Sawa, ngoja aje mwingine halafu mjitokeze tena kuichoma nchi ******* nyie tuone kama atawaacha.
 
Hilo katili halisafishiki kwenye macho ya watanzania Wala kwa Mungu!
Nchi hii kuja kuweka Rais mwanamke,itachukua karne nyingi sana!Rais wa kwanza kuangamiza watanganyika kwa kiwango Cha kutisha!
Ikiwa kibaka tu tunachoma moto ijukwa wale majambazi waliokubuhu.. piga izoo za kichwaa dadeki kafie mbele.
 
Tatizo lako huwa huna akili sana ya kukusaidia kimaisha.
Unajiita Lucas Mwashambwa wakati wewe ni Hemedi Mchambawima wa Mkunazini.
Hujui hali ya Tanzania kidistribution kuwa 63% ni wakristo, 34% Waislamu, Waaminio imani za makwao 3% ,
Sasa kwa msingi huo wazenj mtoke wapi kutaka Ukuu wa Mikoa na Wilaya.
Watu wenyewe mko si zaidi ya 1.5 million , midomo juu kama chuchunge.
Iyo sensa umefanya lini? Yaan waislam wanaongoza kwa kuzaliana wakawe wachache! Nyie ambao ushoga umeharibu nguvu zenu hata mke mmoja tu anawashinda,wenzenu wanaoa hadi wanne,leo nyie muwe wengi? Maajabu hayo
 
Wagalatia mliandamana mkiongozwa padri KEYTIMA kupindua Nchi, mwishoe mkaulie kama panzi,mmewaponza Hadi wasio na hatia...
Hayo ni Yako,kiufupi huyo bibi hasafishiki, Tyrant of the year!
 
Waislam pelekeni watoto wenu shule. Hakina mkiristo anapendelewa wote ni Wasomi. Nyie jivunieni Wanu Hafidh wenu. Mtoto wa mjane Samia
Sasa kama waislam hawajaenda shule kwann mnalalamika kuwa wanapendelewa? Acheni chuki nyie magaidi wa Joseph Kony
 
Hayo ni Yako,kiufupi huyo bibi hasafishiki, Tyrant of the year!
Samia atawatia adabu mbuzi nyie, si mlisema mtu amgose NCHIMBI aone nguvu ya kanisa? Kiko wapi sasa? Mwenzenu atoki ndani anaishia kwenye uzio wake tu.
 
Ikiwa kibaka tu tunachoma moto ijukwa wale majambazi waliokubuhu.. piga izoo za kichwaa dadeki kafie mbele.
Ndio hivyo,bibi limeweka record ya kuwa liuwaji la kwanza Katika historia ya nchi hii!
Record hiyo inaweza dumu kwa karne nyingi sana!
 
Samia atawatia adabu mbuzi nyie, si mlisema mtu amgose NCHIMBI aone nguvu ya kanisa? Kiko wapi sasa? Mwenzenu atoki ndani anaishia kwenye uzio wake tu.
Nasema hayo ni Yako,Mimi nimesema huyo bibi kaweka record ya kuwa muuaji namba Moja ya watanganyika Katika historia ya taifa hili!Record hiyo itakaa vizazi na vizazi
 
Ndio hivyo,bibi limeweka record ya kuwa liuwaji la kwanza Katika historia ya nchi hii!
Record hiyo inaweza dumu kwa karne nyingi sana!
Kaweka rekodi kwa kuwapunguza majambazi ni vizuri sana .. majambazi wa Chadema wamewaponza vibaka wengi sana kupoteza maisha, fursa imewaponza sheikh.
 
Back
Top Bottom