Uteuzi umefanyika jana ambapo Wakristo wamejaa tele kila eneo lakini watu wapo kimyaa hawasemi Udini

Uteuzi umefanyika jana ambapo Wakristo wamejaa tele kila eneo lakini watu wapo kimyaa hawasemi Udini

Kaweka rekodi kwa kuwapunguza majambazi ni vizuri sana .. majambazi wa Chadema wamewaponza vibaka wengi sana kupoteza maisha, fursa imewaponza sheikh.
Wewe wasema hivyo,ila wengi tunaona ni maisha ya watanzania!
 
Wakkristo ni jamii yenye chuki kubwa sana, angalia sasa waislam kama utasikia wanalalamika popote, nikweli hawa chuki yao kubwa kwa Rais ni sababu sio mgalatia mwenzao tu,hata maandamano ya October 29 wakkkristo ndio wameyaratibi 90%,
Hii jamii hakuna kupewa natasi kubwa kama ya urais kabisa,wamebakie nafasi za chini,hawa ni kama kikundi cha magaidi cha Joseph Kony, dawa wakileta ujinga na fujo ni kuwalamba njugu za viuno. ..ila sio wote katika wao ambao wa udini,ila mostly wapo ivyo.
Umeongea ukweli
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ndio Maana huwa Nasema Kuna Watu Wana Chuki Binafsi na Rais Samia Kwa Sababu ya Dini Yake Tu na wala siyo kitu kingine . Kuna watu wanakuwa wanachochea na kujaribu kupandikiza Chuki kwa Watu ili Rais wetu achukiwe na watu kwa sababu tu za kibaguzi Hususani Udini , Ukanda na Jinsia Lakini Siyo suala la kazi .

Kwa sababu kama ni Suala la Uchapakazi Basi kila Mmoja mwenye akili Timamu na asiye na Chuki Binafsi na Rais Samia anaona na Ameona kazi kubwa iliyofanywa na Rais wetu ndani ya miaka hii michache ya Uongozi wake. hasa kwa kuzingatia kipindi alichoshika madaraka kilichokuwa kimejaa hali ngumu ya Kiuchumi na mtikisiko wa uchumi Duniani kote.

lakini kwa ushupavu ujasiri na uhodari Mama yetu na Rais wetu ametuvusha salama kabisa tangia wakati wa Janga la Corona ,Vita vya Urussi na Ukrein pamoja na vita vya Marekani, Israel dhidi ya Iran .

Nyakati Zote Mama na Rais wetu amesimama imara kuhakisha Uchumi wetu na uchumi wa Mtanzania Mmoja mmoja unabakia salama . Ndio Maana tuliona akitoa Ruzuku katika nyakati tofautitofauti katika vitu vilivyokuwa vimepanda bei katika Soko la Dunia kama vile Mafuta na pembejeo za kilimo Hususani Mbolea.

Ikumbukwe vitu hivyo vilikuwa havipandishwi na Rais Samia ama serikali yake bali vimekuwa vikipanda Duniani kote na kuathiri Nchi nyingi ,lakini Mama yetu na Rais wetu Mpendwa amekuwa akibeba Mzigo huo wa gharama Mabegani Mwake kwa niaba ya Watanzania.

Ndio Maana kuna kipindi tuliona na kushuhudia kuna baadhi ya Raia wa Nchi jirani walikuwa wakipambana kwa jasho na Damu kutaka kuingia Nchini kununua Mafuta ya Dizeli na petroli kwa kuwa Bei kwetu ilikuwa ndogo ukilinganisha na Kwao .

Sasa kwa sasa kumekuwa na watu wenye chuki binafsi na ajenda binafsi za kutaka kumyumbisha Rais wetu kwa sababu tu za kibaguzi kwa kutaka kupandikiza Chuki za Kidini . Ambapo kila Uteuzi Ukifanyika kuna watu wanakuwa na ajenda ya kujifanya wanahesabu na takwimu za wakristo wangapi na waislamu wangapi kana kwamba jina la mtu ni uthibitisho wa Mwisho wa Dini ya Mtu bila kujua kuna watu ni akina All , Mohamed na Mengine mengi tu ya Kiislam Lakini ni Wakristo na wala Siyo Waislamu.

Ikumbukwe mwingine anaweza mtu akampa Mwanae Jina Kwa sababu tu alikuwa anampenda mtu fulani labda ni Mchezaji Nguli wa Mpira ama Msanii ama vyovyote vile.Mfano kwa sasa mitaani kuna Watu wengi sana wanaitwa akina Samia ambao walipewa Majina hayo baada ya Rais Samia kuwa Makamu wa Rais na Rais wa kwanza Mwanamke Nchini na kutokana na uchapakazi wake uliotukuka kuwavutia wengi hadi kuamua kuwapa watoto wao jina lake.

Majuzi tu hapa kumetoka uteuzi wa Makaimu Makatibu wa Mikoa wa CCM watu Wakaanza kuongelea habari za Udini .

Lakini Jana Kumetoka uteuzi wa viongozi wengi sana kuanzia wakuu wa wilaya , Makatibu tawala wilaya na Wakurugenzi . Ambapo Wakristo Ni Wengi sana katika kila Eneo la Uteuzi. Lakini Huoni wale watu wachonga midomo na visebengo wakiongea Habari za Ukristo na Uislamu Wa Wateule .wamejikaushaaa Kimyaaa utafikiri hawapo Vile yaani utafikiri Wamepigwa Gundi Midomo yao.

Na ukiangalia suala hili utaona kuna kakikundi fulani hivi ndiko kanakokuwa kanaeneza chuki na kutaka kuleta ama kupandikiza mbegu za kidini ili tu kutaka kumchafua Rais wetu Mpendwa na kutaka kuleta taharuki za kidini na kutaka kumyumbisha .

Ikumbukwe ya kuwa kuna watu wanaumia sana wanapoona Rais wetu Mpendwa akiendelea kukubalika ,kupendwa ,kuaminika na kuendelea kuungwa Mkono.wanaumia kwa sababu walijiapiza kuwa ni lazima Wamkwamishe Rais wetu na kwamba watahakikisha Nchi haitawaliki na wala haendelei kuongoza Taifa letu. Sasa wanapoona mambo ni tofauti na matarajio yao Wanaumia Sanaa na Kupata hasira sanaa na kuamua kutumia kila njia na kutunga kila aina ya uongo na Uzushi ili tu kumchafua Rais wetu na kutaka kuchochea chuki kwa Watu.

Kwa hiyo nitoe Rai kwa watanzania wenzangu kuwa tusije ingia kwenye mtego huo wa wabaya na maadui wa Rais wetu na Taifa letu. Tusiwaunge mkono hata kidogo,Tuwapuuze kabisa na kuwakemea vikali. Tuseme kama Taifa tulishavuka msitari wa Udini na hakuna mtu anayeteuliwa kwa sababu ya Dini yake bali uwezo wa mtu kiuongozi ndio unaompatia nafasi . Tushikamane na Mama yetu na tuendelee kumuunga mkono .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.


Wachochezi wasasa ni
Mizwazwa ya ki Aleluyaaaaa

Wakiona tu waislamu 7 Wakristo 3 utasikia
Rais yupo kwenye project ya kufanya Tanzania iwe Taifa la KISLAM
😛 😛

Mizwazwa sana sio kwa kauli
yangu
Ni iyo Biblia yake imemtambua kama ni Mokondoo
waliopotea 😛

Kwaiyo Jamii inabidi kuwaona kwa jicho hilo

Ukiyaona yanapendeza lkn kichwani ndio tatizo ni Mizwazwa ya kupishia mbali uko😀
 
Wachochezi wasasa ni
Mizwazwa ya ki Aleluyaaaaa

Wakiona tu waislamu 7 Wakristo 3 utasikia
Rais yupo kwenye project ya kufanya Tanzania iwe Taifa la KISLAM
😛 😛

Mizwazwa sana sio kwa kauli
yangu
Ni iyo Biblia yake imemtambua kama ni Mokondoo
waliopotea 😛

Kwaiyo Jamii inabidi kuwaona kwa jicho hilo

Ukiyaona yanapendeza lkn kichwani ndio tatizo ni Mizwazwa ya kupishia mbali uko😀
Wanataka waturejeshe Sehemu ambayo tulusha ivuka
 
Iyo sensa umefanya lini? Yaan waislam wanaongoza kwa kuzaliana wakawe wachache! Nyie ambao ushoga umeharibu nguvu zenu hata mke mmoja tu anawashinda,wenzenu wanaoa hadi wanne,leo nyie muwe wengi? Maajabu hayo
Tumia akili just google!
 
Huna adabu na unasumbuliwa na ujinga kichwani mwako
We ***** umeshasema jina la mtu halinasibishi dini yake....haya we umejuaje sasa kwamba mkeka wa jana wakuu wa wilaya wengi wao ni wakristo na sio waislam?!.
Chawa usiye na akili kazi kulamba tu mataqo ya mtawala kilaza!
 
Kwani hakuna watanzaia majambazi na vibaka ? usijifiche kwenye image ya Utanzania na Utanganyika wakati ni watu wa hovyo tu. VIBAKA
Sawa,endeleeni kulipasua taifa mkidhani kuwa mnatengeneza kumbe ndio mnaharibu kabisaa!Hao mnaodhani mnawasaidia,ndio mnawaharibia zaidi kwa kupandikiza chuki!Huo ndio ukweli,shoot to kill ilikuwa haingalii ni mtoto,mwanamke au Mzee!Ni kutandika risasi tu tena Pengine at point blank!
Hizi dhihaka mnazowafanyia wahanga waliopata vilema na watu waliopoteza ndugu zao,zinazidi kupandikiza chuki!
Ikitokea nafasi,watu hawatakuwa na Cha kupoteza!Wataona ndio fursa ya kulipa kisasi!
Ukiwa na miwani ya mbao huwezi kuyaona hayo!
Tyrant of the year!
 
Waislam pelekeni watoto wenu shule. Hakina mkiristo anapendelewa wote ni Wasomi. Nyie jivunieni Wanu Hafidh wenu. Mtoto wa mjane Samia

Lkn wakipata teuzi Waislamu
Ndio Nogwa

Kwamba kwasasa Taifa linaenda kuwa la kislam

Lkn wakichaguliwa Wakristo !!
Taifa haliendi kuwa la ki Aleluyaaaaa !!!

Wenye Akili tutaanzia kwenye Biblia kwani watu
Awa viumbe vipoje
Mbona hawasomeki!!!!!

Biblia inatwambia msipate tabu ni waumini wangu !!

ni kondoo waliopotea wapo wapo tu kupiga kelele za kutatizika! 😛
 
Yenyewe lengo lao
Kumshawishi Rais ikibidi kuteua basi teuzi zote ziende kwa Wakristo ndio watamuona yeye sio Mdini

Lkn wakiona tu teuzi Waislamu na Wakristo wanafanana!!!

Kwao Michuki inapanda kichwani
Na Mapresha
juu
kwamba Rais yupo kwenye mradi wa kuifanya nchi ya Kislam !!!!!!!!!!!
Jitu pengine tayali
Linaitwa Babu
nyumbani
kichwani Zwazwa
 
Nikitaka kukuelimisha kidogo, lakini niliposoma vzr nikagundua kumbe wewe ni wale anaogombana nao dudubaya Kila siku sababu mmeshindwa kuilinda migongo basi ngoja nikupotezee. Mwanaume kamili huwezi kuja hapa kuongea ungese kama huu. Uichome nchi halafu wazalendo wakuangalie tu?!!! Thubutuuuu......mharibifu wa nchi lazima ashughulikiwe, shenzzy type......
Wewe nani hajui ndo mnaenda kwa Abdul awashugulikie kwa kugawa nyuma ili awape posho na kuja kuandika upuuzi hapa? Endelea kuwalaghai hao wapuuzi wenzio toka Kizimkazi na Lumumba!

Mngese ni ww na Kauli zako xnaonesha ujinga ulonao wa kiwango cha lami! Ati unazungumzia kuchoma nchi?? Vipi kuhusu maelfu Wadanganyika walokufa kwa kupigwa risasi za moto mchana kweupe na hao Mapolisi na Majeshi ya CCM??
 
Back
Top Bottom