Uteuzi umefanyika jana ambapo Wakristo wamejaa tele kila eneo lakini watu wapo kimyaa hawasemi Udini

Waislam pelekeni watoto wenu shule. Hakina mkiristo anapendelewa wote ni Wasomi. Nyie jivunieni Wanu Hafidh wenu. Mtoto wa mjane Samia
 
Huna adabu na unasumbuliwa na ujinga kichwani mwako
Endelea kusafisha visivyosafishika,huyo alishajitumbukiza Katika shimo ambalo hawezi kutoka!Analijua Hilo,Samia wa Leo akikutana na Samia wa 2022,watakataana!Ni watu wawili tofauti!
 
Wewe akili yako sifuri!
Makatibu wa CCM wilaya na mikoa
Ni shida kubwa kwenye kuunda serikali.
Mkeka ulio uona,umeandaliwa na TISS na sio ccm wala serikali, ndio maana , tunasema CCM ,inamiliki Jeshi
 
Wala sikutegemea mawazo mbadala zaidi ya haya, ..wewe chamba hapo Lumumba usubiri elfu Saba ....halafu unadhani kila mtu anakopa kama mamalako?
Dereva ukiwa njiani Tii sheria za usalama barabarani na ukikiuka sheria utakamatwa tu bila kuogopwa. Hakuna Dereva atavumiliwa kwa Vitendo vyake vya kuhatarisha Usalama na Uhai wa Abiria
 
Wewe akili yako sifuri!
Makatibu wa CCM wilaya na mikoa
Ni shida kubwa kwenye kuunda serikali.
Mkeka ulio uona,umeandaliwa na TISS na sio ccm wala serikali, ndio maana , tunasema CCM ,inamiliki Jeshi
Kwani Usalama Siyo Watanzania? Hata Usalama wa Taifa wanatambua ya Kuwa ni CCM pekee Iwezayo Kuliongoza Taifa letu
 
Mikopo imekutoa ufahamu.
 
Huyo rais unampenda wewe peke yako watanzania tuondoe huko.
Rais Samia anapendwa na kila Mtanzania mwenye akili Timamu na anayejitambua na ndio sababu alipigiwa kura kwa 98% na kuzoa kura zaidi ya Million 32
 
Watu wale wale mtu alikua mbunge anapewa u dc kwani nchi hii watu wameisha
 
Waislam pelekeni watoto wenu shule. Hakina mkiristo anapendelewa wote ni Wasomi. Nyie jivunieni Wanu Hafidh wenu. Mtoto wa mjane Samia
Nyinyi Wadini ndio muende shule ili muache na kuondoa akili hizo za kidini
 
Rais Samia anapendwa na kila Mtanzania mwenye akili Timamu na anayejitambua na ndio sababu alipigiwa kura kwa 98% na kuzoa kura zaidi ya Million 32
Oktoba 29 ilikua ni siku ya mauaji na uchafuzi. Tanzania haijawahi kupitishwa kwenye kipindi kigumu Cha utawala kama Cha huyu bibi kizimkazi sijui kwasababu siyo mtanganyika? Ila Mungu atasimama na watanzania.
 
Na ndio maana wamekufa kizembe kwa uzembe wao.
 
Oktoba 29 ilikua ni siku ya mauaji na uchafuzi. Tanzania haijawahi kupitishwa kwenye kipindi kigumu Cha utawala kama Cha huyu bibi kizimkazi sijui kwasababu siyo mtanganyika? Ila Mungu atasimama na watanzania.
Mbona wewe hujauwawa? Hivi Huoni kuna watu walitaka kupindua serikali yetu kwa njia Haramu? Hivi nani anaweza kuruhusu hali ile ya uchomaji wa vitu mbalimbali Nchini uendelee bila kudhibitiwa? Watanzania tunatakiwa kujifunza Kuwa Walinzi Wa Taifa letu sisi kwa sisi kwa kuwa madhara yanatupata sote
 
Japo dish lako limeyumba ila muda mwingine unasema ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…