Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
M/mungu amehusia waislam wawe makini na makafiri,chuki zao zilizopo nyoyoni ni kubwa zaidi kuliko wanazoonyesha mdomoni mwao.Lkn wakipata teuzi Waislamu
Ndio Nogwa
Kwamba kwasasa Taifa linaenda kuwa la kislam
Lkn wakichaguliwa Wakristo !!
Taifa haliendi kuwa la ki Aleluyaaaaa !!!
Wenye Akili tutaanzia kwenye Biblia kwani watu
Awa viumbe vipoje
Mbona hawasomeki!!!!!
Biblia inatwambia msipate tabu ni waumini wangu !!
ni kondoo waliopotea wapo wapo tu kupiga kelele za kutatizika! 😛
Hata M/Mungu watu washenzi Huwa anawaangamiza!Ndio hivyo,bibi limeweka record ya kuwa liuwaji la kwanza Katika historia ya nchi hii!
Record hiyo inaweza dumu kwa karne nyingi sana!
Tambueni mtanabai, wakkristo Wana chuki na waislam!Yenyewe lengo lao
Kumshawishi Rais ikibidi kuteua basi teuzi zote ziende kwa Wakristo ndio watamuona yeye sio Mdini
Lkn wakiona tu teuzi Waislamu na Wakristo wanafanana!!!
Kwao Michuki inapanda kichwani
Na Mapresha
juu
kwamba Rais yupo kwenye mradi wa kuifanya nchi ya Kislam !!!!!!!!!!!
Jitu pengine tayali
Linaitwa Babu
nyumbani
kichwani Zwazwa
Mkuu hapo umenenaNdugu zangu Watanzania,
Ndio Maana huwa Nasema Kuna Watu Wana Chuki Binafsi na Rais Samia Kwa Sababu ya Dini Yake Tu na wala siyo kitu kingine . Kuna watu wanakuwa wanachochea na kujaribu kupandikiza Chuki kwa Watu ili Rais wetu achukiwe na watu kwa sababu tu za kibaguzi Hususani Udini , Ukanda na Jinsia Lakini Siyo suala la kazi .
Kwa sababu kama ni Suala la Uchapakazi Basi kila Mmoja mwenye akili Timamu na asiye na Chuki Binafsi na Rais Samia anaona na Ameona kazi kubwa iliyofanywa na Rais wetu ndani ya miaka hii michache ya Uongozi wake. hasa kwa kuzingatia kipindi alichoshika madaraka kilichokuwa kimejaa hali ngumu ya Kiuchumi na mtikisiko wa uchumi Duniani kote.
lakini kwa ushupavu ujasiri na uhodari Mama yetu na Rais wetu ametuvusha salama kabisa tangia wakati wa Janga la Corona ,Vita vya Urussi na Ukrein pamoja na vita vya Marekani, Israel dhidi ya Iran .
Nyakati Zote Mama na Rais wetu amesimama imara kuhakisha Uchumi wetu na uchumi wa Mtanzania Mmoja mmoja unabakia salama . Ndio Maana tuliona akitoa Ruzuku katika nyakati tofautitofauti katika vitu vilivyokuwa vimepanda bei katika Soko la Dunia kama vile Mafuta na pembejeo za kilimo Hususani Mbolea.
Ikumbukwe vitu hivyo vilikuwa havipandishwi na Rais Samia ama serikali yake bali vimekuwa vikipanda Duniani kote na kuathiri Nchi nyingi ,lakini Mama yetu na Rais wetu Mpendwa amekuwa akibeba Mzigo huo wa gharama Mabegani Mwake kwa niaba ya Watanzania.
Ndio Maana kuna kipindi tuliona na kushuhudia kuna baadhi ya Raia wa Nchi jirani walikuwa wakipambana kwa jasho na Damu kutaka kuingia Nchini kununua Mafuta ya Dizeli na petroli kwa kuwa Bei kwetu ilikuwa ndogo ukilinganisha na Kwao .
Sasa kwa sasa kumekuwa na watu wenye chuki binafsi na ajenda binafsi za kutaka kumyumbisha Rais wetu kwa sababu tu za kibaguzi kwa kutaka kupandikiza Chuki za Kidini . Ambapo kila Uteuzi Ukifanyika kuna watu wanakuwa na ajenda ya kujifanya wanahesabu na takwimu za wakristo wangapi na waislamu wangapi kana kwamba jina la mtu ni uthibitisho wa Mwisho wa Dini ya Mtu bila kujua kuna watu ni akina All , Mohamed na Mengine mengi tu ya Kiislam Lakini ni Wakristo na wala Siyo Waislamu.
Ikumbukwe mwingine anaweza mtu akampa Mwanae Jina Kwa sababu tu alikuwa anampenda mtu fulani labda ni Mchezaji Nguli wa Mpira ama Msanii ama vyovyote vile.Mfano kwa sasa mitaani kuna Watu wengi sana wanaitwa akina Samia ambao walipewa Majina hayo baada ya Rais Samia kuwa Makamu wa Rais na Rais wa kwanza Mwanamke Nchini na kutokana na uchapakazi wake uliotukuka kuwavutia wengi hadi kuamua kuwapa watoto wao jina lake.
Majuzi tu hapa kumetoka uteuzi wa Makaimu Makatibu wa Mikoa wa CCM watu Wakaanza kuongelea habari za Udini .
Lakini Jana Kumetoka uteuzi wa viongozi wengi sana kuanzia wakuu wa wilaya , Makatibu tawala wilaya na Wakurugenzi . Ambapo Wakristo Ni Wengi sana katika kila Eneo la Uteuzi. Lakini Huoni wale watu wachonga midomo na visebengo wakiongea Habari za Ukristo na Uislamu Wa Wateule .wamejikaushaaa Kimyaaa utafikiri hawapo Vile yaani utafikiri Wamepigwa Gundi Midomo yao.
Na ukiangalia suala hili utaona kuna kakikundi fulani hivi ndiko kanakokuwa kanaeneza chuki na kutaka kuleta ama kupandikiza mbegu za kidini ili tu kutaka kumchafua Rais wetu Mpendwa na kutaka kuleta taharuki za kidini na kutaka kumyumbisha .
Ikumbukwe ya kuwa kuna watu wanaumia sana wanapoona Rais wetu Mpendwa akiendelea kukubalika ,kupendwa ,kuaminika na kuendelea kuungwa Mkono.wanaumia kwa sababu walijiapiza kuwa ni lazima Wamkwamishe Rais wetu na kwamba watahakikisha Nchi haitawaliki na wala haendelei kuongoza Taifa letu. Sasa wanapoona mambo ni tofauti na matarajio yao Wanaumia Sanaa na Kupata hasira sanaa na kuamua kutumia kila njia na kutunga kila aina ya uongo na Uzushi ili tu kumchafua Rais wetu na kutaka kuchochea chuki kwa Watu.
Kwa hiyo nitoe Rai kwa watanzania wenzangu kuwa tusije ingia kwenye mtego huo wa wabaya na maadui wa Rais wetu na Taifa letu. Tusiwaunge mkono hata kidogo,Tuwapuuze kabisa na kuwakemea vikali. Tuseme kama Taifa tulishavuka msitari wa Udini na hakuna mtu anayeteuliwa kwa sababu ya Dini yake bali uwezo wa mtu kiuongozi ndio unaompatia nafasi . Tushikamane na Mama yetu na tuendelee kumuunga mkono .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tumia akili kabla ya kuandika hapaWewe nani hajui ndo mnaenda kwa Abdul awashugulikie kwa kugawa nyuma ili awape posho na kuja kuandika upuuzi hapa? Endelea kuwalaghai hao wapuuzi wenzio toka Kizimkazi na Lumumba!
Mngese ni ww na Kauli zako xnaonesha ujinga ulonao wa kiwango cha lami! Ati unazungumzia kuchoma nchi?? Vipi kuhusu maelfu Wadanganyika walokufa kwa kupigwa risasi za moto mchana kweupe na hao Mapolisi na Majeshi ya CCM??
Nasikia jina lako halisi ni Hemedi, hujambo?Ndugu zangu Watanzania,

Umekosea sana, wasiliana na teuzi za Makatibu waislamu wa CCM majuzi.Ninyi ndio Wadini Wakubwa na wala siyo CCM ama serikali ama Rais wetu Mpendwa
Endeleeni na ujinga wenuNasikia jina lako halisi ni Hemedi, hujambo?
Umenena ukweli MchunguAjenda ya udini, ukabila na ukanda inabebwa na CHadeMA na imekaa vichwani mwao kama ibada.
hakuna cha dhihaka wala nini, kibaka anachomwa moto mchana kweupe au unataka kuniambia mo29 hakukuwa na vibaka tena wa kuvunja kutumia nguvu ikwa mtu anaiba kwa kuchomoa pickpocket anazwabwa pira na kuchomwa moto ulitegemea hao wahuni tuwapikie pilau.Sawa,endeleeni kulipasua taifa mkidhani kuwa mnatengeneza kumbe ndio mnaharibu kabisaa!Hao mnaodhani mnawasaidia,ndio mnawaharibia zaidi kwa kupandikiza chuki!Huo ndio ukweli,shoot to kill ilikuwa haingalii ni mtoto,mwanamke au Mzee!Ni kutandika risasi tu tena Pengine at point blank!
Hizi dhihaka mnazowafanyia wahanga waliopata vilema na watu waliopoteza ndugu zao,zinazidi kupandikiza chuki!
Ikitokea nafasi,watu hawatakuwa na Cha kupoteza!Wataona ndio fursa ya kulipa kisasi!
Ukiwa na miwani ya mbao huwezi kuyaona hayo!
Tyrant of the year!
Usipanic dogo,huyo bibi kaweka historia yake ya umwagaji damu!
Huyo Abdul itakuwa anawashughulikia (kuwafyodoa) nyie chadema ndo maana Kila dakika yupo vinywani na akilini kwenu.....hii si Bure.Wewe nani hajui ndo mnaenda kwa Abdul awashugulikie kwa kugawa nyuma ili awape posho na kuja kuandika upuuzi hapa? Endelea kuwalaghai hao wapuuzi wenzio toka Kizimkazi na Lumumba!
Mngese ni ww na Kauli zako xnaonesha ujinga ulonao wa kiwango cha lami! Ati unazungumzia kuchoma nchi?? Vipi kuhusu maelfu Wadanganyika walokufa kwa kupigwa risasi za moto mchana kweupe na hao Mapolisi na Majeshi ya CCM??
Ndio nakwambia hausaidii chochote ila unapandikiza chuki!Umeona wahanga wakitoa ushuhuda kwenye tume ya Jaji chande?Ulifuatilia wewe?Uliwasikia?hakuna cha dhihaka wala nini, kibaka anachomwa moto mchana kweupe au unataka kuniambia mo29 hakukuwa na vibaka tena wa kuvunja kutumia nguvu ikwa mtu anaiba kwa kuchomoa pickpocket anazwabwa pira na kuchomwa moto ulitegemea hao wahuni tuwapikie pilau.
Wewe mtoto utakuwa sio ridhiki!Sio kwa uandishi huo,taifa linaangamia kwa kupoteza vijana kama wewe!Tatizo ni kubwa Kuliko nilivyodhani!Huyo Abdul itakuwa anawashughulikia (kuwafyodoa) nyie chadema ndo maana Kila dakika yupo vinywani na akilini kwenu.....hii si Bure.
Unashangaa kishughulikiwa mchana kwani uasi waliufanya muda gani ewe nyumbu punga?!! Wazalendo walideal na mtu kwa namna alivyokuja.....mchana unadealiwa mchana, usiku unadealiwa vilivyo usiku . Matokeo yake ndo kama tunavyoona, nchi ilibaki salama salmini na Yale mashostito myenzenu yaliyotoka Kenya yalirudi mbiombio na hayana hamu hata ya sekunde Moja ya kuja kuichezea Tanzania .....mamamamae!
2030 kinakuja chuma zaidi ya jpm tuone kama Kuna shoga yeyote atathubutu kunenepeana kwenye sello zetu na mhakama zetu kama Sasa hivi. Nyambaaaf!!!!
Mimi sina serikali bhana acha izo.Ndio nakwambia hausaidii chochote ila unapandikiza chuki!Umeona wahanga wakitoa ushuhuda kwenye tume ya Jaji chande?Ulifuatilia wewe?Uliwasikia?
Mtu kama huyo ndio anapita hapa kusoma upupu wako,unategemea Nini?
Serikali Yako iko inahangaika namna ya kufanya maridhiano na kudissolve issue ya oct 29,wewe uko hapa kupiga porojo!
Maridhiano ya Nini kama walioshughulikiwa ni vibaka na walistahili?
Serikali Yako wameshagundua Kuna sehemu wamepuyanga,wewe unakaza mshipa hapa ukidhani uanwatete kumbe ndio unawaharibia!Ni vile tu huelewi nguvu ya mitandao!Kuna wengine wanapita na kusoma tu bila kusema chochote!Hao ni wengi Kuliko wanaocomment!
Wale ambao mioyo Yao ilishaanza kupona,unadhani wakipita wanasoma ulichoandika,si maana yake unatibia yaliyokuwa yamelala!Hapo umeisaidia serikali Yako au umeiongezea mzigo?
Kama unaona mbali utakuwa umeelewa,ila kama ndio mpaka upigwe kofi ndio utoke kwenye usingizi wa pono basi kazi yangu imeishia hapa!
Hilo ndio jibu,aiseee!Mimi sina serikali bhana acha izo.
Unazingua mazee, yaani kutupiana maneno mawili matatu ushanimilikisha hilo dubwashka. tafadhali mkuuHilo ndio jibu,aiseee!
Ninyi Ma CHADEMA ndio Mna Udini sanaYaaani ww likichwa litupu kama debe la makasi umeanza kumuiga yule anayetumia ID ya big show aka ubongo wa mbuzi kuhamasisha udini na chuki kwa Watanzania
Bora ujinga wake wa kichwani kuliko wewe wa mak... LionHuna adabu na unasumbuliwa na ujinga kichwani mwako