Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
-
- #121
Mungu akusamehe sana ndugu yangu Mtanzania maana hujui ulitendaloBora ujinga wake wa kichwani kuliko wewe wa mak... Lion
Wewe ungekuwa unajua ulitendalo usinge jadili mambo ya dini. Jinga weweMungu akusamehe sana ndugu yangu Mtanzania maana hujui ulitendalo
Mungu akusamehe 7 x 70Wewe ungekuwa unajua ulitendalo usinge jadili mambo ya dini. Jinga wewe
Huna akili kabisa weweWewe nani hajui ndo mnaenda kwa Abdul awashugulikie kwa kugawa nyuma ili awape posho na kuja kuandika upuuzi hapa? Endelea kuwalaghai hao wapuuzi wenzio toka Kizimkazi na Lumumba!
Mngese ni ww na Kauli zako xnaonesha ujinga ulonao wa kiwango cha lami! Ati unazungumzia kuchoma nchi?? Vipi kuhusu maelfu Wadanganyika walokufa kwa kupigwa risasi za moto mchana kweupe na hao Mapolisi na Majeshi ya CCM??
Kwahyo umeleta hapa ili tuanze kujadili huo udiniNdugu zangu Watanzania,
Ndio Maana huwa Nasema Kuna Watu Wana Chuki Binafsi na Rais Samia Kwa Sababu ya Dini Yake Tu na wala siyo kitu kingine . Kuna watu wanakuwa wanachochea na kujaribu kupandikiza Chuki kwa Watu ili Rais wetu achukiwe na watu kwa sababu tu za kibaguzi Hususani Udini , Ukanda na Jinsia Lakini Siyo suala la kazi .
Kwa sababu kama ni Suala la Uchapakazi Basi kila Mmoja mwenye akili Timamu na asiye na Chuki Binafsi na Rais Samia anaona na Ameona kazi kubwa iliyofanywa na Rais wetu ndani ya miaka hii michache ya Uongozi wake. hasa kwa kuzingatia kipindi alichoshika madaraka kilichokuwa kimejaa hali ngumu ya Kiuchumi na mtikisiko wa uchumi Duniani kote.
lakini kwa ushupavu ujasiri na uhodari Mama yetu na Rais wetu ametuvusha salama kabisa tangia wakati wa Janga la Corona ,Vita vya Urussi na Ukrein pamoja na vita vya Marekani, Israel dhidi ya Iran .
Nyakati Zote Mama na Rais wetu amesimama imara kuhakisha Uchumi wetu na uchumi wa Mtanzania Mmoja mmoja unabakia salama . Ndio Maana tuliona akitoa Ruzuku katika nyakati tofautitofauti katika vitu vilivyokuwa vimepanda bei katika Soko la Dunia kama vile Mafuta na pembejeo za kilimo Hususani Mbolea.
Ikumbukwe vitu hivyo vilikuwa havipandishwi na Rais Samia ama serikali yake bali vimekuwa vikipanda Duniani kote na kuathiri Nchi nyingi ,lakini Mama yetu na Rais wetu Mpendwa amekuwa akibeba Mzigo huo wa gharama Mabegani Mwake kwa niaba ya Watanzania.
Ndio Maana kuna kipindi tuliona na kushuhudia kuna baadhi ya Raia wa Nchi jirani walikuwa wakipambana kwa jasho na Damu kutaka kuingia Nchini kununua Mafuta ya Dizeli na petroli kwa kuwa Bei kwetu ilikuwa ndogo ukilinganisha na Kwao .
Sasa kwa sasa kumekuwa na watu wenye chuki binafsi na ajenda binafsi za kutaka kumyumbisha Rais wetu kwa sababu tu za kibaguzi kwa kutaka kupandikiza Chuki za Kidini . Ambapo kila Uteuzi Ukifanyika kuna watu wanakuwa na ajenda ya kujifanya wanahesabu na takwimu za wakristo wangapi na waislamu wangapi kana kwamba jina la mtu ni uthibitisho wa Mwisho wa Dini ya Mtu bila kujua kuna watu ni akina All , Mohamed na Mengine mengi tu ya Kiislam Lakini ni Wakristo na wala Siyo Waislamu.
Ikumbukwe mwingine anaweza mtu akampa Mwanae Jina Kwa sababu tu alikuwa anampenda mtu fulani labda ni Mchezaji Nguli wa Mpira ama Msanii ama vyovyote vile.Mfano kwa sasa mitaani kuna Watu wengi sana wanaitwa akina Samia ambao walipewa Majina hayo baada ya Rais Samia kuwa Makamu wa Rais na Rais wa kwanza Mwanamke Nchini na kutokana na uchapakazi wake uliotukuka kuwavutia wengi hadi kuamua kuwapa watoto wao jina lake.
Majuzi tu hapa kumetoka uteuzi wa Makaimu Makatibu wa Mikoa wa CCM watu Wakaanza kuongelea habari za Udini .
Lakini Jana Kumetoka uteuzi wa viongozi wengi sana kuanzia wakuu wa wilaya , Makatibu tawala wilaya na Wakurugenzi . Ambapo Wakristo Ni Wengi sana katika kila Eneo la Uteuzi. Lakini Huoni wale watu wachonga midomo na visebengo wakiongea Habari za Ukristo na Uislamu Wa Wateule .wamejikaushaaa Kimyaaa utafikiri hawapo Vile yaani utafikiri Wamepigwa Gundi Midomo yao.
Na ukiangalia suala hili utaona kuna kakikundi fulani hivi ndiko kanakokuwa kanaeneza chuki na kutaka kuleta ama kupandikiza mbegu za kidini ili tu kutaka kumchafua Rais wetu Mpendwa na kutaka kuleta taharuki za kidini na kutaka kumyumbisha .
Ikumbukwe ya kuwa kuna watu wanaumia sana wanapoona Rais wetu Mpendwa akiendelea kukubalika ,kupendwa ,kuaminika na kuendelea kuungwa Mkono.wanaumia kwa sababu walijiapiza kuwa ni lazima Wamkwamishe Rais wetu na kwamba watahakikisha Nchi haitawaliki na wala haendelei kuongoza Taifa letu. Sasa wanapoona mambo ni tofauti na matarajio yao Wanaumia Sanaa na Kupata hasira sanaa na kuamua kutumia kila njia na kutunga kila aina ya uongo na Uzushi ili tu kumchafua Rais wetu na kutaka kuchochea chuki kwa Watu.
Kwa hiyo nitoe Rai kwa watanzania wenzangu kuwa tusije ingia kwenye mtego huo wa wabaya na maadui wa Rais wetu na Taifa letu. Tusiwaunge mkono hata kidogo,Tuwapuuze kabisa na kuwakemea vikali. Tuseme kama Taifa tulishavuka msitari wa Udini na hakuna mtu anayeteuliwa kwa sababu ya Dini yake bali uwezo wa mtu kiuongozi ndio unaompatia nafasi . Tushikamane na Mama yetu na tuendelee kumuunga mkono .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
WAmesawazishaNdugu zangu Watanzania,

Muogope Mungu unauhakika na hizo kura? Muda mwingine kukaa kimya ni busara sana. Duniani tunapita tu hivyo ni vema kuwa makini na hii duniaRais Samia anapendwa na kila Mtanzania mwenye akili Timamu na anayejitambua na ndio sababu alipigiwa kura kwa 98% na kuzoa kura zaidi ya Million 32
Nimetoa ufafanuzi na Majibu ya Swali lako kwenye andiko languKwahyo umeleta hapa ili tuanze kujadili huo udini
Rais Samia ndio alipata hizo kura na hizo asilimia tena ingeongezeka kidogo tu muda wa kupiga kura angepata zaidi ya hizo kuraMuogope Mungu unauhakika na hizo kura? Muda mwingine kukaa kimya ni busara sana. Duniani tunapita tu hivyo ni vema kuwa makini na hii dunia
Sasa kwanini huwa Mnapenda kujadili habari za Udini badala ya kuangalia uwezo wa mtu kiutendaji na kiuongozi aliyeteuliwa? Kwanini huwa mnaanza kuhesabu idadi ya waislamu na wakristo katika Orodha ya majina ya walioteuliwa?Kazi unayo kubwa sana, shida yako uwezo wako wa kufikiri kuhusu taifa lako na hatima yake ni duni sana. Wewe fikra zako zimejengeka katika udini, na ukitoka hapo utaingia kwenye ukanda na ukabila. Tunatakiwa tuhame huko tuangalie manufaa na utendaji wa mteuliwa kwa Taifa letu. Tanzania wateuliwa karibu wote hutekereza mawazo ya mteuzi na sio kutekeleza sheria, dira na taratibu za taifa letu. Hivyo tunatakiwa kuondoa dhana ya udini, ukanda, ukabila nk na kupigania kupata viongozi waadilifu na watii kwa katiba ya nchi sio kwa Mteuzi.
Uliyejadili habari ya udini ni wewe angalia heading yako "Sasa kwanini huwa Mnapenda kujadili habari za Udini badala ya kuangalia uwezo wa mtu kiutendaji na kiuongozi aliyeteuliwa? Kwanini huwa mnaanza kuhesabu idadi ya waislamu na wakristo katika Orodha ya majina ya walioteuliwa?
Una evidence zinazo kuthibitishia hilo?Rais Samia ndio alipata hizo kura na hizo asilimia tena ingeongezeka kidogo tu muda wa kupiga kura angepata zaidi ya hizo kura
Ndio ninazoUna evidence zinazo kuthibitishia hilo?
ema kaka jitahidi uandike vizuriNdugu zangu Watanzania,
Ndio Maana huwa Nasema Kuna Watu Wana Chuki Binafsi na Rais Samia Kwa Sababu ya Dini Yake Tu na wala siyo kitu kingine . Kuna watu wanakuwa wanachochea na kujaribu kupandikiza Chuki kwa Watu ili Rais wetu achukiwe na watu kwa sababu tu za kibaguzi Hususani Udini , Ukanda na Jinsia Lakini Siyo suala la kazi .
Kwa sababu kama ni Suala la Uchapakazi Basi kila Mmoja mwenye akili Timamu na asiye na Chuki Binafsi na Rais Samia anaona na Ameona kazi kubwa iliyofanywa na Rais wetu ndani ya miaka hii michache ya Uongozi wake. hasa kwa kuzingatia kipindi alichoshika madaraka kilichokuwa kimejaa hali ngumu ya Kiuchumi na mtikisiko wa uchumi Duniani kote.
lakini kwa ushupavu ujasiri na uhodari Mama yetu na Rais wetu ametuvusha salama kabisa tangia wakati wa Janga la Corona ,Vita vya Urussi na Ukrein pamoja na vita vya Marekani, Israel dhidi ya Iran .
Nyakati Zote Mama na Rais wetu amesimama imara kuhakisha Uchumi wetu na uchumi wa Mtanzania Mmoja mmoja unabakia salama . Ndio Maana tuliona akitoa Ruzuku katika nyakati tofautitofauti katika vitu vilivyokuwa vimepanda bei katika Soko la Dunia kama vile Mafuta na pembejeo za kilimo Hususani Mbolea.
Ikumbukwe vitu hivyo vilikuwa havipandishwi na Rais Samia ama serikali yake bali vimekuwa vikipanda Duniani kote na kuathiri Nchi nyingi ,lakini Mama yetu na Rais wetu Mpendwa amekuwa akibeba Mzigo huo wa gharama Mabegani Mwake kwa niaba ya Watanzania.
Ndio Maana kuna kipindi tuliona na kushuhudia kuna baadhi ya Raia wa Nchi jirani walikuwa wakipambana kwa jasho na Damu kutaka kuingia Nchini kununua Mafuta ya Dizeli na petroli kwa kuwa Bei kwetu ilikuwa ndogo ukilinganisha na Kwao .
Sasa kwa sasa kumekuwa na watu wenye chuki binafsi na ajenda binafsi za kutaka kumyumbisha Rais wetu kwa sababu tu za kibaguzi kwa kutaka kupandikiza Chuki za Kidini . Ambapo kila Uteuzi Ukifanyika kuna watu wanakuwa na ajenda ya kujifanya wanahesabu na takwimu za wakristo wangapi na waislamu wangapi kana kwamba jina la mtu ni uthibitisho wa Mwisho wa Dini ya Mtu bila kujua kuna watu ni akina All , Mohamed na Mengine mengi tu ya Kiislam Lakini ni Wakristo na wala Siyo Waislamu.
Ikumbukwe mwingine anaweza mtu akampa Mwanae Jina Kwa sababu tu alikuwa anampenda mtu fulani labda ni Mchezaji Nguli wa Mpira ama Msanii ama vyovyote vile.Mfano kwa sasa mitaani kuna Watu wengi sana wanaitwa akina Samia ambao walipewa Majina hayo baada ya Rais Samia kuwa Makamu wa Rais na Rais wa kwanza Mwanamke Nchini na kutokana na uchapakazi wake uliotukuka kuwavutia wengi hadi kuamua kuwapa watoto wao jina lake.
Majuzi tu hapa kumetoka uteuzi wa Makaimu Makatibu wa Mikoa wa CCM watu Wakaanza kuongelea habari za Udini .
Lakini Jana Kumetoka uteuzi wa viongozi wengi sana kuanzia wakuu wa wilaya , Makatibu tawala wilaya na Wakurugenzi . Ambapo Wakristo Ni Wengi sana katika kila Eneo la Uteuzi. Lakini Huoni wale watu wachonga midomo na visebengo wakiongea Habari za Ukristo na Uislamu Wa Wateule .wamejikaushaaa Kimyaaa utafikiri hawapo Vile yaani utafikiri Wamepigwa Gundi Midomo yao.
Na ukiangalia suala hili utaona kuna kakikundi fulani hivi ndiko kanakokuwa kanaeneza chuki na kutaka kuleta ama kupandikiza mbegu za kidini ili tu kutaka kumchafua Rais wetu Mpendwa na kutaka kuleta taharuki za kidini na kutaka kumyumbisha .
Ikumbukwe ya kuwa kuna watu wanaumia sana wanapoona Rais wetu Mpendwa akiendelea kukubalika ,kupendwa ,kuaminika na kuendelea kuungwa Mkono.wanaumia kwa sababu walijiapiza kuwa ni lazima Wamkwamishe Rais wetu na kwamba watahakikisha Nchi haitawaliki na wala haendelei kuongoza Taifa letu. Sasa wanapoona mambo ni tofauti na matarajio yao Wanaumia Sanaa na Kupata hasira sanaa na kuamua kutumia kila njia na kutunga kila aina ya uongo na Uzushi ili tu kumchafua Rais wetu na kutaka kuchochea chuki kwa Watu.
Kwa hiyo nitoe Rai kwa watanzania wenzangu kuwa tusije ingia kwenye mtego huo wa wabaya na maadui wa Rais wetu na Taifa letu. Tusiwaunge mkono hata kidogo,Tuwapuuze kabisa na kuwakemea vikali. Tuseme kama Taifa tulishavuka msitari wa Udini na hakuna mtu anayeteuliwa kwa sababu ya Dini yake bali uwezo wa mtu kiuongozi ndio unaompatia nafasi . Tushikamane na Mama yetu na tuendelee kumuunga mkono .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha Ujinga Bwana MdogoUmemaliza eda wewe mjane?
Acha Ujinga Bwana Mdogo