Uteuzi wa Afande Ramadhani Kingai kuwa DCI (Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai). Je, Rais Samia amepotoshwa?

Huo umma wa watanzania ni watanzania gan? Mbona mm nimefurahi??
 
Me nikitafakari nashindws kuelewa kabisa aisee.
 
Sio hivo tu, kala pesa ya uhamisho mara mbili, Dar-Kigoma na Kigoma-Dom hiyo sio chini ya Ni millions hizo
 
Nchi hii inahitaji Vita ndipo tuheshimiane

Acha ujinga, vita pigana na njaazako kwanza.
Hayo mambo ya kingai na dj yalisha isha jd analamba asali tulieni dawa iingie.
Nnyie simnasema mama anaponya nchi na anaupiga mwingi?.

Tulizeni akili taratibu mtaelewa tu.
 
Moja ya watu kuzidi kudai Katiba Mpya ni kutokana na uteuzi wa watu aina ya Afande Kingai, Tungekuwa na tume maalum ya kuchuja na kuteua aina ya watu kama Afande Kingai kama Rasimu ya Jaji Warioba alivyopendekeza tusingekuwa na utata
 
Nchi hii maadam ccm bado Ni chama Tawala basi tutarajie Mambo mengi ya hovyo kwakuwa hakika Kingai hata DCI aliyeteuliwa kuwa IGP hawakupaswa kuwa ofisi za umma asilani ,
Bila Katiba mpya itakayompunguzia madaka Rais hasa ya Teuzi Basi tutasikia ustawi Bora wa Jamii na Utawala Bora kwa Nchi za wenzetu.
 
Kingai mnamnalumu bure. Kwanza tunapaswa kujua kuwa boss wake ni nani ! Hivyo malalamiko yote mnayomlalamikia hakufanya kwa matakwa yake bali kwa kutii maagizo.

Hivyo unaweza kuta jamaa ni mtendaji mzuri sana hivyo tusubiri tuone.

Wana mlalamikia kingai wanamuacha DCI ambae ndio boss
 
Kesi ya kutunga afu akutwe na kesi ya kujibu!!!!??? Pathetic....mlimuombea msamaha vipi mtu asokuwa na kosa?
 
Hapa naanza kuchelea kuamini mama huwa anapelekewa list ya kuteua na wasaidizi.

Kutokana na muenendo wa kesi ya mbowe kuanzia ukamataji hadi mahakamani huyu Kingai ndio angepewa Ubalozi sasa maana bado ana nguvu.

Hakuna namna njia sahihi mbele ni Katiba mpya itakayotokana na rasimu ya jaji warioba ili kupunguza mzigo kwa raisi kuteua watu wengi. Hawa watu wafantushwe interview live kwenye tbc waonekane uwezo wao, ajenda zao na mikakati yao. South africa wanafanya hivyo,Kenya wanafanya hivyo.
 
Tabia ya kulalamika lalamika haitokaa iishe. Mpaka Mbowe astaafishwe
Acha kupangia watu kitu cha kuandika! Halafu nimeongelea suala la Katiba Mpya, wewe unakuja na porojo zako za kustaafishwa Mbowe!

Ana uhusiano gani na nilicho kiandika hapo juu? Acha kuvuta bangi kabla ya kula. Au ulitegemea nitamsifia huyo chinja chinja wako?
 
Ni dhahiri alitumwa na Samia kufanya hayo,sasa anapokea zawadi. Uzalendo nchi hii ni kupoteza muda. Mtekaji anapewa cheo

Simlikuwa mnamlaumu Jembe, kwa kesi ile, sasa mudaunawatoa ujinga kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…