Uteuzi wa Afande Ramadhani Kingai kuwa DCI (Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai). Je, Rais Samia amepotoshwa?

Kwa hiyo unamaanisha TanPol wote hawajui PGO kama ilivyo kwa R. Kingai, kama tulivyoshuhudia kwenye kesi ya uhujumu uchumi ya Mbowe!!???
 
Ile kesi ilikuwa siyo ya kubambika ila iliisha kwa mashinikizo ya mabeberu na siasa ndani yake.

Kingai alikuwa sahihi ndio maana amekuwa promoted.

Dj zero anajua.
 
Kwani hiki unachokilalamikia kilifanywa kwa akili ya Kingai mwenyewe!? Behind the scene Kingai alikuwa ni just ngao tu ila waliokuwa wanapigana ndo hao waliomteau kuwa DCI
 

Reference yako ni kesi ya mbowe Tu?

What if alichokifanya kilikuwa ni plans tu na sio uhalisia?
 
Umeandika kwa hisia sana lakini Kingai alionesha weledi kiasi cha kuishawishi mahakama kumkuta Mbowe na kesi ya Kujibu. Yaliyojiri baada ya hapo wote tunajua. Hivyo usimhukumu Kingai alifanya kazi yake vema na anastahili motisha ikiwa ni pamoja na kupandishwa cheo.

Inahitaji busara kulielewa hili.
 
Habarini wa JF .sisi tusiokuwa na uwezo hata cheo ni mgumu kupata.
baada kusoma mkeka wa uteuzi nimekuta spekta kingai kuwa DCI .
na mtu kuwa level ya DCI kidogo swala la sheria na mienendo ya kesi kuwa vizuri.

Swali tu !
SIFA KUU ni kumtengenezea MBOWE na Wenzake KESI ya UHUJUMU NA UGAIDI lakini Siku zote MUNGU hupenda HAKI
Bado Majaji Mawakili na POLISI wote walishiriki kuwatesa na Kuwaumiza Mbowe na Wenzake.
 
Jiwe ndio Rais pekee alikuwa anawajua Askari wake, Huyu wa sasa lazima anapelekewa tu majina na kupitisha, hili la kingai atakuwa ameproposiwa na Sirro
 
Hii ni dharau kwa watanzania. Hivi rais Samia anapofushwa madaraka kiasi kwamba haoni Wala hasikii malalamiko ya watanzania?
Mmejaza tu matakle humu!

Fanyeni kama sirilanka maffi nyie
 
Wewe na Amiri Jeshi Mkuu nani anamjua DCI Kingai? Siyo kila kitu mnaleta siasa.
 
Uliyotandaza hapa ndiyo cv ya DCI anayoitaka. That’s CCM for you. Anapotoshwa? Wake up niger ‘n sniff the good old coffee! Try living in reality.
 
Kwa hali hii, tuendelee tu kuipigania Katiba Mpya. Hii ya sasa ni ya hovyo mpaka basi. Maana inampa mwanadamu mamlaka ya kimungu!

Yaani hata leo aamue tu kumteua mfanyakazi wake wa ndani kuwa DC, hakuna wa kumzuia! Wala mumhoji!

Hatari na nusu,Mzee wa PGO sasa ni DCI haaaa haaaa sijui wanataka nini hasa.
 

Nadhani Mbowe atamuelewa Mama vizuuuuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…