Uteuzi wa Afande Ramadhani Kingai kuwa DCI (Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai). Je, Rais Samia amepotoshwa?

Uteuzi wa Afande Ramadhani Kingai kuwa DCI (Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai). Je, Rais Samia amepotoshwa?

Tutegemee ubambikiaji wa kesi kushamili, utekaji watu utarudi Kwa kasi.

Watanzania tuombe mungu kama kipindi kile Cha yule bedui mungu akatusikia akampeleka kuzimu.

Kingai anaweza kuwa anatumia nguvu za kiza ili apande cheo.

Haiwezekani MTU kama kingai apelekwe ofisi nyeti na muhimu kama ya DCI na sisi watumishi wa Mungu tupo.
1658305267060.jpg
1657970073829.jpg
1650281267535.jpg
 
IMETHIBITISHWA Mahakamani huyo Ramadhani Kingai HAJUI hata namna ya utekekezaji wa GPO.
Na kama mtoto wa Primary alikuwa akiomba kwenda maliwato kujisidia kila akipigwa swali gumu.

Huyu ndiyo Mkuu wa Upelelezi.

What a joke!
Teuzi za watu kama Biswalo na huyu Kingai kwenye nafasi ya DPP na DCI zinadhihaki vyeo hivyo na umma wa watanzania.
 
MH Rais mama yetu Samia Suluhu Hassan kwakweli japo jeshi Zima la polisi limekuwa bovu Sanaa lakini Kuna wachache ambao Wana hofu ya Mungu, na Taasisi kubwa na ya muhimu kama hili jeshi halitakiwi kuwa na kiongozi asiyetoa Haki au Mwongo.

Kama mama una nia kweli ya kulirekebisha watu kama KINGAI hawakupaswa kupewa ofisi kubwa maana kwa UONGO na uonevu aliowafanyia watu akiwa ngazi za chini akiwa Ngazi uliyompa atakuwa mbaya zaidi .

Sio polisi mwenye maadili hasa msingiziaji mporaji wa haki za watu mtesaji ana damu kwenye vganja vyake.

Jiepushe nae, HAWEZI kutenda Haki tunakuomba Unda na kulisuka upya Hili jeshi lililopoteza maana ya jeshi la kusimamia Haki.

Kwa hili nasema WAMBURA SAWA LAKINI SIO KINGAI, HAPANA.
Hata awadhi ni kibaka,
Ni mla rushwa mkubwa, akiwa RTO kinondoni amekula sana rushwa kiasi cha kuwa malaya wa kutupwa, hadi mkewe watu wakawa wanamkula bar ya HIGH kule boko,
 
Kwanini kama Taifa tunarudia makosa ya kuteua watu wenye makando kando kama Afande Ramadhani Kingai? Huyu mtu kwa sasa anafahamika na kila Raia kwa matendo yake yaliyojidhihirisha pale Mahakamani wakati wa kesi ya Mbowe

Je, tunasubiri afanye ukatili na unyama wa kiasi gani kwenye hili Taifa?

Tulishajifunza wakati wa JPM umuhimu wa vetting ya viongozi kwa yaliyotokea. Je, bado tunaendelea kujifunza.

Afande Kingai hakupaswa kupewa nafasi ya DCI hata kidogo, Imani ya Raia kwa huyu mtu ni ndogo sana, Wakati wa kesi ya Mbowe huyu alihusishwa na utesaji na utekaji, Na hata majibu yake mahakamani alijichanganya sana kuhusu kuwahamisha watuhumiwa tokea kituo kimoja cha polisi kwenda kingine na malengo yake kuhusu utesaji

Uteuzi wa Afande Ramadhani Kingai kuwa Mkurugenzi wa makosa ya jinai unaligawa Taifa ambalo Rais Samia alikuwa anafanya jitihada za kuliunganisha kwa maridhiano

Kwenye kesi ya Mbowe pale mahakamani, Afande Kingai alikuwa shahidi mkuu upande wa jamhuri na ushahidi wake alioutoa pale mahakamani wa kuwanunulia watuhumiwa Mo energy ikawa mwanzo wa watu kuamini huyu Bwana ameshiriki Katika kesi ya mchongo kuanzia kudraft mpaka kupeleka mahakamani.

Afande Kingai alishindwa kujibu maswali ya mawakili wa utetezi hata moja na hata maswali yaliyohusiana na kitendea kazi chake ya General Orders of police ( PGO) alionekana haelewi pale Mahakama ya uhujumu Uchumi.

Ushahidi wa Afande Kingai ambaye alikuwa Shahidi mkuu ulileta mkanganyiko pale Mahakama ya Uhujumu Uchumi na ndio ukawa mwanzo wa watu kufahamu siri ya kesi ya akina Mbowe pamoja na Kikosi kazi maalum kilichojumuisha Afande Goodluck

Maswali ya kujiuliza sisi kama Raia wa nchi hii:

Unawezaje kumpa mtu nafasi ya DCI wakati umma wa Watanzania wanafahamu huyu mtu amechafuka?

Je, huu ndio mwanzo wa watu kubambikiwa kesi za mauaji hapa nchini?

Je, uteuzi huu Bwana Kingai sio ni mwanzo wa kufumua madonda ambayo Rais Samia alishaanza kuyaponya?

Moja ya watu kuzidi kudai Katiba Mpya ni kutokana na uteuzi wa watu aina ya Afande Kingai, Tungekuwa na tume maalum ya kuchuja na kuteua aina ya watu kama Afande Kingai kama Rasimu ya Jaji Warioba alivyopendekeza tusingekuwa na utata
Nimeanza kuamini kuwa nchi hii ina wenyewe ..... yaani wakishakuingiza kwenye kundi lao basi wewe utakuwepo mpaka mwisho. Hizi teuzi Maza anapangiwa tu ...... Haiwezekani kwa akili ya kawaida tu, kwa yale madudu ya kesi ya ugaidi bado huyu bwana akapata uteuzi. Hii nchi lazima iondoke mikononi mwa hao wachache na irudi kwa wananchi ...... Solution ni katiba mpya!!
 
......alituliza ile mihemuko ya katiba mpya. Sasa hivi kumetulia.
 
Kwani hujui ule uchafu aliofanya ilikuwa ni sehemu ya kazi yake?
Wateuzi wakiwa waovu uwe na uhakika wateuliwa watakuwa waovu zaidi.
Umepatia. Kuna watu wanateuliwa kwa ajili ya kuzoa taka na kazi chafu chafu. Kama yule wa bungeni. Watu wasiokuwa na haya.
 
Sijui ni kitu gani kimemsibu mama au kaangalia upande wake tu? Kwa hili mama ameharibu fikiria kiongozi wa uchunguzi wa jinai ambae anapika ushahidi, wa chini yake watafanyaje. Yaani unakusanya ushahidi wa kesi ya jinai kwa mbinu za kijinai na kishenzi. Mola atusaidie. Kingai hafai hiyo nafasi.
 
Kwanini kama Taifa tunarudia makosa ya kuteua watu wenye makando kando kama Afande Ramadhani Kingai? Huyu mtu kwa sasa anafahamika na kila Raia kwa matendo yake yaliyojidhihirisha pale Mahakamani wakati wa kesi ya Mbowe

Je, tunasubiri afanye ukatili na unyama wa kiasi gani kwenye hili Taifa?

Tulishajifunza wakati wa JPM umuhimu wa vetting ya viongozi kwa yaliyotokea. Je, bado tunaendelea kujifunza.

Afande Kingai hakupaswa kupewa nafasi ya DCI hata kidogo, Imani ya Raia kwa huyu mtu ni ndogo sana, Wakati wa kesi ya Mbowe huyu alihusishwa na utesaji na utekaji, Na hata majibu yake mahakamani alijichanganya sana kuhusu kuwahamisha watuhumiwa tokea kituo kimoja cha polisi kwenda kingine na malengo yake kuhusu utesaji

Uteuzi wa Afande Ramadhani Kingai kuwa Mkurugenzi wa makosa ya jinai unaligawa Taifa ambalo Rais Samia alikuwa anafanya jitihada za kuliunganisha kwa maridhiano

Kwenye kesi ya Mbowe pale mahakamani, Afande Kingai alikuwa shahidi mkuu upande wa jamhuri na ushahidi wake alioutoa pale mahakamani wa kuwanunulia watuhumiwa Mo energy ikawa mwanzo wa watu kuamini huyu Bwana ameshiriki Katika kesi ya mchongo kuanzia kudraft mpaka kupeleka mahakamani.

Afande Kingai alishindwa kujibu maswali ya mawakili wa utetezi hata moja na hata maswali yaliyohusiana na kitendea kazi chake ya General Orders of police ( PGO) alionekana haelewi pale Mahakama ya uhujumu Uchumi.

Ushahidi wa Afande Kingai ambaye alikuwa Shahidi mkuu ulileta mkanganyiko pale Mahakama ya Uhujumu Uchumi na ndio ukawa mwanzo wa watu kufahamu siri ya kesi ya akina Mbowe pamoja na Kikosi kazi maalum kilichojumuisha Afande Goodluck

Maswali ya kujiuliza sisi kama Raia wa nchi hii:

Unawezaje kumpa mtu nafasi ya DCI wakati umma wa Watanzania wanafahamu huyu mtu amechafuka?

Je, huu ndio mwanzo wa watu kubambikiwa kesi za mauaji hapa nchini?

Je, uteuzi huu Bwana Kingai sio ni mwanzo wa kufumua madonda ambayo Rais Samia alishaanza kuyaponya?

Moja ya watu kuzidi kudai Katiba Mpya ni kutokana na uteuzi wa watu aina ya Afande Kingai, Tungekuwa na tume maalum ya kuchuja na kuteua aina ya watu kama Afande Kingai kama Rasimu ya Jaji Warioba alivyopendekeza tusingekuwa na utata
Tanzania kuna mtu atateuliwa tukamkubali moja kwa moja kweli!
 
Umeangalia vyeti vyake au CV? Mnataka jeshi liongozwe kwa matakwa ya CDM?

Chapa kazi Kingai, wahalifu wajue wewe huna mchezo. Sasa onyesha weledi wako mpaka waombe poo.

Propaganda za mahakamani hazihusiani (irrelevant)
Ila TU michongo iachwe🤔
 
Back
Top Bottom