Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well...kàbla hajawa maarufu na ile kesi ya Mwenyekiti alikua Tayar na rank kubwa jeshini...na leo kaongezewa cheo kingine...sasa sina hakika jeshi Lina askari wangapi wenye weledi kama wake mpaka yeye ndio aonekane anastahili,..pia kwa kumwangalia tuu sura yake anaonekana bado kijana, hivyo usishangae siku moja Naye akafikia Rank ya juu kabisa jeshini,na sidhani unaweza kufika Kule Bila kujua hizo basics, na kumbuka mara nyingi makamishna wa police Kazi yao kubwa ni sera na kucommand...PGO wanakalili wale waandika mafaili/RB na askari wadogo...wakubwa inakua rahisi kusahau kutokana na either majukumu au kurelax na vyeo,so sometimes hawajikumbushi kwa kupitia notes...sasa kapewa department ambayo inawabobezi na am sure atakua guided vizuri tuu.
Unajitahidi kuusafisha mtaro mchafuUNYUMBU unakusumbua sana kwa kujishughulisha na matatizo ya Mbowe ambaye siyo hata baba yako.
Uko mitandaoni unabwekaaa na KUJENGA chuki kaliii Dhidi ya Kingai kwasababu ya mangi Mbowe, wakati huyo mangi Mbowe kila siku yupo nao Ikulu huko anakula kuku na familia yake.
UNYUMBU Ni ugonjwa wa Akili
Mama kateua muuaji, mtesaji, mbambika kesi na mtekaji. kwako huo ndio utaalam naona bogus kabisa weweMnaleta siasa kwenye maswala ya kitaalam.
Njoo nikusafisheUnajitahidi kuusafisha mtaro mchafu
Kasubirie ujira wako toka kwa mtu mchafuNjoo nikusafishe
Natamani sana kuona watu wakifanya interview kwa nafasi hiyo ili tupate mtu sahihi wa kusimamia criminal justiceMungu atusimamie tu ili tusirudi tulikotoka.
All in all, Katiba Mpya huenda ikasaidia kupunguza haya malalamiko yasiyoisha kwenye teuzi mbalimbali.
Hakika sister! Kina Kingai kwisha habari yaoSukuma Gang hamna kitu kwisha habari yenu mnaanza kujiendekeza kwa Hangaya mliyekuwa mnamuita muuaji wa lile zimwi lenu.
Nadhan members wengi humu wanadhani majeshi ya police yote ulimwenguni ni ma rocket scientists...wanasahau Kazi kubwa na number moja ni kuhakikisha nchi zinatawalika..sasa kila nchi ina utamaduni,Sheria na katiba yake ambayo inawaongoza kufikia Malengo na matakwa yao...swali ni JE!? Malengo na Matakwa ya Tanzania ni yapi?Naona umeamua kuwafundisha hao watoto wadogo na uhalisia. Well[emoji1547]
huna akili.Umeangalia vyeti vyake au CV?
Na dua tuliyoomba bado iko valid,atakayeleta upuuzi kama wa dhalim atakutana na hukumuKwani dhalimu wenu bado yupo? Si mnapumua nyie na mungu alisikia kilio chenu?
🤣Kwa uteuzi huu Hangaya kapuyanga