Uteuzi wa Dkt. Emanuel Nchimbi kama mgombea mwenza urais wa CCM uchaguzi mkuu wa OCT.2025, ni wa kisayansi katika siasa za kisasa.

kitaalamu,
kwa hazina ya viongozi waandamizi waadilifu waliyonayo kuna kazi kubwa mno kubainisha umahiri wa walio nje ya CCM.

Hata hivyo,
wadau wa JF wako huru kuwaibua na kuwaelezea humu jukwaani πŸ’
Hapa nimekupata vema
 
Utamaduni wako 1 utajenga taifa la watu million 60πŸ‘‘πŸ‘‘πŸ‘‘πŸ‘‘Kazi nzuri kichwani
Nashukuru Mungu kazi inaendelea kufanyika vizuri sana kwa baraka na neema zake πŸ’
 
Naona unacheza na beat gentlemanπŸ˜€
ni wajibu na jukumu langu kueleza ukweli na kuwaelimisha wadau wa JF mapema sana dhidi ya mambo muhimu ya kitaifa, hususani ya uongozi wa taifa letu huko tuendako πŸ’
 
Je, vipi kuhusu kuchaguliwa kwa Tundu Lissu kuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkuu?
 
Pesa ya bajeti unapata msaada kwa hao hao wa jinsia moja, ila Lissu akienda kutibiwa ndio nongwa
kwahiyo ndio mijanaume ikaolewe na mijanaume yenzao huko?

ubeligiji ni nani kwanza kwenye bajeti ya Tz gentleman πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…