Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Kuna mtego kwenye hili la waziri wa katiba na sheria kufuatilia masuala ya Corona, Mwigulu ajihadhali, na ashirikiane badala ya KuBOSS watu 'AROUND'!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
REA mbona ilisimama kabla hata hajatolewa kwenye Uwaziri wa Mambo ya Ndani REA walikuwa wamemaliza phase 1 na walikuwa wanaanza phase 2. Dkt. Mamba Mwigulu hulka yake wala sio kusaidia anapenda kuongoza palipo na wajinga ili aendelee kuwatawala. Akiona mtu mwelewa anamwanzishia vita vikali sana. Fuatilia kuna vijana wangapi wahitimu wamewahi kumfuata awaunganishei hata intersship tu akawasaidia? Hawapendi kabisa tena ahataki hata kuwasikia. Wengi wao anawashauri eti bado wanahitajika kwenda kusoma na pia watafute scholarship waende nje kusoma. Yaani usanii mtupu!Z
Ziko Kadhaa, angalia kwa mfano REA, unaona nini kinaendelea??? MAendeleo wakti mwingine yanahitaji tu harakati na uhamasishaji ili watu wajitume katika kujiletea kipato. Binafsi niliona Iramba na singida ikiwa imehamasika mno kipindi kile na naona hali ile ikirudi.
Kwa sasa Singida ilikuwa imepoa mnooooo kwa kila kitu. Mwigulu ni hamasa ya watu kujituma Singida yote.
mimi ni mgeni maeneo hayo mkuuHili jina Kitandu ni la watu wa Ndago na Kisiriri - unatokea wapi kati ya sehemu hizo?
Mkuu Hizi habari za watoto wanaosomeshwa na mamba Mwigulu kwa hio ni Uongo???REA mbona ilisimama kabla hata hajatolewa kwenye Uwaziri wa Mambo ya Ndani REA walikuwa wamemaliza phase 1 na walikuwa wanaanza phase 2. Dkt. Mamba Mwigulu hulka yake wala sio kusaidia anapenda kuongoza palipo na wajinga ili aendelee kuwatawala. Akiona mtu mwelewa anamwanzishia vita vikali sana. Fuatilia kuna vijana wangapi wahitimu wamewahi kumfuata awaunganishei hata intersship tu akawasaidia? Hawapendi kabisa tena ahataki hata kuwasikia. Wengi wao anawashauri eti bado wanahitajika kwenda kusoma na pia watafute scholarship waende nje kusoma. Yaani usanii mtupu!
Mkuu Mimi home kinampanda ujue, na nimeona kazi ya REA ilivyoanza na hadi muda inaenda parking. Kazi ilikuwa kupeleka umeme Kata ya kisiriri wakashia kumwaga nguzo tu barabarani. Mamba alipokuwepo kazi ilikuwa inasogea.REA mbona ilisimama kabla hata hajatolewa kwenye Uwaziri wa Mambo ya Ndani REA walikuwa wamemaliza phase 1 na walikuwa wanaanza phase 2. Dkt. Mamba Mwigulu hulka yake wala sio kusaidia anapenda kuongoza palipo na wajinga ili aendelee kuwatawala. Akiona mtu mwelewa anamwanzishia vita vikali sana. Fuatilia kuna vijana wangapi wahitimu wamewahi kumfuata awaunganishei hata intersship tu akawasaidia? Hawapendi kabisa tena ahataki hata kuwasikia. Wengi wao anawashauri eti bado wanahitajika kwenda kusoma na pia watafute scholarship waende nje kusoma. Yaani usanii mtupu!
Mkuu Munambua mimi nimefurahi.... bado siajona ujasiri na mpango madhubuti toka kwa prof. kitila katika kuipigania Iramba.
Msingi wangu wa kuamini Mwigulu bado ni bora uko hapo, labda aje mwingine.
Mie kwa kazi yangu karibu kila juma nazungukia Iramba nzima. REA walisimama kwa sababu zao wenyewe na sio kwa sababu hakukuwa na msisitizo. REA wamekuja kuanza phase hii sio kwa sababu ya kusukumwa na Dkt. Mwigulu - watu hata barua tulizoandika TANESCO na REA kwa ajili ya mradi huu tuna nakala zake. Usidanganywe na wanasiasa.Mkuu Mimi home kinampanda ujue, na nimeona kazi ya REA ilivyoanza na hadi muda inaenda parking. Kazi ilikuwa kupeleka umeme Kata ya kisiriri wakashia kumwaga nguzo tu barabarani. Mamba alipokuwepo kazi ilikuwa inasogea.