Uteuzi wa Hoyce Temu kuwa Balozi na uelewa wetu kuhusu mabalozi

Rais huwa anateua Ambassadors tu au hata diplomats wasio Ambassadors pia
Mkuu kusema kweli nimeshindwa kuelewa logic ya swali lako.
Ambassadors wengi wanaoteuliwa na Rais wengi ni diplomatic ,ila unaweza teuliwa hata kama sio diplomatic refer Bashiru ,ila kumbuka mtu unaweza kuwa umesoma Degree zako za LAW then ukachukua certificate ya Relationship and Mgt diplomatic basi moja kwa moja unapat sifa.
 
Nilitaka ku comment Ila nimejizuia kidogo baada ya kuangalia avatar yako Ni Kama inakanyaga ukuta wa njano, Nita kuja ku comment kesho baada ya kujihakikishia ule ukuta wa makumbusho Ni mweupe na sio wa njano.....
 
Rais huwa anateua Ambassadors tu au hata diplomats wasio Ambassadors pia

Mara ya mwisho hii wizara iliajiri lini ? Na Ina watumishi wangapi? Kuna wengine wanapewa internship nchi za Asia ,ukirudi dar ni mtumishi wa wizara . Ajira alipewa na nani na lini?
Hii wizara ni nyeti hata ajira zake ni nyeti pia. Japo huwa zinatoka mara moja moja.
Hii ni wizara ambayo mkoani huwezi kukuta watumishi wake ila tu coordination.
 
Cut this crap of nyeti , Asilimia tisini na tisa ya wizara ni nyeti.
Hii wizara ni nyeti hata ajira zake ni nyeti pia. Japo huwa zinatoka mara moja moja.
Hii ni wizara ambayo mkoani huwezi kukuta watumishi wake ila tu coordination.
 
Walioteuliwa jana wote ni Ambassadors au kuna baadhi yao ni diplomats?
An Ambassador is the highest ranking diplomat accredited to a country. A diplomat is anyone in the foreign service posted to another country. A diplomat is still just a public servant (albeit a glamorous one). An Ambassador, however, has a status closer to a minister and is more than a public servant.
 
Mkuu kwa watu wa mipasho- umetumia nguvu nyingi sana- hawaelewi.
 
Well done
 
Cut this crap of nyeti , Asilimia tisini na tisa ya wizara ni nyeti.
Ngoja niseme kwamba hii wizara ni nyeti sana ukilinganisha wizara nyingine.
Ndo maana USA wizara mhimu ni hii.
 
Walioteuliwa jana wote ni Ambassadors au kuna baadhi yao ni diplomats?
Walioteuliwa jana wote ni Ambassadors .
Rais pia huteua diplomats mfano Mkuu wa protocol,mkuu wa wizara kikanda n.k
Nahis ndo swali lako limejikita hapo
 
Kama nilikuelewa vizuri kwenye original post, umesema hao ambao ni career diplomat majina yao hupendekezwa na wizara ya Mambo ya nje kwa Siri na ni watumishi wa wizara hiyo

Swali, huyu Hoyce Temu ni mtumishi wa wizara ya Mambo ya nje!? Au kazi aliyofanya UN bado inamtambulisha Kama mtumishi wa wizara ya Mambo ya nje!?
 
Walioteuliwa jana wote ni Ambassadors au kuna baadhi yao ni diplomats?
Every ambassador is a diplomat but not every diplomat is an ambassador.
Hapa shida ya kuelewa iko sehemu gani ???
 
Walioteuliwa jana wote ni Ambassadors .
Rais pia huteua diplomats mfano Mkuu wa protocol,mkuu wa wizara kikanda n.k
Nahis ndo swali lako limejikita hapo
Aisee, umeshafanya sehemu yako, kama wanashindwa kutofautisha baina ya A Diplomat and An Ambassador basi kuna shinda pahala. Sasa ukiendelea kubishana, you'll pulled down their level.
 
Shosti wangu Hoyce ana taaluma kidogo ya diplomacy but siyo career diplomat. Therefore, yeye anaangukia kwenye kundi la akina Valentino Mlolowa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…