Uteuzi wa Hoyce Temu kuwa Balozi na uelewa wetu kuhusu mabalozi

Njoo vizuri na uache utoto wa kuokota mawazo ya watu huko unayatupa huku h
JAMII forum.
Mtu unasema kwa system ya Marekani
Huo ni wivu wa kike ,Hawara wa Balozi ,ulitaka wewe ndo uwe hawara yake,haya keshateuliwa.
 
Ana taasisi yake ya kuwasaidia wasiojiweza, pia amefanya kazi na mashirika makubwa ya kimataifa.
Mkuu ni kazi gani kwenye na ni mashirika gani makubwa ya Kimataifa zaidi ya kuwa Balozi wa Heshima wa UN .......!!
 
Ifike mahali kama tunataka ufanisi mkubwa wa kazi tuache kuteua mabalozi kwa mtazamo wa kisiasa na kuokoteza watu.

Kuna maofisa wabobezi pale Wizara ya mambo ya nje, wanama CVs kama yote, expose, uzoefu wa kutosha , kwanini kipaombele wasipewe hao?

Do we have a pre requisites kwa nafasi mbali mbali za kazi?
 
Njoo vizuri na uache utoto wa kuokota mawazo ya watu huko unayatupa huku h
JAMII forum.
Mtu unasema kwa system ya Marekani
Huo ni wivu wa kike ,Hawara wa Balozi ,ulitaka wewe ndo uwe hawara yake,haya keshateuliwa.

Wewe ndio acha upuudhi wa kuposti vitu usivyovijua kwa taarifa yako sasa kwa Tanzania hakuna utararibu rasmi unaoeleza kwamba huyu ni politically appointed ambassador huyu ni career appointed ambassador
Watu wanateuliwa tu kienyeji enyeji wengine kama adhabu kushushwa vyeo wengine kama asante flani hivi, na wote wanakuwa sawa rais akiondoka madarakani wote wanaendelea kubaki.
USA suala hilo lipo clearly spitulated
Politically appointed ambassadors wote wanaondoka madarani na rais aliyewateua akiondoka
 
Naona Team Hoyce mmeingia kazini kumsafisha
 
vyema ila kama umemnukuu ABASS MWALIMU, hapana aisee huyu jamaa ni zaidi ya CHAWA, hana miguu ya kusimama na Mama wakati alimwimbia pambio zote MWENDAZAKE.
 
Wakuu naombeni msaada...

Mbali na uMiss Tz..Huyu dada aliwahi kuwa na wadhifa gani kwenye jamii?

Au mambo gani yamemfanya akawa famour/special/trending hivi?
Watu kama hawa NGO ya Tanzania inawahitaji sana! Nchi inaendeshwa kama NGO.
 
Kazi hizo ni pamoja na kupokea wageni ,kutumwa nchi mbalimbali kwa maslahi ya Taifa,utakumbuka kuwa ukiwa Balozi mzigo wako haukaguliwi,kuimarisha mahusiano na kufanya kazi kwa karibu na katibu mkuu kiongozi.
Kupokea wageni ... na kuwapa burudani!
 
Fatuma Karume Shangazi na wifi yake Maria Sarungi watafura karibu ya kupasuka kwa kihoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…